Nimekutana na rafiki yangu mwarabu tuliesoma shule ya Msingi, Nasikitika kuona wageni wanavyotajirika huku wenyeji tumeridhika na vimafanikio vidogo

Sijakuelewa we unaishi Nchi gani? Sio ndugu Bali kabila moja ndio nini?

Makabila mengine hata hio kua kabila moja akupe support sahau, sasa hujanielewa nini? Wachaga wanaonyanyuana ndugu wapo wengi tu sema wewe ndio haujui,

Uliza kingine
Then kutoboa MAISHA ni kuwa na ramani sahihi za kufika Sehemu husika haina haja ya kulalamika mambo ya kupita haya


MAFANIKIO au PESA kila mtu anaweza kuzipata sio lazima tupewe backup na mtu kikubwa kuwa na MAARIFA tu.


Then hata hao tunaowaona wapo financially stable ni umasikini tu ndo unatufanya tuone Kuna Gap ila tukikaza tunafika popote .

Sisi watu weusi Ni watu wa kulalamika then tukipewa Kazi tunaiba na kudharu walio chini we need to Fuc**y our Ego
 
Then kuhusu nidhamu ya Pesa mtu mweusi yupo nyuma Sana unampa mtaji anawapa mademu wake.

Kiufupi Kuna watu wamewapambania ndugu zao Ila Hakuna hata mmoja kafanikiwa zaidi ya kula mtaji .ndo maana mtu mweusi anaonaga bora akulipie Ada ukale nadharia
 
Sisi wenyewe ndio tunawapa utajiri, jiulize wewe lini umefanya manunuzi makubwa Kwa mswahili mwenzio? Umempa deal mswahili mwenzio. Kwa idadi yetu tukisema hatununui vitu Kwa mhindi au mwarabu uone kama wataendelea kuwa matajiri. Jiulize wao wananunua nini Kwetu.

Ni ujinga wetu ndio ulivyo, mhindi akiingia kwenye org yenu atafanya juu chini kupereka biashara Kwa mhindi mwenzake. Wakati waswahili kazi kuwangiana tu.

Nasisitiza ni ujinga wetu ndio unawapa uwezo wa kumiliki uchumi.
 

Hapa nakubali hoja yako, 👍
 
Hao jamaa wanacheza drafti sio kombolela, hata usiponunua kwao unadhani utawatikisa ?

Washavuka hizo stage za Local trades wapo kwenye international trade ya kuuza nje ya nchi, mihogo wanayonunua hapa kwetu wanaenda kuiuza elf 50 kwa debe huko Marekani na Ulaya
 
"USIPOTAJIRIKA TANZANIA HAKUNA SEHEMU UTAJA TAJIRIKA" Ni maneno niliyotamkiwa na moja ya rafiki yangu tuliesoma wote shule ya msingi leo hii tulipokutana na kupiga story zaidi ya lisaa, Yeye alipofika form 4 shughuli iliishia hapo.
Mnawatajirisha nyinyi kwa roho mbaya na ujinga wenu. Pendaneni na wabagueni kama wanavyowafanyia mtafanikiwa vinginevyo mtakufa maskini. Waliwaletea dini wakawajaza ujinga nanyi mkaushika mnategemea nini?
 
Natabiri huu uzi utaufunika kwa mbali sana ule wa kimasiahara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wageni wa kutokea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…