Libertatem Pugnator
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,005
- 1,377
Thank youKampuni ya kuunda mabasi ya abiria yaanzishwa | East Africa Television
Kampuni ya BM Motors iliyopo eneo la Zegereni katika Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani, imeingia kwenye orodha ya kampuni zinazounda na kutengeneza mabasi ya abiria nchini Tanzania.www.eatv.tv
Kwenye hii habari utaliona hilo bas likiwa bado halijakamilika
Hongera watengenezaji na wawezeshaji wa hii project. Ila cha ajabu bei ya hilo basi itakapoanza kuuzwa litakuwa linabei sawa na zile zinazotoka china au zinapishana kidogo sana kiasi kwamba bora uagize.Salaam Wakuu,
Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.
Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.
Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.
Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.
View attachment 1813536View attachment 1813537
Anadhani kumade kitu ni kama kutia Mimba?Msiturudishe kule jamaaa..!! Kule ambako mchezaji anafunga gola uwanjani anasifiwa raisi. Furthermore, ni made in Tz au assembled in Tz?
Kweli mkuu. Wasiturudishe kule ambako focal point ya kupatwa kwa jua ilikuwa Wanging'ombe (Iringa au Njombe), watu walifika kwa wingi kuangalia. Mwendazake akasifiwa Sana as if yeye ndiye kasabqbisha.Msiturudishe kule jamaaa..!! Kule ambako mchezaji anafunga gola uwanjani anasifiwa raisi. Furthermore, ni made in Tz au assembled in Tz?
Toyota anatumia Engine zake mwenyewe.Nani kakudanganya? vipo baadhi ya vitu kidogo tu ndio wana source. Ila viwanda kama Toyota na wenzake, chassis, body, engine wanatengeza wenyewe in house halafu ndio kuna assembling point. Kunakuwa na department tofauti kila moja na kazi yake.
mazingira yalikuwepo kabla ya yeye kuwa mtawala. si yeye elieweka.jinga wewe, sifa zinaenda kwa kwa anaeweka mazingira mazuri kuwezesha ubunifu
ni kitu cha ajab sana. zile hazikuwa sifa bali unafki wa wazi waziKweli mkuu. Wasiturudishe kule ambako focal point ya kupatwa kwa jua ilikuwa Wanging'ombe (Iringa au Njombe), watu walifika kwa wingi kuangalia. Mwendazake akasifiwa Sana as if yeye ndiye kasabqbisha.
Upo sahihi kabisa, hata Manji alikuwa anatengeneza mabodi kitambo snWameunga mabati kutengeneza bodi hakuna kipya hapo kwa hao mafundi mshundo wa NIT
Salaam Wakuu,
Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.
Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.
Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.
Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.
View attachment 1813536View attachment 1813537
Hii muhimu sanaHakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.
Angekuwapo JIWE hilo basi lingeitwa JPM COACHHongera sana mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mazingira mazuri ya biashara na kurudisha imani ya wawekezaji.
Body ndio imeundwa hapa , kwa muonekano ni kama body za upendo, wapo kibaha madafuSijaelewa vizuri, body ndio imeundwa hapa ama kuanzia chassis, engine na body vyote vimeundwa hapa Tanzania?
Hizi zipo advanced kuliko hizo za moshi, ndo maana wapo NIT kutafuta roadworthy certificates, ni kama jamaa wanataka kufanya vitu kwa umakini zaidihizi ukienda Moshi mbona kawaida tu,unaweza sema Yu Tong/Marcopolo imehamishiwa uchagani