Nimekutana na rafiki yangu mwarabu tuliesoma shule ya Msingi, Nasikitika kuona wageni wanavyotajirika huku wenyeji tumeridhika na vimafanikio vidogo

Nimekutana na rafiki yangu mwarabu tuliesoma shule ya Msingi, Nasikitika kuona wageni wanavyotajirika huku wenyeji tumeridhika na vimafanikio vidogo

PESA vitu vidogo tu haina ya kulalamika au kushangaa
๐ฉ๐ž๐ฌ๐š ๐ฌ๐ข๐จ ๐ซ๐š๐ก๐ข๐ฌ๐ข ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ฎ๐ง๐š๐ฏ๐ฒ๐จ๐Ÿ๐ข๐ค๐ข๐ซ๐ข
 
๐ฐ๐ž๐ฐ ๐ฎ๐ญ๐š๐ค๐ฎ๐š ๐ฆ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ฌ๐ก๐ฎ๐š, ๐ค๐ข๐๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ง๐š ๐ฆ๐Ÿ๐š๐ ๐ข๐จ ๐ก๐š๐ฐ๐ž๐ณ๐ข ๐ฌ๐จ๐ฆ๐š ๐ง๐š ๐ฐ๐š๐ก๐ข๐ง๐๐ข ๐จ๐ฏ๐ฒ๐จ ๐จ๐ฏ๐ฒ๐จ
 
๐ฉ๐ž๐ฌ๐š ๐ฌ๐ข๐จ ๐ซ๐š๐ก๐ข๐ฌ๐ข ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ฎ๐ง๐š๐ฏ๐ฒ๐จ๐Ÿ๐ข๐ค๐ข๐ซ๐ข
PESA inahitaji nidhamu ukiipa heshima nayo inakupa heshima
Spend it wisely
 
๐ฐ๐ž๐ฐ ๐ฎ๐ญ๐š๐ค๐ฎ๐š ๐ฆ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ฌ๐ก๐ฎ๐š, ๐ค๐ข๐๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ง๐š ๐ฆ๐Ÿ๐š๐ ๐ข๐จ ๐ก๐š๐ฐ๐ž๐ณ๐ข ๐ฌ๐จ๐ฆ๐š ๐ง๐š ๐ฐ๐š๐ก๐ข๐ง๐๐ข ๐จ๐ฏ๐ฒ๐จ ๐จ๐ฏ๐ฒ๐จ
Watoto wa kihindi sio rahisi asome dumu fagio then Mimi nimesoma nao wahindi wamejengewa spirit katika kufanya ibada zao na kutoa Sana

So katika kujifunza nimejifunza MAFANIKIO yanaanzia ndani yako na unabidi kuwa cleanest lifestyle kiufupi wahindi wametupiga gap kubwa sana
 
๐“๐จ๐š ๐ž๐ง๐๐š๐ฉ๐จ ๐ฆ๐ข๐ซ๐š๐๐ข ๐ฒ๐š๐ค๐จ ๐ข๐ฆ๐ž๐ค๐จ๐ฆ๐š๐š, ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ฎ๐ง๐š ๐ค๐ข๐ฉ๐š๐ญ๐จ ๐œ๐ก๐š ๐ค๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐š ๐ฌ๐ฎ๐š ๐“๐‡๐„ ๐Œ๐Ž๐‘๐„ ๐˜๐Ž๐” ๐†๐ˆ๐•๐„ ๐“๐‡๐„ ๐Œ๐Ž๐‘๐„ ๐˜๐Ž๐” ๐‹๐Ž๐’๐„
 
Kanuni za Asili ndo wahindi na wazungu hutumia that is way they are on top
Unapotoa hata Kama kidogo ukitoa kwa menye uhitaji lazima uongeze mara dufu.

Wahindi huwa wanatoa kwa Masikini ombaomba Hawa jamaa katika Ulimwengu wa roho wapo vizuri Sana.
 
