Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilijaribu kuhamisha 48000 nikiwa na Salio kwenye simu 50000 kwenda benki nikaambiwa pesa haitoshi nikaishia hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilijaribu kuhamisha 48000 nikiwa na Salio kwenye simu 50000 kwenda benki nikaambiwa pesa haitoshi nikaishia hapo
Serikali ya ccm ovyo kabisa, wao wamekaa viti virefu Kila kitu bure sisi wa chini ndio tunawalisha wao, 2025 ifike haraka sana
Mimi nimeshaagana nao. Hawataniona tena.Pole,mimi pia walishawahi kunijeruhi.Sina hamu nao....last week kuna staff mate alitaka kumtumia mdogo wake laki 5 nmb mobile to mpesa..nilimtahadharisha...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hivi kila kona utakayotaka kupitia makato yapo yanacheka tu, yaani hakuna ujanja aisee! Weka sasa hivi milioni moja benki halafu nenda kesho kaitoe kwa njia ya foleni! Mbona utachekea Madaba!
DuhNilikuwa sijawahi kutumia hii huduma lakini sasa nilijaribu wiki mbili zilizopita na sikuangalia salio.
Muda huu nimepata bank statement kwenye email ndio naona hayo makato.
Tsh. 5,300 (NMB Tsh. 4,491.53 na VAT Tsh. 808.47) imenishangaza kukatwa zaidi ya asilimia 10 ya fedha niliyohamisha.
Hongereni sana NMB Tanzania
Si sahihi. Kristo aliilegeza hiyo tozo ila mafarisayo na masadukayo ndio wanaoing’ang’ania to the letter 😃Nimekupata mkuu 10% nyingi Sana angalau ingekuwa 2% kulingana na kipato Cha watanzania wengi. Yani wanashindana na Mungu kwenye makato kwasababu zaka lazima ukatwe 10% sasa nao eti wanaiga
Kweli kabisa, mimi sitaweza kufanya muamala tena. Watu wengi wataacha.Hii inakwenda kuua interoperability kati ya watoa huduma, mwisho wa siku kunakuwa hakuna maana ya kuwa na e-wallets. Poor madelu.
Serikali inapoambiwa inaweka mazingira magumu kwa wawekezaji ni kwa vitu kama hivi, sidhani kama kuna muwekezaji kwenye sector ya pesa mtandao anayeona kuna faida kwenye soko la Tanzania, na ndio maana wengi wanaishia KenyaKweli kabisa, mimi sitaweza kufanya muamala tena. Watu wengi wataacha.
Mama anaupiga mwingiYaani hiki wanachofanya ni wizi wa mchana kweupe. Hiyo transaction haitakiwi kukatwa zaidi ya Tsh 1000.
Hapo nilipomtumia mtu nilikatwa hela ya kutuma halafu na yeye akakatwa alipoenda kuitoa.
Ladhima tutoe gawio Serikalini" Dikteta alikuwa ana bana wakurugenzi wapeleke magawio serikali, Sasa Mama ana wabana wa nanchi tupeleke gawio serikali.Yaani hiki wanachofanya ni wizi wa mchana kweupe. Hiyo transaction haitakiwi kukatwa zaidi ya Tsh 1000.
Hapo nilipomtumia mtu nilikatwa hela ya kutuma halafu na yeye akakatwa alipoenda kuitoa.
KODI hiyo Kama Hutaki Kuishi Tanzania hamia Burundi.Nilikuwa sijawahi kutumia hii huduma lakini sasa nilijaribu wiki mbili zilizopita na sikuangalia salio.
Muda huu nimepata bank statement kwenye email ndio naona hayo makato.
Tsh. 5,300 (NMB Tsh. 4,491.53 na VAT Tsh. 808.47) imenishangaza kukatwa zaidi ya asilimia 10 ya fedha niliyohamisha.
Hongereni sana NMB Tanzania
Tozo ya serikali hiyo.Hizi bank zinatupelekesha zinavyotaka yani hawajali chochote. Wakiamua kupandisha transaction fee wapandisha tu wanavyojua. BOT kama regulatory body nao wamechill tu wavuja jasho tunaumia.
Hii nchi ni Shenzistan.
Ulishakataa kuitwa Maghayo, sawa Tajiri Sir Winston Churchill.Binadamu wote siyo sawa. Yani iyo shilingi 5,300 unaona nyingiiiii. Mara ya kwanza niliposoma nilidhani umeandika umekatwa 5.3 millions kuhamisha Billion 5.
Ndo maana Ndugai alisema tusubiri 2025 ili wananchi waamue kuchagua haya matozo au wachague atakayeachana na haya matozo."Mama" anakaba jiko na anakaba na choo.
Hakiliki wala hakuendeki.
Kati ya mama na dikteta, nani "dikteta" sasa?Ladhima tutoe gawio Serikalini" Dikteta alikuwa ana bana wakurugenzi wapeleke magawio serikali, Sasa Mama ana wabana wa nanchi tupeleke gawio serikali.