Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
-
- #201
Na sisi hatuishii mipango tu tutaitekeleza laivu. Vakesheni yetu ya zanzibar iko pale pale na hoteli nishaitafuta Manga pwaniAah acha kumtisha kijana bwana!unajua huyu kijana atakuja toboa tu yuko na plan nyingi ngingi hachagui kazi...nikimpata nampa ushauri aende mgodini mimi natafuta masoko uraiani๐๐
๐๐๐yaani kama nakuona ulivyosimama unaipiga picha huku ukijiapiza siku ukizikamata utavyoingia kuzikomesha hapo...tafadhali usiniacheNa sisi hatuishii mipango tu tutaitekeleza laivu. Vakesheni yetu ya zanzibar iko pale pale na hoteli nishaitafuta Manga pwani
Ugali na sukari huo ni uji uliochangamka....umenikumbusha siku moja nilikuwa nimefulia sana sina mboga ila nina nyanya na kitunguu na mafuta,kuchek stoo nikaona ule ubuyu mweupe kwa ajili ya juice basi nikaunga na nyanya nikala ugali mkubwa sana๐ฅฒMm sichagui bidada, nishakulaga ugali mboga ilikuwa sukari. Nipe maisha mama la mama.. mambo mengin yote tutapimiana tu
Wana jf hadi wasinda na njaa tupo! Ukitaka kujua nini sababu angalia vipato vya mtanzania wa kawaida vipoje. Jf ina watu wanatafuta ajira ili wapate kulA, pitia jukwaa la ajira uangalie wa kumsaidia mkuuKumbe Kuna Wana jamiiforums wanaokula misosi magengeni Tena maeneo ya namna hiyo?
Duhh! Jipende na ujithamini!
Huu ubuyu ni mboga nasikia manyar huko. Na kuna jamaa yangu aliwahi kuvimba bandama kwa sabab ya kufululiza kula huo kama mboga. Man huko unaambiwa mboga ni dagaa au ubuyu. Sio mzur kwa afya huu so hata kama unanunua mwingi na kuuhifadhi usifululize kulaUgali na sukari huo ni uji uliochangamka....umenikumbusha siku moja nilikuwa nimefulia sana sina mboga ila nina nyanya na kitunguu na mafuta,kuchek stoo nikaona ule ubuyu mweupe kwa ajili ya juice basi nikaunga na nyanya nikala ugali mkubwa sana๐ฅฒ
Hizi hoteli nilikuwa nafanya kaz zamani. Kabla sijarudi bongo๐๐๐yaani kama nakuona ulivyosimama unaipiga picha huku ukijiapiza siku ukizikamata utavyoingia kuzikomesha hapo...tafadhali usiniache
Good!nzuri tukanywwle cappuccino na tendeHizi hoteli nilikuwa nafanya kaz zamani. Kabla sijarudi bongo
Espresso n Sea food bucket flani hivi. Kwanza unaonaje wikend tukienda kula vyakula ambavyo Lamomy Anaviotaga tu pale goba? nikupeleke salad4days masaki pale tukapate fresh fruit salad ikiwa na t-bone mix ya pilau flani hiv.. Asee baki na mm tuGood!nzuri tukanywwle cappuccino na tende
Umezima sabab ya kuvimbiwa au poison y chakula ilkuwa kubwa?Kipindi nasoma baada ya kutumia poket money ndivyo sivyo, nishakulaga ugali na mboga 4, nyama ikiwemo, kwa tsh 250, maeneo ya keko kule ndani ndani wanakotengeneza furniture local enzi hizo,
Namaanisha shilingi mia mbili hamsini...
Niliokotwa maeneo ya TCC nimezima,
Tulikua wawili, mwenzangu yeye alikutwa kwenye ule mtaro wa pale kibasila.
Espresso n Sea food bucket flani hivi. Kwanza unaonaje wikend tukienda kula vyakula ambavyo Lamomy Anaviotaga tu pale goba? nikupeleke salad4days masaki pale tukapate fresh fruit salad ikiwa na t-bone mix ya pilau flani hiv.. Asee baki na mm tu
Mambo yanazidi kupamba moto naona shem umejitosa liwalo na liwe ๐๐๐Espresso n Sea food bucket flani hivi. Kwanza unaonaje wikend tukienda kula vyakula ambavyo Lamomy Anaviotaga tu pale goba? nikupeleke salad4days masaki pale tukapate fresh fruit salad ikiwa na t-bone mix ya pilau flani hiv.. Asee baki na mm tu
Nilijua atakuvutia na hivyo vitu ๐คฃ๐คฃ๐คฃLamomy huyu mbona kama anatufaa kwenye familia yetu hivi?anajua vitu vya kijanja sana japo kala pilau la buku jero kumbe analijua pilau la 25k...Kalagabaho mimi nipo tayari kwenda kula t-bone ila nitakula na mashed potatoes tukimaliza nishushie na mojito bariiiiidiiii
Ehh.! Sisy ushafolo ini lavu!! ๐Aah acha kumtisha kijana bwana!unajua huyu kijana atakuja toboa tu yuko na plan nyingi ngingi hachagui kazi...nikimpata nampa ushauri aende mgodini mimi natafuta masoko uraiani๐๐
Ehh.! Sisy ushafolo ini lavu!! ๐Aah acha kumtisha kijana bwana!unajua huyu kijana atakuja toboa tu yuko na plan nyingi ngingi hachagui kazi...nikimpata nampa ushauri aende mgodini mimi natafuta masoko uraiani๐๐
Kwa hiyo alikuwa tour guide huko๐๐?Nilijua atakuvutia na hivyo vitu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Huyu mjanja mjanja mno uwe naye makini hivyo vitu anavijua kakaa sana Zanzibar na watalii ๐น
Jichanganye ๐๐๐Kwa hiyo alikuwa tour guide huko๐๐?