Umenikumbusha, kipindi namaliza chuo, tulikuwa na kijana wa kihindi mmoja kwenye darasa letu la civil engineering, wakati sie(wa Swahili) tupo bize kutuma CV huku na huko, kutafuta ajira,yule jamaa yeye alikuwa anazingumza na kujenga connection na uongozi wa chuo wampe tender za furniture, baada ya miaka 10,jamaa anamiliki kampuni, na amefanya tender nyingi za furniture pale chuoni,jamaa ni tajiri, sie tupo kwenye viajira uchwala na tunajivunia vimilioni na ka IST kamepaki nje, tukitembea tunjiona kama Eron musk, wakati kama kuna cha maana tumefanya hapa duniani, kwa watu wengine, ni kuajiri house girl tu, kwa 50K!
Ila kujijairi bro sio mchezo, mi nawajua watu, bila kampuni zao, kuwapunguza na kuwalipa mamilioni ya pesa, kuanzia 80+milioni, wasingefungua makampuni,tangu wamemaliza vyuo, wakaajiliwa, imewwchukua miaka zaidi ya 20 kufungua kampuni.
Asians, wakinga,wana utaratibu wa kusaidiana katika kutafuta kianzio cha biashara
 
Watoto wa kihindi sio rahisi asome dumu fagio then Mimi nimesoma nao wahindi wamejengewa spirit katika kufanya ibada zao na kutoa Sana

So katika kujifunza nimejifunza MAFANIKIO yanaanzia ndani yako na unabidi kuwa cleanest lifestyle kiufupi wahindi wametupiga gap kubwa sana
Kuna vitu vingi sisi tumeamua tuache nature intake place, mfano sisi tunaoana bila mpangilio wa kuangalia feature, pia tunachelewa kuoa hivyo tunaoana huku kila mtu akiwa na malengo yake na Kila familia ya muoaji na muolewaji inamalengo yake juu ya wanandoa, unakuta mzazi anamshawishi bintiye akudhuru au akuibie Ili wafanye chakwao
 
Umenyooshaaa mkuu...

Ubinafsi,ubinafsiii umetujaa ..

Mtu Kwenye familia anapesa lkn kusupport hata wadogo zake mtaji n shidaa..

Anatakaa aonekanee kwenyee ukoo yy pekee ndio tajirii[emoji23][emoji23][emoji23]

Mnaishi kwenye nadharia sana watu wa JF. Kuna watu wengi sana wamejinyima sana kuleta Mitaji, matrekta na hata hela za kujenga nyumba kwa wadogo, kaka na dada na ndugu zao. Hao wanaoletewa hula hela, huua matrekta na Kula hela za ujenzi na mtoaji Yuko ulaya au mkoa mwingine na nyumbani. Shida kubwa ipo kwenye mindset yetu na Sio swala sana la kusaidiana Kama familia. Vijana wengi waliojipatia hupenda kuvuta ndugu zao lakini wivu na husuda na uzembe huleta umaskini sana. Kiasi inabaki hata chumvi ndani ya familia itabidi atoe mtu Yuko mbali Wakati kila mara anajitahdi Kuwainua ndugu zake ili wakitegemee wao hula na kuendelea kutiana umaskini.
 
Aliekudanya nani mkuu, mimi hao watu nimeishi nao sana shuleni kwa miaka saba, Kinadharia kwa uraia ni wenzetu ila kwa uhalisia bado ni wageni.

wanaishi kwa tamaduni za kiarabu na kihindi na sio za kitanzania, huji kuona mhindi ama muarabu kavaa hata kitenge, ni wenzetu hao ?

wanaoleana wao kwa wao, Kwa waarabu hata uwe mpemba ama msomali wao hukuona bado mwafrika huwezi kupewa binti yao labda uwe na mtu mzito sana, kwa wahindi sahau kabisa, ni wenzetu hao ?

Shughuli za kijamii iwe misiba ama sherehe huwa wanashiriki zao, ni wenzetu hao ?
Na waarabu pure Hawa waarabu machotara hawaoi kwao
 
Sisi wenyewe ndio tunawapa utajiri, jiulize wewe lini umefanya manunuzi makubwa Kwa mswahili mwenzio? Umempa deal mswahili mwenzio. Kwa idadi yetu tukisema hatununui vitu Kwa mhindi au mwarabu uone kama wataendelea kuwa matajiri. Jiulize wao wananunua nini Kwetu.

Ni ujinga wetu ndio ulivyo, mhindi akiingia kwenye org yenu atafanya juu chini kupereka biashara Kwa mhindi mwenzake. Wakati waswahili kazi kuwangiana tu.

Nasisitiza ni ujinga wetu ndio unawapa uwezo wa kumiliki uchumi.
Sema wahindi na uaminifu unawasaidia wabongo ujanja ujanja
 
Back
Top Bottom