Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

Mayai 2 daily asubuhi
Main robo
Kitimoto
Na wali ukila hivyo vitu utaona maajabu yake
 
Wewe bwana mdogo mbona munkari upo juu sana. Sasa utaweza vipi kugundua mtu kanenepa au hali yake ya lishe ilivyo bila kufahamu body mass index yake ? Yani unataka watu washauri kitu wasichokuwa na uhakika nacho, hali ya lishe ya mtu inapimwa kukingana na urefu na uzito wake. Kuwa mpole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