Mimi ukiniita, umenipenda....hujanipenda, lazima nauli unipe, tena ya Uber.
Yaani umenitoa zangu kitandani afu unanirudisha mswaki!!!
Weeee....!!!!
Nakumbuka enzi zile Masai club kabla haijawa hivi ilivyo,ndo lilikuwa chimbo langu la kuwasanifu wanaume.
Nakuita afu nabana simu katikati ya mapaja ikiwa silence.
Ukifika na hueleweki, utapiga simu mpaka uzimie.
Ila nikikupenda....nakunywea na nauli unatoa.
Ila sa hv nimekua....nakuitia IT Plaza au Patapata Lounge
Ukianza kuleta udhuru, najua huna chapaa.
Naachana nawe