Nimejisikia uchungu sana nyimbo za taifa zilipopigwa wakati mechi kati Kili Stars vs Zanz Heroes inaanza

CCM NI MAVI ...HATA BABA YAKO AU MAMA YAKO MZAZI AKIWA ANASHABIKIA CCM HUYO NAYE NI MAFII YA CHOONI TU.HUO NDIYO UKWELI NA UKWELI UTATUWEKA HURU ...JAPO WANAFIKI NA WAPUMBAVU WATASEMA TUNATUKANA.
 

Muungano umeficha mengi
 
Ina maana wewe hujui? sisi kila siku tunalalamika hapa mnatuona wajinga
 
Wanyonge ni Tanganyika tu,hatuna wimbo wetu
 
Hujui hizi nchi ni za kiswahili na mambo yake ni ya kiswahili?
 
Mleta mada pole sana, kama ulikua hulijui hilo basi upo nyuma sana.
Kwenye usajili wa mpira wa miguu kwa mfano huku Tanzania bara tukimsajili katika timu zetu tunamhesabu kama mchezaji wa ndani huo ndio utaratibu wao. Kwa upande wao wakimsajili mchezaji kutoka kwetu kwenda kuchezea timu zao wanamhesabu kwamba ni mchezaji wa kigeni, think twice my friend. Mambo ni mengi muda mchache
 
Leo ndo unalijua hilo?shida wadanganyika hamjiongezi mmekalia uchawa tu.sijawahi ona tangu nizaliwe nchi kuzalisha machawa kiasi hicho
 
Basi umechelewa Sana kujua.
 
Mimi niwe tu mkweli. Huu Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar, unanikera mpaka basi. Maana una mapungufu mengi kupitiliza. I wish ningekuwa Mr. President wa Tanganyika. Aisee ndani ya mwaka mmoja tu, hawa kupe wangekuwa wanajitegemea wenyewe kwa kila kitu.
 
Wewe umeliona hilo mbona wazanzibari hawalalamiki rais wao kuchaguliwa Dodoma
 
Hii inaumiza Sana, kwenye mambo yanayoihusu Tanganyika Z'bar ipo ila mambo yanayoihusu serikali ya visiwani Tanganyika haipo. Yaani tunapigwa huku tukiona na hatuna namna. Serikali ya CCM ndio mchawi hapa
Mtsnganyika huruhusiwi
1. Kugombea cheo chochote kule visiwani, hata uenyekiti wa mtaa. Wao rukhusa kugombea Tanganyika mpk urais.

2. Kumiliki ardhi hata ya kujenga FREMU.
Lkn wao rukhusa mpk kumiliki mamilioni ya ekari.
 
Mtsnganyika huruhusiwi
1. Kugombea cheo chochote kule visiwani, hata uenyekiti wa mtaa. Wao rukhusa kugombea Tanganyika mpk urais.

2. Kumiliki ardhi hata ya kujenga FREMU.
Lkn wao rukhusa mpk kumiliki mamilioni ya ekari.
Hata kuishi huko lazima uwe na permit
 
Huu muungano sijui waliwazaga nini wazee wetu
Sema Nyerere aliwaza nini...kwa Karume it was very clear alitaka muungano wa federation huku kila nchi ikibaki na utawala wake wa ndani....

On the contrary, Nyerere aliwaza kuimeza Zanzibar iwe mkoa kama vile katavi au Geita ya leo...ili kuhalalisha hilo akaua tanganyika kwanza on the hope ingekuwa rahisi kuiua Zanzibar later on....

Infortunately for him, mambo yakaenda kombo and here are...almost miaka 60 ya muungano wenye manung'uniko kibao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…