Nimekutana na secretary mzuri balaa Posta kidogo nichanganyikiwe wakuu

Mzuri kwako nyangarakasha kwa mwingine, si kila king'aacho ni dhahabu.
 
my crush bado nakukunda πŸ‘‹β€οΈπŸ˜‰
 
Wanawake wazuri wapo kila sehemu pesa yako tu, kama hela huna utaishia kula kwa macho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…