Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Ha ha ha taswira niliyonayo kwako ni mweupe kiasi,chura ipo,na una ubonge fulani...Ikija imetokea mmekutana na matokeo yamekuwa tofauti na matazamio hayo,ndipo shida inapoanza.
Kuna kipindi katika channel ya ID(investigation discovery) kinaitwa Web of lies,ni balaa!
Kuna jamaa mpaka alijiua sababu ya mtu hata hajawahi kukutana naye na hizo picha alizokuwa anaziona wala hazikuwa za muhusika!!!!
 
Kwema bro ? Pole kwa yaliyo kukuta. Pili nimeona matumizi mabaya ya tamko " nimeghafirika ", usahihi wake kimaandishi no "nimeghafilika" na usahihi wake kimaana ni "kusahau".

Kwahiyo hapo umelidhulumu hilo tamko.

Narudi......
 
Yes,nimeshagundua hilo
 
Ha ha ha taswira niliyonayo kwako ni mweupe kiasi,chura ipo,na una ubonge fulani...Ikija imetokea mmekutana na matokeo yamekuwa tofauti na matazamio hayo,ndipo shida inapoanza.
Yeah, that's me, japo tunapewa collabo na camera 360...si unajua tena, mambo ya kuficha chunusi na weusi wa mkorogo
 
Kuna kipindi katika channel ya ID(investigation discovery) kinaitwa Web of lies,ni balaa!
Kuna jamaa mpaka alijiua sababu ya mtu hata hajawahi kukutana naye na hizo picha alizokuwa anaziona wala hazikuwa za muhusika!!!!
Afi sa hv msimu wa Web of lies umeisha.
Wameleta ya Killer closer.
Naangalia hapa ya Murder chose me
 
Asa kama panafikika.....mbona mnatukimbia tukija?
Acha tudamshi na filters za wazungu
Ha ha ha ha,nakumbuka nilishajaribu kufanya mawasiliano na mtu nisiye mfahamu miaka 13 iliyopita yeye alikuwa chuo kimoja hapo Dar,wakati mimi nikiwa moshi.Nimetoka moshi nimemfuata,kufika ubungo akaja kunipokea mimi simjui yeye anijui;nikampigia simu kuna sehemu alikuwa amejificha na wenzake;baada ya kuonana kila mmoja ana wasiwasi na mwenzie kimtazamo;nilichofanya nikatafuta sehemu ya faragha tukaagiza vinywaji pamoja na wenzake tukanywa huku tunabadilishana mawazo.Baada ya muda tukaagana,nikamwambia tutaendelea kuwasiliana.Kesho yake narudi moshi nashanga anapiga simu,...mpenzi mbona hujaniachia ela ya matumizi.baada ya hapo yakawa mawasiliano ya kawaida hadi kupotezana.
 
Ahhahahahaha watu wanajiedit wanakuwa wengine,mme wangu anapenda kuniona nilivyo kiuhalisia hata nikijipodoa isiwe too much

Ila kuna watu hawajikubali kabisa hata kama sura mbaya jiamini tu
 
Mimi ukiniita, umenipenda....hujanipenda, lazima nauli unipe, tena ya Uber.
Yaani umenitoa zangu kitandani afu unanirudisha mswaki!!!
Weeee....!!!!

Nakumbuka enzi zile Masai club kabla haijawa hivi ilivyo,ndo lilikuwa chimbo langu la kuwasanifu wanaume.
Nakuita afu nabana simu katikati ya mapaja ikiwa silence.
Ukifika na hueleweki, utapiga simu mpaka uzimie.
Ila nikikupenda....nakunywea na nauli unatoa.
Ila sa hv nimekua....nakuitia IT Plaza au Patapata Lounge
Ukianza kuleta udhuru, najua huna chapaa.
Naachana nawe
 
Mambo ya Camera 360 hayo, not everything is it as it seem [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…