Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Usiache bhana.

Ukitake mambo serious, utapasuka msamba.
Hapa tunapambana na wakaka wanaojiona akina mr perfect
Relax, maisha mafupi haya bro
 
Nipe hyo offer ole wako uje unianzishie Uzi JF cha moto utakiona
Mama siwezi fanya hivyo,najua weww ndio utakuja kusema humu kuwa yule kaka kumbe ni gentlemen!!
 
Usiache bhana.

Ukitake mambo serious, utapasuka msamba.
Hapa tunapambana na wakaka wanaojiona akina mr perfect
Relax, maisha mafupi haya bro
Kweli tena,tokea 2014 sijawahi kuandika MMU!Na si kila linalotokea kwenye mahusiano yangu huwa naandika,hii nimeandika tu maana mtu mwenyewe tumeonana mara moja tu!!!Wanawake nawaheshimu sana tu,so msinijudge kwa hili!
 
alikuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…