Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hawa watu n wapambanaj na wana nidhamu kwa kila wanachokifanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
B yote hiyo ya nini kujitafutia preshaa za buree .kwa mwezi wanalaza B na kuendelea kama utani vile.
Then kutoboa MAISHA ni kuwa na ramani sahihi za kufika Sehemu husika haina haja ya kulalamika mambo ya kupita hayaSijakuelewa we unaishi Nchi gani? Sio ndugu Bali kabila moja ndio nini?
Makabila mengine hata hio kua kabila moja akupe support sahau, sasa hujanielewa nini? Wachaga wanaonyanyuana ndugu wapo wengi tu sema wewe ndio haujui,
Uliza kingine
Tupo pmj mkuu[emoji442]Kama haujalala weka wasafi fm 88:9 wanapiga old school Kali Sana yaani nimelala hapa kwenye kapeti MAISHA Makubwa Sana plus mzuka so ukiendelea kuperuzi tune wasafi hautojuta
Ubinafsi ndio njia ngumu sana na yenye tija ukitaka kutoboaWachaga wana huu utaratibu na Wakinga nahisi Ila makabila mengine sijui nani aliwaroga, makabila mengine familia zimejaa ubinafsi tu
waarabu na wahindi wa Tanzania, sio wageni, ni kabila la wahindi na waarabu tu ambao ni watanzania, na wengine ni watanzania kuliko hata wewe mwenye kabila la kibantu kwasababu wazazi wao wamekuja hapa miaka ya 1700 uko wakati wangoni wamekuja bongo miaka ya 1800 au 1900 kama sikosei. usiseme watu ni wageni kwa sababu ya rangi.
Ubinafsi? Ulisikia wapi? Ukianguka tu kwisha hakuna wa kuendeleza ulipoishia, wewe angalia familia za wabinafsi zinavyokua baada ya yule mbinafsi mkuu kuangukaUbinafsi ndio njia ngumu sana na yenye tija ukitaka kutoboa
Hao jamaa wanacheza drafti sio kombolela, hata usiponunua kwao unadhani utawatikisa ?Sisi wenyewe ndio tunawapa utajiri, jiulize wewe lini umefanya manunuzi makubwa Kwa mswahili mwenzio? Umempa deal mswahili mwenzio. Kwa idadi yetu tukisema hatununui vitu Kwa mhindi au mwarabu uone kama wataendelea kuwa matajiri. Jiulize wao wananunua nini Kwetu.
Ni ujinga wetu ndio ulivyo, mhindi akiingia kwenye org yenu atafanya juu chini kupereka biashara Kwa mhindi mwenzake. Wakati waswahili kazi kuwangiana tu.
Nasisitiza ni ujinga wetu ndio unawapa uwezo wa kumiliki uchumi.
Mnawatajirisha nyinyi kwa roho mbaya na ujinga wenu. Pendaneni na wabagueni kama wanavyowafanyia mtafanikiwa vinginevyo mtakufa maskini. Waliwaletea dini wakawajaza ujinga nanyi mkaushika mnategemea nini?"USIPOTAJIRIKA TANZANIA HAKUNA SEHEMU UTAJA TAJIRIKA" Ni maneno niliyotamkiwa na moja ya rafiki yangu tuliesoma wote shule ya msingi leo hii tulipokutana na kupiga story zaidi ya lisaa, Yeye alipofika form 4 shughuli iliishia hapo.
Unaowategemea? Emu uliza vizuriSema je unaowategemea wakikusaliti huoni hio ni shida zaidi?
I mean unaotaka kuwanyanyua baada ya kutoboa alafu wakakugeuka kama mondi na konde boyUnaowategemea? Emu uliza vizuri
Hao wanajuana wenyewe hawana kugeukana ni biashara tu na makubariano,I mean unaotaka kuwanyanyua baada ya kutoboa alafu wakakugeuka kama mondi na konde boy
Natabiri huu uzi utaufunika kwa mbali sana ule wa kimasiahara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]"USIPOTAJIRIKA TANZANIA HAKUNA SEHEMU UTAJA TAJIRIKA" Ni maneno niliyotamkiwa na moja ya rafiki yangu tuliesoma wote shule ya msingi leo hii tulipokutana na kupiga story zaidi ya lisaa, Yeye alipofika form 4 shughuli iliishia hapo.
Darasani na shuleni kiujumla nimewajua wahindi na waarabu kibao tu, nikiri wazi waarabu tulikuwa tunawaburuza "Sio Kitoto", uwezo wao ulikuwa mdogo mnooo, lakini leo hii sio wenzetu hata kidogo, ni story tu za kujuana nao lakini kimaisha tumepigwa gepu sio kitoto.
Wahindi angalau kulikuwa na upinzani ila tulikuwa tunaburuzana sana tu, vipanga wa kibongo waliburuzana na vipanga wa kihindi, huku wa kati nao walikuwepo tuliburuzana nao man to man, wengi wamesoma mpaka vyuoni lakini wanatumia elimu zao kwenye biashara zao hapa hapa Tz.
