Nimekutana na Basi "Made in Tanzania", hongera Rais Samia Suluhu

Magu yeye ndio alitengeneza hilo gari, ana karakana? Angeweza kutengeneza gari angeenda kupora hela za wenye Bureau de change?
Nafsi inakusuta kuda deki.

Tangu uhuru hii nchi haijawahi tengeneza basi.
 
Sijui mtanganyika kachangia kiasi gani. Yale yaleeee! Mitambo ya Mang'ula waling'oa wakauza nje, NECO mitambo ya kuyeyusha chuma wakang'oa wakauza nje halafu wakaanza kuagiza bidhaa zilizokuwa zinaundwa hapa nchini kwa waliowauzia mitambo.
 
Rekebisha title iwe" assembled in Tanzania
 
Next time.. Ma nigga cc. figga nigga chunguza kwanza 🤣🤣🤣 usiwaamin hawa raia, hiyo chombo wamefanya assembling tuu!!! Mazagazaga yote yametoka ng'ambo.
 
Hii mbona ilianza muda tu NIT. Hata walikuwa wanapilot utengenezaji wa ndege ndogo, na kama sijakosea kwenye maiden flight ya testing ilipata ajali....
 
Msiturudishe kule jamaaa..!! Kule ambako mchezaji anafunga gola uwanjani anasifiwa raisi. Furthermore, ni made in Tz au assembled in Tz?
Ha ha ha Ila Jiwe aliifanya hii Nchi kama tambala
 
Ha ha ha Ila Jiwe aliifanya hii Nchi kama tambala
Samia ni Magufuli.

Samia aliteuliwa na Magufuli kama alivyoteuliwa Sabaya, Hapi, Majaliwa,Mpango etc

Acha wanafunzi wa Magufuli waumane
 
Umedandia. Soma kwanza tangu mwanzo tulikoanzia.
Wabongo bana 🤣🤣, yaan unaona nimekoment ambacho hakihusiani na mada au 🤣🤣🤣. Unaposema made in inamaanisha imetengenezwa in general nchi husika, na hapa kwetu hatuna uwezo wa ku made motor car's. That's why nikasema kilichofanyika ni assembling tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…