Za jioni wandugu
Wanasema kisichokuua kinakufanya uwe ngangari
Mimi mwana JF mwenzenu leo hii nimeamua kujipa adhabu kali ambayo inanitisha na kunifurahisha kwa pamoja mpaka sielewi kabisa
In short nimechoka hii tabia ya uzinzi uzinzi ninaofanya yaani uchafu mwingi nimekuwa naufanya toka October last year hadi nimeanza kuwa addicted kidogo kama mlevi of course wote ni watu wazima hapa najua mmenielewa vyema basi leo hii wana Jf ninekuja kwenu kutangaza kuwa kwa siku 1000 toka leo simwagi shahawa zangu tena kwa njia yeyote iwe sex au punyere
Ntarudi kufukua huu uzi 24/10/2027 mark my words
Usiku mwemeni nyote!!
Eeh Mwenyezi Mungu nitangulie 🙏