Huwa mnasema maisha ni zaidi ya ngono ila wasipokata hivyo viuno mnalalamika kwamba wanawake wa siku hizi siyo wabunifu, chagueni moja mnataka viuno au mnataka kusaidiwa majukumu yenu ya kutafuta pesa na kuhudumia familia, na je ninyi pia mkoa tayari kuwasaidia wanawake majukumu yao ya nyumbaniTofauti na ngono, mwanamke hawawezi kukupa kingine. Huu ndiyo uhalisia
Maisha ni zaidi ya ngono, unanikatikia kiuno halafu unasema umenipa vyote?
Ukinunua hata umeme wa 5,000 unasema umenikopesha na unataka hela yako.
du!Huwa mnasema maisha ni zaidi ya ngono ila wasipokata hivyo viuno mnalalamika kwamba wanawake wa siku hizi siyo wabunifu, chagueni moja mnataka viuno au mnataka kusaidiwa majukumu yenu ya kutafuta pesa na kuhudumia familia, na je ninyi pia mkoa tayari kuwasaidia wanawake majukumu yao ya nyumbani
Zote zako hizi, mkuu basi wewe tajiri 😳😳machimbo ni yapi boss?
NYUZI ZANGU ZINGINE
1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi
2. "Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi
3. Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae
4. Je, mapenzi ni mabaya?
5. Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?
6. Alichonifanya mume wangu baada kurudi toka safarini
7. What you see is what you get!
8. Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?
9. Mpenzi wangu anajikojolea kitandani nifanyaje?
10. Happy Birthday Money Penny ~ March 8th Baby!
11. Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa
12. Shule imemshinda anatafuta 'sponsor'!
13. ''I love you Baby, kissess mwaaah'' ndio maneno nakutana nayo kila asubuhi, wewe je?
14. Money Penny Mpenzi, naomba namba yako ya simu
15. Story: Money Penny ni nani lakini?!
ndioZote zako hizi, mkuu basi wewe tajiri 😳😳
DuWadada wangapi washawahi kukupa kila kitu? Mzee wa kupambania
Ila sidhani kama wanaume wote mnawaza ulichoandikaKuna kumpa kila kitu na kumpa kitu.
Kumpa mwaume kila kitu sio garantee ya kupata mapenzi/attention ya mwanaume mfano kuna mabinti wanajitoa mpaka kujidharirisha maumbile yao lakini bado wanaachwa.
Ila kumpa kitu inaweza kumfanya mwanaume akafikiria future/maisha na huyo binti sio lazima ikawa material au upendo lakini kitu ni ile dhamani aliyonayo mwanamke mpaka mtu unafikiria nikiwa naye huyu ata maisha yangu yatakua tofauti na ndio inaleta mahusiano au familia bora
Nikipita rafu road hapo akijisifu amenipa kila kitu nitakubaliana naye 😊Wadada wangapi washawahi kukupa kila kitu? Mzee wa kupambania
Mwanaume ndiyo anaoa. Kukata viuno au kusaidia majukumu siyo kigezo cha mwanamke kuolewa.Huwa mnasema maisha ni zaidi ya ngono ila wasipokata hivyo viuno mnalalamika kwamba wanawake wa siku hizi siyo wabunifu, chagueni moja mnataka viuno au mnataka kusaidiwa majukumu yenu ya kutafuta pesa na kuhudumia familia, na je ninyi pia mkoa tayari kuwasaidia wanawake majukumu yao ya nyumbani
Mwanaume ndiyo anaoa. Kukata viuno au kusaidia majukumu siyo kigezo cha mwanamke kuolewa.
Heshima, kujitunza, kujua majukumu yake ya nyumbani na kumsikiliza mumewe ndizo nguzo za mwanamke kuolewa.
Shida ya wanawake ile 50/50 inawaharibu. Ujuaji mwingi, kutoa siri na kushindana
Nikipita rafu road hapo akijisifu amenipa kila kitu nitakubaliana naye 😊
Wadada wangapi washawahi kukupa kila kitu? Mzee wa kupambania
Kwanini unafikiria haiko ivoIla sidhani kama wanaume wote mnawaza ulichoandika
HaipoKwanini unafikiria haiko ivo
Kwanini unafikiria haiko ivo
Mwanaume ndiyo anaoa. Kukata viuno au kusaidia majukumu siyo kigezo cha mwanamke kuolewa.
Heshima, kujitunza, kujua majukumu yake ya nyumbani na kumsikiliza mumewe ndizo nguzo za mwanamke kuolewa.
Shida ya wanawake ile 50/50 inawaharibu. Ujuaji mwingi, kutoa siri na kushindana
Kwanza uyo Eliza ni aina ya wadada wanaingia kwenye mahusiano wakiwa na standards zao ambazo mara nyingi zinaondoa msingi bora wa mahusiano ie Sasa hapo yeye anawaza kununua gari bila kuchangia ata wazo tu iyo gari itapatikanajeBwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?
Dear Money Penny YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni. Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta. Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu. Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO...www.jamiiforums.com
Jamaan, usimshambulie Eliza namba hiyoKwanza uyo Eliza ni aina ya wadada wanaingia kwenye mahusiano wakiwa na standards zao ambazo mara nyingi zinaondoa msingi bora wa mahusiano ie Sasa hapo yeye anawaza kununua gari bila kuchangia ata wazo tu iyo gari itapatikanaje
Uyo naye jamaa bado Yuko kwenye mfumo wa ujima ie mwanamke sio heshima, kujitunza au kujua majukum pekee lakini anawezaje kuongeza dhamani kwenye mahusiano/ndoa ndio maana Kama ni heshima au kujitunza mbona hata Malaya/walevi wanaolewa?
*Mimi nadhani mahusiano bora ni Yale ambayo kila mmoja anajukumu la kuongeza dhamani kwenye maisha ya mwenzake labda kwa kuwa na malengo au ndoto zinazofanana ivyo kila mmoja ana wajibu wa kuhakikisha zinatimia
Mama NI WA kishumunduKweli Wee Mama ni Wa Singida ????