Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ninayemuona mpumbavu ni huyo mzee, huwezi kufanya heavy investment namna hiyo kwa mchepuko, bora hata angekuwa amezaa naye hapo Sawa mtoto wake angenufaika in future. Na unaweza kukuta mkewe wa ndoa hajampa zawadi ya nyumba na Gari kwa Jina lake.. Sasa subiri huyo mchepuko aolewe unaweza kusikia mzee kapata stroke au mzee kaua akaishia jela au mzee kauwawa na huyo Kijana wa mpya wa mchepuko.Wanawake hivi kwenye maisha huwa mnataka vitu gani hasa???
Ila nyumba, gari nzuri na kazi vinavyomuweka mjini havim suffocate [emoji23][emoji23][emoji23]Hata ingekuwa mimi sikuachi hivi hivi aisee..yani kirahisi hivyo eti anaku suffocate [emoji16]
Akiamua kumloga jee?This is amaizing hela tamu, unaitwa mama mwenye mjengo, gari na kazi...ila sasa vyote hivyo vimewekwa na kiegemeo cha mtu, akitoa mguu unaogopa kuanguka.
Fanya yafuatayo:
1. Wekeza hela kuanzia sasa hadi miez 6 ikibid kopa hapo kazini ziwe nyingi zaidi.
2. Uza hiyo gari ikiisha hiyo miezi 6
3. Kwa vile nyumba yako ina hati na jina lako uza kimia kimia
4. Uza viwanja kimia kimia.
Ule mwezi wa mwisho uza vitu vyako vya ndani vyoote.
Hakikisha unabadili kila kitu kuwa hela, na hizo hela weka account, usiweke account moja anaweza kufanyia ujinga, ikibidi kama una ndugu yako ana account hatumii muazime utunzie hela.
Kisha ukiona kila kitu kiko kwenye mahala pake yani huna kitu cha kukushikilia amka safarini nenda tafuta Mkoa kaa utulie udifanye chochote, zima simu badili laini chonga mpya.
Atapata hasira ndani ya mwezi mmoja wa pili zilisha isha anarudi kutulizana kwa mkewe, na litakuwa libido linatia mkewe hadi mkewe atakuwa ananjiuliza kulikon natiwa hivi siku hizi.
Ukikosa mkoa njoo nikuelekeze nilipo ukae wakat unajiandaa upepo upite utumie hizo hela ulizokusanya kufanyia baishara zako na kuishi maisha ya uhuru.
Nipe like basiiiiii[emoji3]
Kwa ninavyojua mkewe atataka arudishe vitu vyote hasa nyumba na gari.nenda kamshitaki kwa mke wake na umwambie yote haya. ukimaliza hapo mwombe msamaha mwanamke mwenzio, na ukatubu kwa Mungu ili uanze maisha mapya. hayo aliyokutendea ni makaratasi tu, ni upepo tu, na umekufanya ukatengana na Mungu wako, hapo ulipo unaelekea jehanamu ya moto wa milele. furahia mali zinazotoka kwa Mungu sio hizo zinatoka kwa shetani. our God is a lifter of men, he can lift you hata zaidi ya huyo mume wa mtu.
nakuhakikishia kama ameshakugharimiia sana, hauwezi kumwacha kirahisi. dawa yake ni na wewe kuingia kwenye moto/mdomo wa simba, tafuta hata mtu fulani tu akamtonye mkewe kwamba mume wako anakufuatilia, akija kwako mwambie ni kweli ananifuatafuata, waachie msala huo uone kama hamtaachana. dawa ya moto ni moto.
Chagua moja kati ya haya:Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi.
Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu sasa yapata miaka mitatu. Imefikia hatua nimechoka na nahitaji kujing’atua ila nakosa njia nzuri ya kuachana nae. Am not even proud with what i did so if you judge me i’ll understand.
Huyu mtu tangu nafahamiana nae ameyabadilisha sana maisha yangu maana ana mchango mkubwa sana. Alinisaidia kupata kazi nzuri na kuachana na kakazi kangu nilikokuwa nafanya, alinihamisha na kunipangishia sehemu nzuri zaidi. Baadae alininunulia gari nami nikawa natembea nimekaa, pia amenijengea nyumba iliyo kwa jina langu ila kwakuwa ipo nje ya mji nimeipangisha nakula kodi ila bado analipia kodi hapa ninapoishi.
