BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Mwaka 2006 Tabora boys walikuja kufanya usahili kwa wanafunzi wa kodato cha sita, wengi waliopata nafasi ya kuendelea na usahili wa ziada walikua wanasoma HGL. Ile ni kazi ya umbea, na uchambuzi wa lugha hivyo inahitaji wataalamu wa lugha.Kwenye shule sijagusia Ila nimesoma shule Bora kabisa
Kwa Zitto VP Tindikali aliyomiminiwa VP
Mrema unajua elimu yake Hadi ualimu?
Maana anasema alikuwa mwalimu then TISS wilaya then TISS mikoa mbali mbali then Ministry of Home Affairs
Uongo fani zote zipo mfano Osama bin Laden walimdaka madaktari kupitia clinic za watoto wake walipoenda hospital chanjo ya watoto wakacheck DNA kwenye damu wakagundua yafanana na Osama wakawapa taarifa intelligence ikawafuatilia nyumba walikotokea wakagundua sio ya kawaida behavior yake na walipofuatilia zaidi wakakiona kibabu Osama yuko ndani wakamshukia kama mwewe kuuaMwaka 2006 Tabora boys walikuja kufanya usahili kwa wanafunzi wa kodato cha sita, wengi waliopata nafasi ya kuendelea na usahili wa ziada walikua wanasoma HGL. Ile ni kazi ya umbea, na uchambuzi wa lugha hivyo inahitaji wataalamu wa lugha.
Ndo hii niliyoweka kwa picha Ulijuaje. Office ni Yaohawa jamaa kwakweli mambo yao hayaeleweki na ya siri sana .. mfano pale stesheni kuna ofisi yao ila hata siku moja sijawai kuona mtu anaingia wala kutoka sasa sjui huwa wanapitia wapi
Usiku VP naweza peleka academic credentials for the recruitment au?hawa jamaa kwakweli mambo yao hayaeleweki na ya siri sana .. mfano pale stesheni kuna ofisi yao ila hata siku moja sijawai kuona mtu anaingia wala kutoka sasa sjui huwa wanapitia wapi
NDO MAANA Huwa na sema kipindi Cha Kikwete mambo mteremkoMwaka 2006 Tabora boys walikuja kufanya usahili kwa wanafunzi wa kodato cha sita, wengi waliopata nafasi ya kuendelea na usahili wa ziada walikua wanasoma HGL. Ile ni kazi ya umbea, na uchambuzi wa lugha hivyo inahitaji wataalamu wa lugha.
WA TZ MILLION 60TISS wakitaka kuziba nafasi za kazi wao wenyewe ndiyo humfuata candidate wanayemuona anafaa baada ya kumfanyia scrutiny ya kutosha na kujiridhisha.
Kiuhalisia wewe huwezi kwenda TISS kuomba kazi, bali wao wakikuhitaji watakuja kwako.
Osama na story za us achana nazo Osama alikuwa CIA asset na amewasiliana nao sana hata ISIUongo fani zote zipo mfano Osama bin Laden walimdaka madaktari kupitia clinic za watoto wake walipoenda hospital chanjo ya watoto wakacheck DNA kwenye damu wakagundua yafanana na Osama wakawapa taarifa intelligence ikawafuatilia nyumba walikotokea wakagundua sio ya kawaida behavior yake na walipofuatilia zaidi wakakiona kibabu Osama yuko ndani wakamshukia kama mwewe kuua
Usalama wa nchi ni wa kila mwananchi na kila mzalendo
Fani zote ziko usalama wa Taifa hakuna hata moja isiyokuwepo
OSTERBAY MRAisee hii kitu sijajua ni kwa nini huwa inanisumbua sana..kama ulivyotaja St Peters hapo kuna siku hii sauti niliwahi kuisikia ndotoni then nikaupuuzia sijui ni kwa nini..kumbe kuna mambo mengine huwa yanatokea hatujui kiroho
Alafu hii Kazi nilikuwa naipenda balaa tangu utotoni...hivi Mkuu hiyo St Peters ipo wapi? Yaani maeneo gani[emoji1787]
Sio kweliAmbayo utaapa nayo nakuishi nayo