Nimekoma walahi! Pilau la buku nimelinunua kwa 32,000 za dripu mbili

🤣🤣🤣🤣 Ukome
 
jamaa washenzi sana kuna siku nilimshanga vipi mbona nzi wengi kuzidi nyuki nikahisi kuna mkono wa mtu huwenda yule muuza juisi alingilia route ya mwenzake wallah
🤣🤣Nilivyogundua mixer nzi zinasagwa niliachaga kabisa hizo juice. ..Hata hajaingilia route juice ya muwa inatengenezwa mazingira sio salama kabisa
 
🤣🤣Nilivyogundua mixer nzi zinasagwa niliachaga kabisa hizo juice. ..Hata hajaingilia route juice ya muwa inatengenezwa mazingira sio salama kabisa
Juisi ya miwa unainywea wapi? Sehem zenye watu wengi sana usafi unapungua mana inapelekwaga mpera mpera. Unakutana na mkamua juisi kaloa jasho
 
Masaki ya wapi? Mbona nasikia kule wanakusagia hapohapo matunda masafi, mazima kabisa
Masaki hiyo hiyo Mkuu

Naogopa kuharibu biashara za watu, ila nahisi walitumia Maji ya bomba kutengeneza ile juicy pasipo kuyachemsha.

Binafsi nikinywa juice za namna hiyo, tumbo langu lina-react haraka sana Kwa kuanza kuniuma.
 
Itakuwa supu ya fisi si bure
 
Pole sana mzee, rahisi huwa ni ghali.
Tatizo wanapika nichuzi mizito kwa masalo. Chuzi ukiliona mbali linaita kwelikweli.. na kuna kiungo nimekiskia kinaitwa "Ladha" kinauzwa 200.. ndo nimekijua leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…