Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwanaintelijensia bila mafanikio

ILA WADAU AMBAO MMEFANIKIWA MSHUKURUNI MUNGU SANA WADAU


MM NIKIJA PATA CAPITAL YA 10M



USHUHUDA NITAKAOLETA HUKU ACHA KABISA PLAN MILLION 0 WORK DONE 0 OUTPUT
 
Hapana sio fani zote. Kazi ya intelligence officer ni analysis. Ndio maana nchi nyingine waliosoma sheria ndo hupewa kipaumbele. Ikija tip kwamba osama alimpeleka nduguye hospital anaeenda kuchambua taarifa za majibu ya hospital sio mtu wa medicine, ni intelligence officer.
 
KABISA
 
Nakumbukumbu ya 7 G Mzee [emoji23][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji23][emoji23]




Ndo maana nashangaa nimepitia yote hayo TEETH hawanioni tuuu
TISS hawajawahi taka mtu anayewataka

Tiss ni dude ambalo hata DGISS mwenyewe halijui

Just give up on this thing
Na ishi maisha yako
 
TISS hawajawahi taka mtu anayewataka

Tiss ni dude ambalo hata DGISS mwenyewe halijui

Just give up on this thing
Na ishi maisha yako
DGIS halijui Tena [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]
 
TISS hawajawahi taka mtu anayewataka

Tiss ni dude ambalo hata DGISS mwenyewe halijui

Just give up on this thing
Na ishi maisha yako
Hapo kusema DGISS halijui umeniacha kwa mataa sasa unaongozaje kitu hukijui?
 
blaza...kule hujipeleki...hakuna mtihani wala hakuna cha undugu....system ina mtiririko wake maalum ambao umerithiwa kizazi na kizazi....kuna comment moja hapo juu wamesema utumwa.....hakika ni utumwa utumwani.....uhuru wako umeukabidhi kwa TAIFA lako.......unaweza kuwa na assignemt hata ya kumuangusha nduguyo wa karibu sbb ndio inaweza kuwa suluhusho........KIKUBWA WELEDI NA UZALENDO......jua hakuna kustaafu.........wako mpaka wa std 7......akili ya kuzaliwa ndio muhimu...kutumia silaha unafundishwa so....wewe tengeneza your life tunza familia yako....silaha zinauzwa...vigezo muhimu....achana na hii ishu.....
 
TPDF wako wazi toka lini?? Usiseme miaka wakina kikwete kwenda chini,
 
....system ina mtiririko wake maalum ambao umerithiwa kizazi na kizazi...




Umeambiwa na nan
 
......jua hakuna kustaafu......



Unaongelea TISS au ISI?
 
......jua hakuna kustaafu......



Unaongelea TISS au ISI?
nimekudokezea tuu...aidha hujui ukitakacho.....tafuta peza BLAZA.......endelea kuwa JUHA tuu.....maana inawezekana hata wewe ni KUWADI fulani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…