Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi

Kha, Yani wewe Mbinguni huendi na Motoni shetani anakuchoma na gesi
 
Ndio kiufupi hapo ni mnakuwa mmehudumiana sasa usipompa pesa utampa nini, mnataka wanawake watimize majukumu yao ila ninyi mkiambiwa mtimize yenu mnasingizia sijui wanawake wanataka malipo, na kwanini uchukulie kama malipo na siyo kama jukumu lako
 
Na wanaume wanapenda hela haooo, alafu wanatusingizia sisi wanawake
 
Acha kujifanya hujui ndugu? Hapo ulipo kila kitu unamtegemea mwanaume kula yako, kuvaa, matibabu, malazi n.k
Umeme ukikatika ndani, unamsubiri mwanaume ndiyo ajaze hata km unafanya kazi.
Kijana yote hayo yanahitaji pesa ndio maana nikauliza ukitoa hizo huduma zinazohusisha pesa ni kipi kingine mwanaume anaoffer kwa mwanamke, sawa labda na mimi niseme hapo ulipo kila kitu kupikiwa, kufuliwa, kufanyiwa usafi na malezi ya watoto vyote unamtegemea mwanamke ilihali hata wewe unaweza kufanya, hiyo nayo imekaaje
 
Ndio kiufupi hapo ni mnakuwa mmehudumiana sasa usipompa pesa utampa nini, mnataka wanawake watimize majukumu yao ila ninyi mkiambiwa mtimize yenu mnasingizia sijui wanawake wanataka malipo, na kwanini uchukulie kama malipo na siyo kama jukumu lako
Siyo kuhudumiana mwanamke anakuwa amemnyonya mwanaume.
Kuna nyumba, gari, simu n.k
Ni nani anayenunua chakula, kujenga nyumba, kusomesha watoto?
Hiyo pesa unayozungumzia huwezi hata kutoa kulipia pango ambayo mnakaa pamoja na mumeo
 
nina demu simpi chochote na nikimuita geto lazima atimbe hanidai hela wala nn
Na ndicho wanaume wengi mnachotaka hiki yani wanawake wafanye zaidi kuliko ninyi, halafu baadaye na wewe utakuja kusema wanawake hawana kingine cha kuoffer zaidi ya sex, haya nikuulize hapo wewe unachooffer kwake ni kipi hasa
 
Siyo kuhudumiana mwanamke anakuwa amemnyonya mwanaume.
Kuna nyumba, gari, simu n.k
Ni nani anayenunua chakula, kujenga nyumba, kusomesha watoto?
Hiyo pesa unayozungumzia huwezi hata kutoa kulipia pango ambayo mnakaa pamoja na mumeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…