Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
We ni dk wa mchongo kabisaausimdanganye kabisa nashauri afanye mamuzi ya ghafla na njia pekee ni kuchepuka ili kutesti mtambo upo sawa au vipi kumbuka alioa mechi ikiwa 1:0 sasa ni wakati wake kusawazisha game
tuishi uhalisia elimu ikae pembeni,huyu ni wakuchepuka tuh ndio salama yake kama vipimo kasha fanya nini anasubiri apoWe ni dk wa mchongo kabisaa
hivi mnafanya mchezo na miaka 27 nini ,mnataka aje kufunguka kichwa akiwa anatembelea bakora au kitu ganiToo young..utapata tu🤦♀️🙏
Kuna kitu kinaitwa Organ Compatibility, wote mpo vizuri ila kitu kinagoma kunasa.oooh kumbe mpaka damu ziendane?
Mkubwa Kuna shida?aisee
leo kuna mahali nimesoma juu ya hayo makitu nimecheka sana eti yanachajiwa siku tatu apo ni kama yako hedhi ndani ya mwezi, mzungu ni mshenzi sanaMkubwa Kuna shida?
dada ubarikiwe mpendwaJaribu kuchepuka na km mkeo hujamkuta bikira inawezekana kwenye ubinti wake aliwai kufanya abortion
[emoji1][emoji1], daah! Eti aweke bicon....miaka mitatu kuwa na mke ndani bila ya mtoto unafikiri ni kitu kizuri,achepuke na itakapo nasa hapohapo aweke bikoni
Kwahiyo hata kwa huyo mwanamke wako aliekuwa akitumia P2 bado unatumia kings(i)eti eeh kwa sababu hata kabla sijakutana na huyu mwanamke. mimi nimekua nimtu nisiebadili wanawake (madem)
na nimekua nikitumia kinga
Miaka 27 ndiyo 'umri unayoyoma tu?'Habari za wakati huu,
Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.
Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata akiwa secondary. Tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumeshatumia dawa mbalimbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo.
Lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alishawahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani, na alikua anasumbuliwa na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumeshatafuta mitishamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.
Kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu, naomba kama kuna watu wameshapitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo.
😀si unaelewa tena mambo ya majimbo
[emoji1][emoji1]..daaa! Huu ushauri siyo poa.usimdanganye kabisa nashauri afanye mamuzi ya ghafla na njia pekee ni kuchepuka ili kutesti mtambo upo sawa au vipi kumbuka alioa mechi ikiwa 1:0 sasa ni wakati wake kusawazisha game
dada ubarikiwe mpendwa
Isikate tamaa kama hitojali tuwasilianeHabari za wakati huu,
Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.
Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata akiwa secondary. Tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumeshatumia dawa mbalimbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo.
Lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alishawahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani, na alikua anasumbuliwa na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumeshatafuta mitishamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.
Kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu, naomba kama kuna watu wameshapitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo.
Sasa akishakata tamaa then what?hivi mnafanya mchezo na miaka 27 nini ,mnataka aje kufunguka kichwa akiwa anatembelea bakora au kitu gani
watu wanashindwa kuelewa apo huyo dogo anadhalilika sana na mwanamke lazima amwone anisi,cha msingi dogo achepuke hadi awape mabinti mimbaPole sana kwanza ndugu, inabidi tujue uyo mtoto ambae mkeo alizaa akiwa secondary ana umri gani, maana mwanamke ndo anaamua muda gani azae, pia next time usikubali kuanza mechi moja bila, mungu atakusaidia.