Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Kwamba ulikuwa unalipa tena ? Yaani hii Bodi ilikuwa pia a Cash Cow ? Au sio monetary Fee ?

Things are Falling Apart..., If not yet Fallen...
Taasisi ndio iko hivyo, hatupokei hela.
 
Wanachokifanya viongozi kitawagharimu sana baadae. Kwa Sasa Wana kiburi sana! Tutakuwepo
 
Mungu akutie nguvu Master, kazi yako ya majukwaa mengi mengi ya Jamii Forum yako yamejaa madini ya ubongo.
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mkuu asante kwa uamuzi huo! Umejitahidi sana kutulinda!
 
natumaini M.Rubio atasikia vilio vyetu na kutusaidia ...
 
Uache kuruhusu chuki humu , wanaosambaza chuki wajulikane sio kujificha . Mtu mwingine akiamka tu ni kukashifu dini fulani au walimu hana cha maana ;acha kuwaficha wahuni kama hao , hauoni Mtandao wako unaweza kuleta madhara zaidi?
Wanaoruhusu chuki ni wanaokumbatia mafisadi na walafi wa rasilimali za nchi.

Yaani kisa siasa mnafungia mtandao unaotupa mwongozo wa kilimo, ufugaji, biashara na uwekezaji? Hamna akili nyie
 
Nilijua taarifa binafsi za JF. Umetisha mkuu, wewe ni hazina Kwa Taifa..πŸ‘πŸ½
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…