Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
kafie mbeleMama mitano 5
Ya niniMama mitano 5
nmekwambia kafie mbeleMama mitano 5
Inaonesha jinsi waafrika na baadhi ya watu wasivyo na kinyaaNaunga mkono hoja
Hata hao unao ona mademu wa kawaida ndio wanaouza yaan hakuna unachoruka kwa dunia tulionayo kila mtu anauza kwa namna yake.Ndugu mnaopoza njini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.
Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kifhwani unaanzaje kulaka na Malaya? Tena anayejiuza?
Hii sio tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja hiviwezi.
Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amenaliza na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Huyo sio wangu....akishakuwa wangu basi ni wangu tu.kununua malaya ni kitu kimenishinda maisha yangu yote, ila shida ni moja mkuu huyo unaesema wa kwako unagharamia kuna watu hawanaakili kama unavyowaita, anawauzia goli moja elf 5.
Hao sio wa kwangu......ni wa wengine hao wasio na akili.Yaa
Hata hao unao ona mademu wa kawaida ndio wanaouza yaan hakuna unachoruka kwa dunia tulionayo kila mtu anauza kwa namna yake.
Wa maofsini hata kama ni malaya hawawezi kupigw na watu 4-6 usiku mmoja. Atafanya kwa kujiiba iba tena kwa mwanaume mmoja mmoja sanaHao wanawake wa nmaofisini ni malaya wa kiaina yao pia
Kumbuka amekupa baada ya kubembeleza sana Bei....anakwambia wahi kashakuona we kapuku. Maana kama sio Kapuku unaendaje kwa wanawake wa buku 5 tano?Kijana ule ni mtihani wa kupima maamuzi yako. Akisema wahi sema bado naongeza. Atakuheshimu milele. Usiwahi kutoka wakati wewe ndo kakupa nafasi.
Yaani kuna watu hawana akili mpaka wanajisifia. Ni ukosefu wa akiliBinafsi pia siwezi.