Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwanaintelijensia bila mafanikio

nimekudokezea tuu...aidha hujui ukitakacho.....tafuta peza BLAZA.......endelea kuwa JUHA tuu.....maana inawezekana hata wewe ni KUWADI fulani....
aidha hujui ukitakacho..

Kumbe ww n TISS office zenu Rwanda zinapatikana wapi?
 
sasa unafanya konection na walinzi wa getini wa tiss kweli nafasi zinaishia kwa dso wa wilaya huyo ukiwa na connection nae usipopita umerongwaaaa..ila kumbuka tu na wao pia wanandugu na watoto pia wanatafuta kazi sasa sijui achukuliwe nani haachwe nani?😀😀
 
Kwa bahati mbaya sana, wewe huwatafuti, wao wakijuhitaji watakutafuta, watajua habari zako, watakuita
wanatafuta na wanaajili kama idara nyingine za ulinzi tu msipotoshe wananchi...ila vetting kwao ndio inayozingatiwa zaidi ni kama idara sekritarieti ya ajira wanapozingatia uhalisia wa vyeti vya wasailiwa kwenye interview vile..
 
AISEE

KUMBE DSO ndo mkamata mkono kwahiyo wilaya 300 DSO 300 ndo wanazunguka kwa watu Million 60 kuchagua usalama au?
 
wanatafuta na wanaajili kama idara nyingine za ulinzi tu msipotoshe wananchi...ila vetting kwao ndio inayozingatiwa zaidi ni kama idara sekritarieti ya ajira wanapozingatia uhalisia wa vyeti vya wasailiwa kwenye interview vile..
UNADATA KIDOGO

NAOMBA UINGEZE NYAMA

NADHANI WW N YULE PEUMWE ULIOKUWA KWA TOCHA SASA UPOO SHIMO

CODE KAMA CODE
 
wanatafuta na wanaajili kama idara nyingine za ulinzi tu msipotoshe wananchi...ila vetting kwao ndio inayozingatiwa zaidi ni kama idara sekritarieti ya ajira wanapozingatia uhalisia wa vyeti vya wasailiwa kwenye interview vile..
Nyama zaidi Mr
 
hawa jamaa kwakweli mambo yao hayaeleweki na ya siri sana .. mfano pale stesheni kuna ofisi yao ila hata siku moja sijawai kuona mtu anaingia wala kutoka sasa sjui huwa wanapitia wapi
NIMETOKA KUZUNGUKA HAPO TOKA SAA 11 HADI SAA SABA HAWANIITI WANIPE KAZI TUU NIMEISHIA

kwenye kijiwe cha kahawa pale Steshen katikati wadau kama 30 hivyi vijiwe hivyi

Story zinazotamba ni SIMBA Day

Mdau mmoja kwa jina la Juma wamemuandama sana maana ni Yanga

Nataka nitie Kambi Kila siku mpaka nipate connection maana sio kwa u JOBLESS
huu.

Ila Kariakoo mbaruku street napo asubuhi kulikuwa na mada Tamu kuhusu TISS sema nilikuwa na haraka tuuu.

Mdau mmoja alisema TISS wanaotambuliwa na serikali ni Hawa NEW RECRUITING tuu et wale wenye Zaid ya mwaka mmoja hawatambuliki
Sas sijui ni Information Gathering anafanya au nn
 
Hayo madude ukiyapenda sana hayakutaki na ukiwahuyataki sana yanakupenda😂......

Ngoja waje...
Maisha ni zaidi ya unachokihitaji mkuu....
 
Hayo madude ukiyapenda sana hayakutaki na ukiwahuyataki sana yanakupenda[emoji23]......

Ngoja waje...
Maisha ni zaidi ya unachokihitaji mkuu....
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji28]

Acha tuuuu sipati picha sijui ni illusion ninazo au
 
Hayo madude ukiyapenda sana hayakutaki na ukiwahuyataki sana yanakupenda[emoji23]......

Ngoja waje...
Maisha ni zaidi ya unachokihitaji mkuu....
Maisha ni zaidi ya unachokihitaji mkuu....

Iko wazi
 
Si ungeenda kugonga kwenye lile geti la kijani mkuu? Au kama vipi ruka ukuta upande ule wa kwenye kona ingia ndani waambie natafuta kazi
 
Si ungeenda kugonga kwenye lile geti la kijani mkuu? Au kama vipi ruka ukuta upande ule wa kwenye kona ingia ndani waambie natafuta kazi
LA KIJANI SIJALIONA
ASANTE KWA USHAURI WAKO

NITARUKA UKUTA ILA NAWAZA UWEZO WA KUBEBA CV TUU MFUKONI NA KUNYANYUA MIKONO HARAKA NIKIFIKA/ TUA CHINI MAANA SIO KWA BASTOLA HIZO ZITAKAZOKUJA KUNINYOOSHEA
 
Si ungeenda kugonga kwenye lile geti la kijani mkuu? Au kama vipi ruka ukuta upande ule wa kwenye kona ingia ndani waambie natafuta kazi
Kwa nn upo hapo usi ni promote Mr maana CV umeiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…