Nimekoma walahi! Pilau la buku nimelinunua kwa 32,000 za dripu mbili

Kwa hali ilivyo bado kuna wanaouza msosi buku darasalama?
Kuna mmoja alikula wali nyama (mwingi), na matunda. Alikua na uhakika ile menu haifiki 5,000.
Akaingiza mkono mfukoni akakamata buku tatu akawa ananyoosha mkono kulipa huku anauliza bei. Muuzaji akamwambia nipe hiyo 1,000, akauliza kivipi? Alipoambiwa chakula alichokula ni cha shilingi 850 tumbo likaanza kumkasnga hapo hapo
 
Tatizo wewe ni mchoyo ndio maana "unaendesha" peke Yako, toa location ya Hilo chimbo ugali mboga nne buku watu wapone
Mbagala hapa sokoni 🀣 alafu masokoni kote msosi wa kumwaga tu.. soko lenye chakula bei juu ni simu 2000 mawasiliano peke yake. Na wanauza 2500
 
Ijue nguvu ya buku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Buku tu.. unashushiwa kifusi uhangaike nacho..

Nakumbuka tuko udsm 2018 nikapelekwaga kwa mafundi wale wanaojenga kijazi miaka hiyo. Msosi wa buku sikuumaliza mana mwingi sana lakin kutoka pale kwenda chuo niliishia Coet tu nikaanza kukimbiza mwenge
 
Pole Dah pole Sana rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…