Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Ahh inategemea Hadi mnakubaliana kukutana mlikuwa katika Hali zipi na motives zenu zilikwaje, mambo ya posho kila mkutanapo ni changamoto pia
Ndio maana nakuuliza kabisa.
Ukikataa si basi, kwani lazima.
Kila mtu atulize makalio kwao
 
Ha ha ha ha
 
Ni kutokujielewa tu hyo tabia aisee unataka sura nzuri wewe ni mzuri kiasi gani hafu anakuja kuanzisha Uzi kabisa aisee toka lini filters ikabadili sura ya mtu zaidi ya rangi tu basi.

Mimi watu wa kukutana mitandaoni ndo sipendi kabisa hata humu JF tunajionea watu was aka information za mtu ili iweje labda, though wapo wanaojielewa wa urafiki unaodumu.

Ndo maana wengi wa mtandaoni ni domo zege wanaotaka u rahisi wa ngono
 
Kamsumbua Dada wa watu hafu kaja kumnanga huku eti mubaya yeye mzuri, gentleman huwa hafanyi huo ujinga aisee
Kilicho mshitua na kumfanya akose hamu ya Maongezi ni ile Hali ya kutokuwa na uhalisia katika muonekano wake mbali na alikuwa nao huko waliko kuwa wanawasiliana,. Hata mwanamke ana sehem yake ya kulaumiwa licha ya kuwa huyu mdau nae Kuna kaweak spot anako
 
Sio tulipoishia.
Tunasoma kitamu mpaka palipoandikwa mwisho.

Na ndio maana kuna baadhi ya vitamu, mwishoni **** references.
Na vingine vina chapter na vingine havina.
Fikiri nje ya box...!!!
Yes,i always do that!Lecture yangu ya kwanza,nakumbuka dr Othman aliweka maji kwenye glass,ikajaa!Kisha akamwaga maji nusu chini,kisha akaweka swali!Nalo lilikuwa hivi÷
Is the glass:
1.Half filled
2.Half empty
Wewe umesema ulichat nae kwa muda.
Ina maana kwa muda wote huo alikuwa na make up 24/7.

Na siku mkuwa in trapped mje kutuambia pia
Usiwe pessimistic,sijui hata ambacho hujaelewa ni nini!Kwahiyo kama kuna wakati alikuwa hana make up,mimi ningejuaje?Mtu tunachat insta,sasa hapo akiwa hana make up au anayo mi najuaje?Daaah
 
Ndio na mpaka unaona mwanaume anaanza kutafuta mwanamke mtandaoi, inabidi aangaliwe kwa jicho la pili.

Mwanaume mstaarabu hata kama atakutana na kituko, huwa kuna koromeo...la kuhifadhi dhambi za mtu....
Filter sidhani kama itanifanya niwe mzungu au muarabu, nitabaki kuwa mimi, sanasana nitakuwa soft ila sura na umbo ni kila kitu.

Labda angesema kakimbia kingine.
Sema target zake huenda ilikuwa kumla, ila dada kachomoa sasa katika kurudisha mashambulizi, kaamua ajifariji humu.
 
Hivi camera humbadikisha mtu sura na body structure kiaje aisee mi mbona sielewi, ukitaka wa Direct unaenda africasana unapata cheap hata buku tano tu.
 
Wanaume wa humu huwa hawakui milele
Halafu wana tabia za kuigiliziana!...

That's y naprefer na na kumheshimu mwanaume nayekutana nae kitaa hawanaga hizo mambo!

Mtandaoni lazima mkimbiane tu na kuboana aaagh!
 
Exactly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…