Application ya ule msemo wa ukitoa elimu yako kichwani unabakiwa na nini ?Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi
Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado
SO WHAT WE GONNA DO
Bado haujajibu SwaliHapana mkuu. Huyo anakuwa na uwanja mpana zaidi wa kutembeza bahasha na cv yake. Ni suala la muda na uwezo wa mtu kujiongeza na kuzitambua fursa zilizopo.
Mali za urithiApplication ya ule msemo wa ukitoa elimu yako kichwani unabakiwa na nini ?
Wewe umekomalia kutoboa kutoboa Dar wapo Vijana kibao wametoboa Pua na Masikio Ila hawana mafanikioDSM ndo rahisi kutoboa ukiwa Una fine tune unaweza kufikia lengo.
Huwa nashangaa graduate anakimbilia kijijini na kuacha Ku-hustle DSM .
Sio lazima ule madawa Ila waweza wewe Kuwa ndo hayo madawa yenyewe.
Sky is limit everyday RICH.
Wewe umekomalia kutoboa kutoboa Dar wapo Vijana kibao wametoboa Pua na Masikio Ila hawana mafanikio
Hustlers smart unamaanisha dalali?Mbona upo negative Sana mkuu unatazama mabaya tu ??? Acha kuwakatisha watu tamaa .
DSM ukiwa hustle smarter unafanikiwa
Hustlers smart unamaanisha dalali?
Kwa hio awe dalali Wapi Dubai?Udalali haujui kuwa Una hela Sana ?? Kuzidi hata hizo ajira
ChinaKwa hio awe dalali Wapi Dubai?
Sio Japan?China
Sio Japan?
Ya BuzaHamna Tokyo
Ni kweli sijajibu swali. Ila kama unadhani kupata elimu ni kupoteza muda, hebu jaribu kutokuipata elimu. Wahenga walisema: "Kama unaona elimu ni ghali jaribu ujinga"Bado haujajibu Swali
Nasikitika kusema kwamba watu wanakwenda shuleni kusoma ili kuweza kukabaliana na maisha kwa ufanisi zaidi na siyo kuajiriwa. Je, unadhani chanzo cha kukosa ajira ni nini? Je, mfumo wa uongozi wa nchi unaweza kuwa chanzo? Je, unadhani unaweza kutumia elimu yako kudai kuleta mabadiliko ya mfumo? Haya ndiyo mambo muhimu msomi yeyote anatakiwa kujiuliza.Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi
Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado
SO WHAT WE GONNA DO
Kuna watu hawana elimu Ila wana Mafanikio, nilishawahi kwenda bank Jamaa ana Hela kibao Ila kuandika hajui kabisa nilishangaa kanyuka suti kali Ila kuandika hajui haujui hajui Ila Pesa anazo km uchafu, kwa hio Jibu unaloNi kweli sijajibu swali. Ila kama unadhani kupata elimu ni kupoteza muda, hebu jaribu kutokuipata elimu. Wahenga walisema: "Kama unaona elimu ni ghali jaribu ujinga"
Wahitimu wengi wa Tanzania wanakwenda shuleni kukariri kujibu maswali ili wapate maksi nzuri na kupata ajira. Hapo ndipo tatizo linapoanzia. Ndiyo maana unakuta wanashindwa hata kuwa viongozi wa kudai mabadiliko ya mfumo ambao umefeli kabisa.Ni kweli sijajibu swali. Ila kama unadhani kupata elimu ni kupoteza muda, hebu jaribu kutokuipata elimu. Wahenga walisema: "Kama unaona elimu ni ghali jaribu ujinga"
Hebu jiondoe kwenye dhana wewe ni mhitimu wa chuo kikuu!jione kama ulisafiri kwa muda mrefu Dana tangu ukiwa na Miaka saba na Sasa ndio umerudi nyumbani!!!!Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi
Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado
SO WHAT WE GONNA DO
Ajiondoe alafu iwe nini? Kulikua na umuhimu gani wa yeye kwenda Shule/Chuo kupoteza Muda? Hapo alipo Serikali Ina Mdai Pesa za boom na hajui atazirudisha VipiHebu jiondoe kwenye dhana wewe ni mhitimu wa chuo kikuu!jione kama ulisafiri kwa muda mrefu Dana tangu ukiwa na Miaka saba na Sasa ndio umerudi nyumbani!!!!
Sasa jikite kwenye fikra zako Nini unaweza kufanya halafu kuwa risk taker juu ya wazo hilo ulilopata!!
Mkuu ushauri wako unakuaga na tu vi theories flani hvKama bado u po DSM usiondoke just connect with well successful people utaaanza kuona Mwanga
Elimu ya Tanzania imekaa kisiasa Sana