Nimekutana na rafiki yangu mwarabu tuliesoma shule ya Msingi, Nasikitika kuona wageni wanavyotajirika huku wenyeji tumeridhika na vimafanikio vidogo

Sijakuelewa we unaishi Nchi gani? Sio ndugu Bali kabila moja ndio nini?

Makabila mengine hata hio kua kabila moja akupe support sahau, sasa hujanielewa nini? Wachaga wanaonyanyuana ndugu wapo wengi tu sema wewe ndio haujui,

Uliza kingine
Then kutoboa MAISHA ni kuwa na ramani sahihi za kufika Sehemu husika haina haja ya kulalamika mambo ya kupita haya

MAFANIKIO au PESA kila mtu anaweza kuzipata sio lazima tupewe backup na mtu kikubwa kuwa na MAARIFA tu.

Then hata hao tunaowaona wapo financially stable ni umasikini tu ndo unatufanya tuone Kuna Gap ila tukikaza tunafika popote .

Sisi watu weusi Ni watu wa kulalamika then tukipewa Kazi tunaiba na kudharu walio chini we need to Fuc**y our Ego
 
Then kuhusu nidhamu ya Pesa mtu mweusi yupo nyuma Sana unampa mtaji anawapa mademu wake.

Kiufupi Kuna watu wamewapambania ndugu zao Ila Hakuna hata mmoja kafanikiwa zaidi ya kula mtaji .ndo maana mtu mweusi anaonaga bora akulipie Ada ukale nadharia
 
Sisi wenyewe ndio tunawapa utajiri, jiulize wewe lini umefanya manunuzi makubwa Kwa mswahili mwenzio? Umempa deal mswahili mwenzio. Kwa idadi yetu tukisema hatununui vitu Kwa mhindi au mwarabu uone kama wataendelea kuwa matajiri. Jiulize wao wananunua nini Kwetu.

Ni ujinga wetu ndio ulivyo, mhindi akiingia kwenye org yenu atafanya juu chini kupereka biashara Kwa mhindi mwenzake. Wakati waswahili kazi kuwangiana tu.

Nasisitiza ni ujinga wetu ndio unawapa uwezo wa kumiliki uchumi.
 
waarabu na wahindi wa Tanzania, sio wageni, ni kabila la wahindi na waarabu tu ambao ni watanzania, na wengine ni watanzania kuliko hata wewe mwenye kabila la kibantu kwasababu wazazi wao wamekuja hapa miaka ya 1700 uko wakati wangoni wamekuja bongo miaka ya 1800 au 1900 kama sikosei. usiseme watu ni wageni kwa sababu ya rangi.

Hapa nakubali hoja yako, 👍
 
Sisi wenyewe ndio tunawapa utajiri, jiulize wewe lini umefanya manunuzi makubwa Kwa mswahili mwenzio? Umempa deal mswahili mwenzio. Kwa idadi yetu tukisema hatununui vitu Kwa mhindi au mwarabu uone kama wataendelea kuwa matajiri. Jiulize wao wananunua nini Kwetu.

Ni ujinga wetu ndio ulivyo, mhindi akiingia kwenye org yenu atafanya juu chini kupereka biashara Kwa mhindi mwenzake. Wakati waswahili kazi kuwangiana tu.

Nasisitiza ni ujinga wetu ndio unawapa uwezo wa kumiliki uchumi.
Hao jamaa wanacheza drafti sio kombolela, hata usiponunua kwao unadhani utawatikisa ?

Washavuka hizo stage za Local trades wapo kwenye international trade ya kuuza nje ya nchi, mihogo wanayonunua hapa kwetu wanaenda kuiuza elf 50 kwa debe huko Marekani na Ulaya
 
"USIPOTAJIRIKA TANZANIA HAKUNA SEHEMU UTAJA TAJIRIKA" Ni maneno niliyotamkiwa na moja ya rafiki yangu tuliesoma wote shule ya msingi leo hii tulipokutana na kupiga story zaidi ya lisaa, Yeye alipofika form 4 shughuli iliishia hapo.
Mnawatajirisha nyinyi kwa roho mbaya na ujinga wenu. Pendaneni na wabagueni kama wanavyowafanyia mtafanikiwa vinginevyo mtakufa maskini. Waliwaletea dini wakawajaza ujinga nanyi mkaushika mnategemea nini?
 
"USIPOTAJIRIKA TANZANIA HAKUNA SEHEMU UTAJA TAJIRIKA" Ni maneno niliyotamkiwa na moja ya rafiki yangu tuliesoma wote shule ya msingi leo hii tulipokutana na kupiga story zaidi ya lisaa, Yeye alipofika form 4 shughuli iliishia hapo.

Darasani na shuleni kiujumla nimewajua wahindi na waarabu kibao tu, nikiri wazi waarabu tulikuwa tunawaburuza "Sio Kitoto", uwezo wao ulikuwa mdogo mnooo, lakini leo hii sio wenzetu hata kidogo, ni story tu za kujuana nao lakini kimaisha tumepigwa gepu sio kitoto.

Wahindi angalau kulikuwa na upinzani ila tulikuwa tunaburuzana sana tu, vipanga wa kibongo waliburuzana na vipanga wa kihindi, huku wa kati nao walikuwepo tuliburuzana nao man to man, wengi wamesoma mpaka vyuoni lakini wanatumia elimu zao kwenye biashara zao hapa hapa Tz.

Tukija kwa upande wetu wabongo hali inatia huruma, tumesoma mpaka vyuoni + masters, mtu kapigiwa koneksheni na ndugu ama wazazi ama kapata ajira kivyake mshahra + posho vyote kwa jumla ni milioni 3 kwa mwezi yani hapo akiwa na gari na nyumba anaridhika kabisa cha kuwaza labda kuongeza mchepuko ama kuwahi viti virefu baada ya kazi, kwa wale wanaofanya biashara unakuta mtu akiingiza faida milioni around 8 kwa mwezi anajiona tayari mwamba.

Wenzetu hawa hawa tuliosoma nao suala la kuajiriwa hawataki kulisikia kabisa kwenye nchi hii, kuna muhindi moja aliniambia " Nchi hii ina untapped resources and oppurtunities kibao, hata elimu ya standard 7 inatosha kukutajirisha, Forest imejaa carrots ni wewe utaamua uwe punda ama mkulima" Sio siri nilihisi nimetupiwa dongo.

yani wao wanaunganisba nguvu kwenye timu zao (familia), kwa mwezi wanalaza B na kuendelea kama utani vile.

MAPENDEKEZO

nawajua matajiri wa hapa Tanzania wanataka watoto hawana exposure kabisa,yani mtoto maisha yake yote kasome Tz, matokeo yake mtoto anakuwa na akili za hapa hapa hata lugha inampiga chenga, hajui kumingle wala hana connections za watu wa mataifa mengine.

fikra za 'KILA MTU AJITAFUTIE CHAKE' zimepitwa na walketi, Kuna haja gani ya Tajiri asubirie mpaka mtoto wake afikie miaka 25 ndio ndio ampe mtaji akaanzishe biashara zake wakati anaweza kumfundisha biashara mtoto wake tangu udogoni ?
Natabiri huu uzi utaufunika kwa mbali sana ule wa kimasiahara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wageni wa kutokea wapi?
 
Back
Top Bottom