Tukija kwa upande wetu wabongo hali inatia huruma, tumesoma mpaka vyuoni + masters, mtu kapigiwa koneksheni na ndugu ama wazazi ama kapata ajira kivyake mshahra + posho vyote kwa jumla ni milioni 3 kwa mwezi yani hapo akiwa na gari na nyumba anaridhika kabisa cha kuwaza labda kuongeza mchepuko ama kuwahi viti virefu baada ya kazi, kwa wale wanaofanya biashara unakuta mtu akiingiza faida milioni around 8 kwa mwezi anajiona tayari mwamba.
Wenzetu hawa hawa tuliosoma nao suala la kuajiriwa hawataki kulisikia kabisa kwenye nchi hii, kuna muhindi moja aliniambia " Nchi hii ina untapped resources and oppurtunities kibao, hata elimu ya standard 7 inatosha kukutajirisha, Forest imejaa carrots ni wewe utaamua uwe punda ama mkulima" Sio siri nilihisi nimetupiwa dongo.
yani wao wanaunganisba nguvu kwenye timu zao (familia), kwa mwezi wanalaza B na kuendelea kama utani vile.
MAPENDEKEZO
nawajua matajiri wa hapa Tanzania wanataka watoto hawana exposure kabisa,yani mtoto maisha yake yote kasome Tz, matokeo yake mtoto anakuwa na akili za hapa hapa hata lugha inampiga chenga, hajui kumingle wala hana connections za watu wa mataifa mengine.
fikra za 'KILA MTU AJITAFUTIE CHAKE' zimepitwa na walketi, Kuna haja gani ya Tajiri asubirie mpaka mtoto wake afikie miaka 25 ndio ndio ampe mtaji akaanzishe biashara zake wakati anaweza kumfundisha biashara mtoto wake tangu udogoni ?
Wageni wa kutokea wapi?"USIPOTAJIRIKA TANZANIA HAKUNA SEHEMU UTAJA TAJIRIKA" Ni maneno niliyotamkiwa na moja ya rafiki yangu tuliesoma wote shule ya msingi leo hii tulipokutana na kupiga story zaidi ya lisaa, Yeye alipofika form 4 shughuli iliishia hapo.
Darasani na shuleni kiujumla nimewajua wahindi na waarabu kibao tu, nikiri wazi waarabu tulikuwa tunawaburuza "Sio Kitoto", uwezo wao ulikuwa mdogo mnooo, lakini leo hii sio wenzetu hata kidogo, ni story tu za kujuana nao lakini kimaisha tumepigwa gepu sio kitoto.
Wahindi angalau kulikuwa na upinzani ila tulikuwa tunaburuzana sana tu, vipanga wa kibongo waliburuzana na vipanga wa kihindi, huku wa kati nao walikuwepo tuliburuzana nao man to man, wengi wamesoma mpaka vyuoni lakini wanatumia elimu zao kwenye biashara zao hapa hapa Tz.
Tukija kwa upande wetu wabongo hali inatia huruma, tumesoma mpaka vyuoni + masters, mtu kapigiwa koneksheni na ndugu ama wazazi ama kapata ajira kivyake mshahra + posho vyote kwa jumla ni milioni 3 kwa mwezi yani hapo akiwa na gari na nyumba anaridhika kabisa cha kuwaza labda kuongeza mchepuko ama kuwahi viti virefu baada ya kazi, kwa wale wanaofanya biashara unakuta mtu akiingiza faida milioni around 8 kwa mwezi anajiona tayari mwamba.
Wenzetu hawa hawa tuliosoma nao suala la kuajiriwa hawataki kulisikia kabisa kwenye nchi hii, kuna muhindi moja aliniambia " Nchi hii ina untapped resources and oppurtunities kibao, hata elimu ya standard 7 inatosha kukutajirisha, Forest imejaa carrots ni wewe utaamua uwe punda ama mkulima" Sio siri nilihisi nimetupiwa dongo.
yani wao wanaunganisba nguvu kwenye timu zao (familia), kwa mwezi wanalaza B na kuendelea kama utani vile.
MAPENDEKEZO
nawajua matajiri wa hapa Tanzania wanataka watoto hawana exposure kabisa,yani mtoto maisha yake yote kasome Tz, matokeo yake mtoto anakuwa na akili za hapa hapa hata lugha inampiga chenga, hajui kumingle wala hana connections za watu wa mataifa mengine.
fikra za 'KILA MTU AJITAFUTIE CHAKE' zimepitwa na walketi, Kuna haja gani ya Tajiri asubirie mpaka mtoto wake afikie miaka 25 ndio ndio ampe mtaji akaanzishe biashara zake wakati anaweza kumfundisha biashara mtoto wake tangu udogoni ?
Hapo ndipo kwenye tatizo, unapambana na nani? Ili iweje?Kikubwa tupambane
Huo ubaguzi ndiyo cha kwanza kinawarudisha nyuma, hao mnaosema "waarabu na wahindi na wabongo".Wabongo wanasomea Taifa ila Waarabu na Wahindi wanasomea maisha.
Nje ndiyo wapi, ndani ndiyo wapi?Ila lazima uende nje ndo ushangae tulivo matajiri