macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Siku zote hatuendi shule ili tupate ajira. Najua hili kwa Tanzania ni gumu na wahitimu siyo wa kulaumiwa. Uongozi wetu ndiyo ume-set mambo yawe hivyo.MIMI SIO muhanga wala Muhenga nachangia mada tu km ilivyowekwa malumbano ya hoja, kuna tatizo kwani? Sipo tayari ku-support unachoki-support kila mtu ana uelewa na mtazamo wake iwe hasi au chanya Ila maoni ya kila mmoja wetu yaheshimiwe iwe kwa kujenga au kubomoa Ila ujumbe umefika
Unaonaje ma-gradiate wa nchi nzima wangehamia Dar ili kutoboa kirahisi?DSM ndo rahisi kutoboa ukiwa Una fine tune unaweza kufikia lengo.
Huwa nashangaa graduate anakimbilia kijijini na kuacha Ku-hustle DSM .
Sio lazima ule madawa Ila waweza wewe Kuwa ndo hayo madawa yenyewe.
Sky is limit everyday RICH.
😂😂😂😂😂 AiseeeMbona wanazidi kumiminikia huko na hakuna anayerudi kwa ajli ya ugumu uliopo?
Hapana mkuu. Huyo anakuwa na uwanja mpana zaidi wa kutembeza bahasha na cv yake. Ni suala la muda na uwezo wa mtu kujiongeza na kuzitambua fursa zilizopo.
Umesema vyema kwamba elimu sio mafanikio ila ujue kwamba kuwa na elimu ni sehemu mojawapo ya mafanikio ya mtu i.e. Elimu inachangia pakubwa sana ktk mafanikio ya mtu. Kama hoja ni kuajiriwa basi mwenye elimu atajiongeza na ataikubali ajira hiyo aliyopewa na mtu mjinga. La msingi hapo ni amepata ajira - hatoangalia eti anayemwajiri anaingiza kiasi gani kwa mwezi. Ni sawa na kuhoji mbona Serikali inaingiza trilions kwa mwezi e.g. kupitia TRA, kwa nini inalipa kima cha chini laki 3?Hahaha mkuu nitakupa mfano mdogo tu Ila sijui km utakufaa lakini ngoja nikuambie uelewe wapo watu hawajasoma Ile kusema eti wamesoma Ila wana Mafanikio elewa ninachokwambia wapo watu sio kwamba wamesoma Ila wana Mafanikio hio maana yake ni kwamba Elimu sio Mafanikio, unielewe vizuri nakuambia tena Mafanikio sio Elimu na Elimu sio Mafanikio, Mjinga huyo anamuajiri Msomi yeye anaingiza Million 30 kwa Mwezi alafu Msomi anaingiza Million 3 kwa Mwezi nani mjanja hapo?
Sawa mkuu unacheka /unazomea lakini ikitokea e.g. zimetoka ajira Serikalini au Private Sector ni lazima kunakuwa na vigezo kwa waombaji na kiwango cha elimu kikiwa ni mojawapo. Sasa huyo asiyekidhi vigezo simply kwa kukosa elimu au hana elimu, anakuwa Naturally Disqualified.😂😂😂😂😂 Aiseee
Majibu kumbe unayo ndio maana nikasema suala la Mtoto kwenda Shule liwe la hiari ya Mzazi na Mtoto, sio inalazimisha watoto waende Shule alafu wakimaliza mtaani wanabakia wanazagaa tu mtaani huo ni usengeSiku zote hatuendi shule ili tupate ajira. Najua hili kwa Tanzania ni gumu na wahitimu siyo wa kulaumiwa. Uongozi wetu ndiyo ume-set mambo yawe hivyo.
Itoshe kusema kwamba umekubariana na Mimi katika hili kwamba Mafanikio sio Elimu na Elimu sio Mafanikio,Yeah. Ni kweli unaweza kuwa na mafanikio licha ya kwamba huna elimu
Huyo wa aina hiyo ni kwamba hakujua kilichompeleka shule. Yeye alikuwa anahudhuria darasani tu. Masomo mengi ya darasani esp.Science humjenga mwanafunzi kufikiri na hivyo kukua kiakili.Siyo vyuo vya Tanzania unazungumzia hapa. Elimu yetu ni hovyo kiasi ambacho wahitimu wanakuwa hawawezi kutafakari mambo madogo kabisa.
