Nimekutana na ex wangu akiwa kachoka

Nimekutana na ex wangu akiwa kachoka

Kuna dem nilikuwa nae niweke rough tu hapa matumizi yake yalikuwaje
Kodi 350k
Mafuta gari 50(week)
Matumizi(chakula maana alikuwa hapend kupika 100k weeks)
Dinner za pamoja kwa wek zaid ya 200k
Nywele karibia 60k kila week
Kucha 15 kweek
Matimizi binafsi 50k week
Na mengine mengi
Halaf mpuuzi akanicheat na ex wake tena pale pale nilipompangia akafumwa na camera bila kujua
Nikamtimua na bags zake pekee maana navyompa havitoshi aende ex wake ampe


Kumuuliza why ananicheat et anadai amechoka kulala mwenyewe hivyo niache kulala kwangu na mke wangu nikalale nae wakat naanza nae anajua me ni mme wa mtu


Jana nimekutana nae Mliman city kachoka mpk anatia huruma

Muwe mna value basi mtu akiamua kuwekeza kwenu hata kama ni mme wa mtu eti


Nb: Sahiz napigana kusepa siwekezi kwa mtu mmoja tena [emoji119]
Mkuu acha uongo inamaana wewe ni tajiri saaana uonge kiasi hicho? Anyway kila mtu jf anapesa sana.
 
Mafuta gari 50(week)
Matumizi(chakula maana alikuwa hapend kupika 100k weeks)
Dinner za pamoja kwa wek zaid ya 200k
Nywele karibia 60k kila week
Kucha 15 kweek
Matimizi binafsi 50k week

Glenn na Espy kwaherini ngoja nisome some pm zangu, naona hapa macho mengi....[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zikizidi sema nikusaidie kusoma.
 
Mafuta gari 50(week)
Matumizi(chakula maana alikuwa hapend kupika 100k weeks)
Dinner za pamoja kwa wek zaid ya 200k
Nywele karibia 60k kila week
Kucha 15 kweek
Matimizi binafsi 50k week

Glenn na Espy kwaherini ngoja nisome some pm zangu, naona hapa macho mengi....[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nawewe umeliona hilo?
 
Huyo dada naye anatusimulia huku kwamba amekutana na wewe ukiwa umechoka sana! Sasa sijui nani kachoka hapo kila mtu anamuona mwenzake kachoka😛🤔
 
Back
Top Bottom