Mahusiano yalipoanza sikufikiria hata yangechukua miezi 6, ila sasa ni miaka mitatu+. Ni mwanaume anayejali sana ila ana wivu balaa. Ni mara kadhaa amekuwa akinitishia kuwa akigundua ninamsaliti atanikata shingo. Sasa huwa najiuliza huyu ni mume wa mtu, anatarajia kweli niwe na yeye tu ili iweje?
Sasa nimechoka jamani, natamani niwe na mpenzi wangu na sio mume wa mtu. Kuna huyu kijana nimeanza nae mahusiano sasa ni miezi 5, kusema kweli nampenda na ninaona kabisa nae ananipenda. Haya ndio aina ya mahusiano niyatakayo. Nimekuwa nikitafuta visingizio kuwa asije kwangu maana sio maadili ila ukweli ni kuwa naogopa mlipa kodi akijua atanitoa roho.
Huyu mume wa mtu nishamtafutia visingizio ili tuachane ila inashindikana. Natamani yeye ndio aanze ili asije kuwa na kinyongo. Ila kuna wakati najipa moyo kuwa nimwambie tu tuachane lakini nikikumbuka aliwahi kunikunja nusura anipige alipokuta msg asizozielewa kwenye simu nahisi kutetemeka. Aliwahi kunionyesha silaha anayomiliki, nilipomuuliza ni ya nini akasema hata mimi nikimletea ujinga ananifyatua. Japo ulikuwa utani ila niliogopa kusema kweli.
Balaa zaidi recently ameanza kung’ang’ania nimzalie. Nimekuwa nikijifanya mimba hazishiki ila kusema kweli natumia dawa zisishike maana siko tayari kuzaa nae. Kwanza nahisi kama suffocation maana ananibana sana. Kwangu anakuja tu muda wowote akijisikia, na ole wangu asinikute nyumbani ni tatizo kubwa. Kila ninachofanya anahitaji apate taarifa kwanza, yaani kama mkewe vile jamani.
Nimejaribu kuelezea haya ili angalau muelewe ni kwanini nahitaji msaada wa mawazo yenu ili nijikwamue kwenye hili shimo nililojichimbia. Nipeni ushauri naachanaje na huyu mwanaume bila kuleta madhara kwangu.
Kama unaweza tafuta no ya uyo mke wake alafu umtumie pics zenu( wewe pamoja na mmewe) kwa kutumia new no afu usikilizie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ndio unatakiwa urudishe viende kwa mwenye navyo, hapo wewe ni mwizi kama wezi wengine tu, na ni mwizi anayejua anachokifanya, na Mungu anakuona. kifupi ni kwamba ukifa leo hii moja kwa moja jehanum na hizo mali utaziacha. tafuta kutengeneza maisha ya baadaye haya mengine ya hapa ni ya kupita, shetani amekuwekea hook/ndoana ya wizi wa ndoa na mali za watu ili atakapokuvua hata usitarajie, mkaungane naye motoni. upo kwenye wimbi la hatari ya milele, stuka na gauka ghafla kabla wakati wako haujaisha hapa duniani.Kwa ninavyojua mkewe atataka arudishe vitu vyote hasa nyumba na gari.
Mimi pia na mke mdogo( enzi alikuwa mchepuko akisoma chuo nikampangia na kumpa gari na biashara alipomaliza chuo nikamjengea then et anataka aniache nilimfata mamake nikamwambia nitawaua ukoo mzima)
Wakat natoa hela mtoto anasoma na kuishi vzr dar why hawakumzuia sahiz ndo wanawaza aolewe? Never
Ilibid waongee nae vzr akakubali nikamuoa mke wa pili ndo kesi ikaisha
Kwa nini usiolewe mke wa pili? Hivi unaujua uchungu wa kumchuna vyote hivyo halafu umuache? Hivi hujawahi kusikia matukio ya watu kuuana kwa sababu ya wivu wa kimapenzi? Fikiria kabla ya kutenda. Huo ndio ushauri wangu.
Ushauri wangu kama kakufanyia yote hayo na ukaridhika mzalie mtoto/watoto najua unataka uwe na mwenza wako akuoe lakini unaweza ukamuacha na ukajikuta unaangukia Kwa Jamaa akakumega na asikuoe na hapo wanaokutaka wote wanaona Kwa vile unagari na maisha Fulani mazuri, nakushauri endelea nae mpe moyo wako wote kama ni kwenda kwenu akajitambulishe mwambieHabari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi.
Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu sasa yapata miaka mitatu. Imefikia hatua nimechoka na nahitaji kujing’atua ila nakosa njia nzuri ya kuachana nae. Am not even proud with what i did so if you judge me i’ll understand.
Huyu mtu tangu nafahamiana nae ameyabadilisha sana maisha yangu maana ana mchango mkubwa sana. Alinisaidia kupata kazi nzuri na kuachana na kakazi kangu nilikokuwa nafanya, alinihamisha na kunipangishia sehemu nzuri zaidi. Baadae alininunulia gari nami nikawa natembea nimekaa, pia amenijengea nyumba iliyo kwa jina langu ila kwakuwa ipo nje ya mji nimeipangisha nakula kodi ila bado analipia kodi hapa ninapoishi.
Mahusiano yalipoanza sikufikiria hata yangechukua miezi 6, ila sasa ni miaka mitatu+. Ni mwanaume anayejali sana ila ana wivu balaa. Ni mara kadhaa amekuwa akinitishia kuwa akigundua ninamsaliti atanikata shingo. Sasa huwa najiuliza huyu ni mume wa mtu, anatarajia kweli niwe na yeye tu ili iweje?
Sasa nimechoka jamani, natamani niwe na mpenzi wangu na sio mume wa mtu. Kuna huyu kijana nimeanza nae mahusiano sasa ni miezi 5, kusema kweli nampenda na ninaona kabisa nae ananipenda. Haya ndio aina ya mahusiano niyatakayo. Nimekuwa nikitafuta visingizio kuwa asije kwangu maana sio maadili ila ukweli ni kuwa naogopa mlipa kodi akijua atanitoa roho.
Huyu mume wa mtu nishamtafutia visingizio ili tuachane ila inashindikana. Natamani yeye ndio aanze ili asije kuwa na kinyongo. Ila kuna wakati najipa moyo kuwa nimwambie tu tuachane lakini nikikumbuka aliwahi kunikunja nusura anipige alipokuta msg asizozielewa kwenye simu nahisi kutetemeka. Aliwahi kunionyesha silaha anayomiliki, nilipomuuliza ni ya nini akasema hata mimi nikimletea ujinga ananifyatua. Japo ulikuwa utani ila niliogopa kusema kweli.
Balaa zaidi recently ameanza kung’ang’ania nimzalie. Nimekuwa nikijifanya mimba hazishiki ila kusema kweli natumia dawa zisishike maana siko tayari kuzaa nae. Kwanza nahisi kama suffocation maana ananibana sana. Kwangu anakuja tu muda wowote akijisikia, na ole wangu asinikute nyumbani ni tatizo kubwa. Kila ninachofanya anahitaji apate taarifa kwanza, yaani kama mkewe vile jamani.
Nimejaribu kuelezea haya ili angalau muelewe ni kwanini nahitaji msaada wa mawazo yenu ili nijikwamue kwenye hili shimo nililojichimbia. Nipeni ushauri naachanaje na huyu mwanaume bila kuleta madhara kwangu.
Huyo ni mumeo,Huko unakotaka kwenda kunaonesha una wenge.Au unafikiri MUME maana yake ni nini?Hivi nyie wanawake mnatuonaje wanaume.KAZI,KODI,NYUMBA,GARI,PENZI na bado unawashwa.Naweka BET huyo Jamaa ukiachana naye unaweza ukadanda maisha yako yote.MARK this POST
Ushauri wangu kama kakufanyia yote hayo na ukaridhika mzalie mtoto/watoto najua unataka uwe na mwenza wako akuoe lakini unaweza ukamuacha na ukajikuta unaangukia Kwa Jamaa akakumega na asikuoe na hapo wanaokutaka wote wanaona Kwa vile unagari na maisha Fulani mazuri, nakushauri endelea nae mpe moyo wako wote kama ni kwenda kwenu akajitambulishe mwambie

Kwani wakati anakula malinzake hakumjua kuwa ni mume wa mtu? Mwanaume awekeze Kwa mwanamke hafu baada ya kuwezeshwa ajifanye hamtaki kama ni mm sikuachi salama ni zarau sana Bora ungenikataa mapema kabisa au ungempa Condition Ili na mm asijitoe sana kumsaidiaAwe single mother?
Aweke doa kwenye ndoa ya huyo jamaa ?
Ondoa hii picha kabla hujalambwa ban ya mwezi mzimaHuu upumbafu ndio mnafanyiwa mpk mnajengewa siyo bure aiSee
View attachment 2124032