proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
𝐊𝐰𝐞𝐥𝐢Mtoa mada kashalowa baada ya kumuona classmate muarabu Katoboa
𝐩𝐞𝐬𝐚 𝐬𝐢𝐨 𝐫𝐚𝐡𝐢𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐯𝐲𝐨𝐟𝐢𝐤𝐢𝐫𝐢PESA vitu vidogo tu haina ya kulalamika au kushangaa
PESA inahitaji nidhamu ukiipa heshima nayo inakupa heshima𝐩𝐞𝐬𝐚 𝐬𝐢𝐨 𝐫𝐚𝐡𝐢𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐯𝐲𝐨𝐟𝐢𝐤𝐢𝐫𝐢
Watoto wa kihindi sio rahisi asome dumu fagio then Mimi nimesoma nao wahindi wamejengewa spirit katika kufanya ibada zao na kutoa Sana𝐰𝐞𝐰 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐮𝐚 𝐦𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐡𝐮𝐚, 𝐤𝐢𝐝𝐮𝐦𝐮 𝐧𝐚 𝐦𝐟𝐚𝐠𝐢𝐨 𝐡𝐚𝐰𝐞𝐳𝐢 𝐬𝐨𝐦𝐚 𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐡𝐢𝐧𝐝𝐢 𝐨𝐯𝐲𝐨 𝐨𝐯𝐲𝐨
𝐓𝐨𝐚 𝐞𝐧𝐝𝐚𝐩𝐨 𝐦𝐢𝐫𝐚𝐝𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐢𝐦𝐞𝐤𝐨𝐦𝐚𝐚, 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐮𝐧𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐚𝐭𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐮𝐚 𝐬𝐮𝐚 𝐓𝐇𝐄 𝐌𝐎𝐑𝐄 𝐘𝐎𝐔 𝐆𝐈𝐕𝐄 𝐓𝐇𝐄 𝐌𝐎𝐑𝐄 𝐘𝐎𝐔 𝐋𝐎𝐒𝐄Watoto wa kihindi sio rahisi asome dumu fagio then Mimi nimesoma nao wahindi wamejengewa spirit katika kufanya ibada zao na kutoa Sana
So katika kujifunza nimejifunza MAFANIKIO yanaanzia ndani yako na unabidi kuwa cleanest lifestyle kiufupi wahindi wametupiga gap kubwa sana
𝐓𝐨𝐚 𝐞𝐧𝐝𝐚𝐩𝐨 𝐦𝐢𝐫𝐚𝐝𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐢𝐦𝐞𝐤𝐨𝐦𝐚𝐚, 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐮𝐧𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐚𝐭𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐮𝐚 𝐬𝐮𝐚 𝐓𝐇𝐄 𝐌𝐎𝐑𝐄 𝐘𝐎𝐔 𝐆𝐈𝐕𝐄 𝐓𝐇𝐄 𝐌𝐎𝐑𝐄 𝐘𝐎𝐔 𝐋𝐎𝐒𝐄
Ubaguzi kama wa muislamu ndugu yake ni muislamu?Huo ubaguzi ndiyo cha kwanza kinawarudisha nyuma, hao mnaosema "waarabu na wahindi na wabongo".
Ni wageni nchi hii au ni vipi?
Kuna vitu vingi sisi tumeamua tuache nature intake place, mfano sisi tunaoana bila mpangilio wa kuangalia feature, pia tunachelewa kuoa hivyo tunaoana huku kila mtu akiwa na malengo yake na Kila familia ya muoaji na muolewaji inamalengo yake juu ya wanandoa, unakuta mzazi anamshawishi bintiye akudhuru au akuibie Ili wafanye chakwaoWatoto wa kihindi sio rahisi asome dumu fagio then Mimi nimesoma nao wahindi wamejengewa spirit katika kufanya ibada zao na kutoa Sana
So katika kujifunza nimejifunza MAFANIKIO yanaanzia ndani yako na unabidi kuwa cleanest lifestyle kiufupi wahindi wametupiga gap kubwa sana
Umenyooshaaa mkuu...
Ubinafsi,ubinafsiii umetujaa ..
Mtu Kwenye familia anapesa lkn kusupport hata wadogo zake mtaji n shidaa..
Anatakaa aonekanee kwenyee ukoo yy pekee ndio tajirii[emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa Wifi yanguLabda mke wake utuambie.
Na waarabu pure Hawa waarabu machotara hawaoi kwaoAliekudanya nani mkuu, mimi hao watu nimeishi nao sana shuleni kwa miaka saba, Kinadharia kwa uraia ni wenzetu ila kwa uhalisia bado ni wageni.
wanaishi kwa tamaduni za kiarabu na kihindi na sio za kitanzania, huji kuona mhindi ama muarabu kavaa hata kitenge, ni wenzetu hao ?
wanaoleana wao kwa wao, Kwa waarabu hata uwe mpemba ama msomali wao hukuona bado mwafrika huwezi kupewa binti yao labda uwe na mtu mzito sana, kwa wahindi sahau kabisa, ni wenzetu hao ?
Shughuli za kijamii iwe misiba ama sherehe huwa wanashiriki zao, ni wenzetu hao ?
Sema wahindi na uaminifu unawasaidia wabongo ujanja ujanjaSisi wenyewe ndio tunawapa utajiri, jiulize wewe lini umefanya manunuzi makubwa Kwa mswahili mwenzio? Umempa deal mswahili mwenzio. Kwa idadi yetu tukisema hatununui vitu Kwa mhindi au mwarabu uone kama wataendelea kuwa matajiri. Jiulize wao wananunua nini Kwetu.
Ni ujinga wetu ndio ulivyo, mhindi akiingia kwenye org yenu atafanya juu chini kupereka biashara Kwa mhindi mwenzake. Wakati waswahili kazi kuwangiana tu.
Nasisitiza ni ujinga wetu ndio unawapa uwezo wa kumiliki uchumi.