King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hahahahaaaa noma sana CHEKO kama LOTE.Ngoja nianze mazoezi maana isije fika Jf Party bado niko na tumbo langu zikaja kumiminika thread hapa
"Ohhhh Madame kuponda wanaume wakati ana sura kama upande wa chupi"...akha!!!
We endelea tu kutoka kapaMadame mpaka saiv uko huku,huna wa kushikilia zigo nin?
Mi ndio hvyo nimetoka kapa leo
Humu...we acha tu.Hahahahaaaa noma sana CHEKO kama LOTE.
Wanapokuja PM/in box ndio sehemu ya kuyajenga na kila mmoja kufunguka kwa mwenzie ikiwa ni pamoja na picha halisiWewe umapoamua kutongoza mdada humu kwenye media, tegemea lolote.
Jiandae kwa lolote
Hahaha hakika bora umesema asee, watu tunaangalia tuu,Humu...we acha tu.
Midomo yetu sisi wanawake samtain inasaidia sana.
Umamchamba mwanaume mpaka anaona giza mbele...ila ukweli unaujua moyoni
Hahahaaa usiombee kukutwa na na hilo chambo ππππ ni defense mechanism.Humu...we acha tu.
Midomo yetu sisi wanawake samtain inasaidia sana.
Umamchamba mwanaume mpaka anaona giza mbele...ila ukweli unaujua moyoni
Yaani sura imejaa vijipele vya mkorogo uliogonga mwamba,Insta unaona yuko pyeeeeeee,anang'aaa yani!Kumuona sasa,halafu kama alikuwa anatembea kaumbali kidogo maana kijasho kilikuwa kimekausha make up usini hivyo kumuacha kama alivyo kiuhalisia!!!Daaah,alivyoketi ndio kaanza kuhangaika kuirudishia make up wakati picha lote mi nilishaliona!Bahati nzuri kakuta niko bia ya kwanza,angechelewa akakuta nimeshaanza kupendeza mbona ningemuona mrembo tu!We endelea tu kutoka kapa
Umeliachia goma la Catalunya sa hv unakuja lalamika unasikia hamu.
Hebu nidadavulie, picha alizoweka insta na yeye ziko tofauti sana au kitu gani kimeongezeka au kupungua?
Na wanaume mna tabia ya kutaka picha kwanza.Wanapokuja PM/in box ndio sehemu ya kuyajenga na kila mmoja kufunguka kwa mwenzie ikiwa ni pamoja na picha halisi
Tunajijua sana.Hahaha hakika bora umesema asee, watu tunaangalia tuu,
Yaani hapo mwanamke unaonekana muongo kumbe wewe ndo mkweli.Hahahaaa usiombee kukutwa na na hilo chambo ππππ ni defense mechanism.
Kama kapaka mkorogo ni haki yake.Yaani sura imejaa vijipele vya mkorogo uliogonga mwamba,Insta unaona yuko pyeeeeeee,anang'aaa yani!Kumuona sasa,halafu kama alikuwa anatembea kaumbali kidogo maana kijasho kilikuwa kimekausha make up usini hivyo kumuacha kama alivyo kiuhalisia!!!Daaah,alivyoketi ndio kaanza kuhangaika kuirudishia make up wakati picha lote mi nilishaliona!Bahati nzuri kakuta niko bia ya kwanza,angechelewa akakuta nimeshaanza kupendeza mbona ningemuona mrembo tu!
Hatari sana bora kutoka NDuki tu .πππYaani hapo mwanamke unaonekana muongo kumbe wewe ndo mkweli.
Yaani tulivyo na umoja humu....utajutraaa!!!!!
Umeona eeeeHatari sana bora kutoka NDuki tu .πππ
Ukweli upo moyoni , unaweza ponda kitu fulani kumbe hata kukipata hicho unachokiponda hukipati [emoji23][emoji23]Tunajijua sana.
Unadhani kama mimo nitakubali.
Hata iwekwe picha yangu hapa...nakukatalia mpaka utashangaa
Ha ha ha post zinaweza kuwa poa hadi antena ikakamata vizuri, na katika post hizo mwanaume kuna picha anakuwa anaiweka kichwani,akitegemea mwisho wa siku alichokiona kwenye post kinaendana na mtu aliyemuweka kichwani.Na wanaume mna tabia ya kutaka picha kwanza.
Hivi mna nini lakini?
Unakuwa umependa post zangu au sura yangu?
AiseeKama kapaka mkorogo ni haki yake.
Hukumnusa papuchi maana wapaka mikorogo wakitembea juani huwa wananuka uchi hatari.
Ungepitisha kidole afu unuse....yaani mie nilivyo na kinyaa, ningemkimbia.
Mkorogo...hapana.
Kwa hapo nakupongeza