Wewe ndio unasema hivyo Ila sicho ninachomaanisha Mimi, ninachomaanisha km kwamba mtoto/kijana akimaliza kusoma hapati kazi/ajira ilikua na umuhimu gani wa kwenda kusoma? Si angefanya kazi za kumuingizia kipato let say hio zaidi ya miaka 10 anayoisotea kutafuta Elimu angeisotea kufanya Jambo linalomuingizia kipato mpaka anafika umri wa kumaliza elimu yake si angekua mtu mwenye Mafanikio sana, sijui unanielewa vizuri lakini?Sawa mkuu unacheka /unazomea lakini ikitokea e.g. zimetoka ajira Serikalini au Private Sector ni lazima kunakuwa na vigezo kwa waombaji na kiwango cha elimu kikiwa ni mojawapo. Sasa huyo asiyekidhi vigezo simply kwa kukosa elimu au hana elimu, anakuwa Naturally Disqualified.
Namna gani ya kifiri hiiUnaonaje ma-gradiate wa nchi nzima wangehamia Dar ili kutoboa kirahisi?
Nakupata vizuri.Hoja yangu ni pale uliposema hakuna haja ya elimu. Mimi nikakuambia elimu inaanzia tangu chekechea hadi huko juu. Sasa kama unapata elimu basic na ukaona hiyo inatosha mie sipingani na hilo ila sio mtu anakuwa empty kabisa.Wewe ndio unasema hivyo Ila sicho ninachomaanisha Mimi, ninachomaanisha km kwamba mtoto/kijana akimaliza kusoma hapati kazi/ajira ilikua na umuhimu gani wa kwenda kusoma? Si angefanya kazi za kumuingizia kipato let say hio zaidi ya miaka 10 anayoisotea kutafuta Elimu angeisotea kufanya Jambo linalomuingizia kipato mpaka anafika umri wa kumaliza elimu yake si angekua mtu mwenye Mafanikio sana, sijui unanielewa vizuri lakini?
TOA maelezo yaliyoshiba sio Nusu Aya hio unahitaji utoe maelekezo yenye paragraphs za kutoshaPanda ndege njoo Dubai saidia fundi analipwa laki Tisa..
Naona sasa tunaanza kuelewanaNakupata vizuri.Hoja yangu ni pale uliposema hakuna haja ya elimu. Mimi nikakuambia elimu inaanzia tangu chekechea hadi huko juu. Sasa kama unapata elimu basic na ukaona hiyo inatosha mie sipingani na hilo ila sio mtu anakuwa empty kabisa.
Yaani mkuu don't take serious mi nipo nipo tuu kusogeza mada mbele...Sawa mkuu unacheka /unazomea lakini ikitokea e.g. zimetoka ajira Serikalini au Private Sector ni lazima kunakuwa na vigezo kwa waombaji na kiwango cha elimu kikiwa ni mojawapo. Sasa huyo asiyekidhi vigezo simply kwa kukosa elimu au hana elimu, anakuwa Naturally Disqualified.
Fact📌🔨Wewe ndo hauna maana mtaani wala siyo elimu, kwa dunia ya sasa ya utandawazi umemaliza chuo na bado unaongea huu ujinga?
Umeshindwa hata kuwa mwizi wa kutumia akili!
Hiyo cm unayotumia kuandika koment unaweza kuitumia na ikakuwezesha ktk. mambo mengine A and B . Itumie kuwasiliana na wenzako, Ndugu, Marafiki au Jamaa wakupe ramani - Using'ang'anie kukaa Dar.Yaani mkuu don't take serious mi nipo nipo tuu kusogeza mada mbele...
Hapa nilipo sina A wala B na nimemaliza hayo mambo kitambo hikoo...
Sawa mkuuHiyo cm unayotumia kuandika koment unaweza kuitumia na ikakuwezesha ktk. mambo mengine A and B . Itumie kuwasiliana na wenzako, Ndugu, Marafiki au Jamaa wakupe ramani - Using'ang'anie kukaa Dar.
Exactly. Naunga mkono hoja.Mambo ya kusoma na kutosoma ni nadharia Ila ukiwa smart na Una sense of who you are , unaweza kushindwa kulaza hata buku 20 kwa siku.
Vijana mnatishana Sana kiukweli wakati nipo Bukoba niliambiwa maisha ya DSM magumu Sana haya maneno niliambiwa na kaka zangu Ila to be honest ukiwa smart DSM kufanikiwa 90%
Pia ukitaka utoboe maisha na uishi bila stress kuwa na kitu kinaitwa "seed perspective"
Chochote ulichonacho kitazame kwa mfumo wa mbegu iwe, pesa ,elimu, nguvu , akili n.k
So ukiwa na mbegu tayari unaanza kutafuta mahali pakwenda kuipanda mbegu yako.
Ikiwa Una nguvu angalia sehemu ya kuiwekeza hiyo mbegu the same ukiwa na akili au Elimu na pesa.
Elimu imekunyima mavuno Ila imekupa mbegu just use it .
Then hawa watu ambao wapo Kari u yako jaribu kuwafanya kuwa mabalozi wako wa kukusemea .
Kukosa hela inaweza kuwa kawaida Ila kukosa mchongo wowote hii maana yake hauna watu.