Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
CCM NI MAVI ...HATA BABA YAKO AU MAMA YAKO MZAZI AKIWA ANASHABIKIA CCM HUYO NAYE NI MAFII YA CHOONI TU.HUO NDIYO UKWELI NA UKWELI UTATUWEKA HURU ...JAPO WANAFIKI NA WAPUMBAVU WATASEMA TUNATUKANA.Maswali yafuatayo ndiyo yamenitoa machozi.
Nimejiuliza kwamba;-
1. Kumbe haya ni mataifa 2 tofauti? Kila moja lina katiba yake, wimbo wake, jeshi lake na rais wake?
2. Kwahiyo hivi Sasa Tanganyika inaongozwa na raia wa kigeni??
Hilo swali la 2 ndiyo limeniumiza zaidi.