Nimekuwa nikiumizwa na historia yangu ya nyuma natamani kumwambia ukweli mpenzi wangu lakini nahofia ataniacha

Habari za wakati huu wana JF ni matumaini yangu mu wazima wa Afya.
Bila kupoteza muda twende kwenye jambo husika tajwa hapo juu.

Mimi ni msichana, kipindi nasoma kuna maisha nilikuwa naishi hapo nyuma hayakuwa mazuri nadhani ni kwasababu ya utoto na kutojitambua pia, ama ni ile foolish age pia ilichangia.
Kwasasa nimekua nina kibarua nafanya nimeshakuwa kwenye mahusiano kadhaa kadhaa lakini tulishindwana, pia watu niliokuwa nao kwenye mahusiano hawakuwa tayari nadhani au walikuwa na watu wao.

Mwaka jana nilibahatika kuanzisha mahusiano na mwanaume mmoja mpaka sasa hivi nipo nae lakini hatuko kwenye mkoa mmoja, sasa jambo ninalohofia ni kwamba ikitokea siku akafatilia background yangu akaambiwa maisha niliyoishi hapo nyuma itakuwaje na mimi sijawahi kumwambia, nahofia akija kujua anaweza kuniacha.

Ninaomba ushauri wenu wadau je ni sahihi mimi kumweleza mpenzi wangu ukweli wa maisha niliyopitia hapo nyuma au ninyamaze tu haina umuhimu??
Wakuoa ni BIKRA TU! Mbali na hapo labda akutumie kama chombo Cha kujifunzia
Cc: Rebeca 83
 
Usije ukafanya makosa kumwambia
Kwasababu sisi wanaume tunaangalia background ya mwanamke ndoyo maana wengine wanafika mbali wanataka
Kuoa mwanamke bikra au mwenye umri mdogo.

Kwasababu bado anakuwa Hana matukio mengi.

Ukitokea umemwambia leo anaweza asikuache moja Kwa moja ila akakuchezea badae akakuacha akajua hapa hamna mke au akaachana na ww hapo hapo.

Ushauri wangu ww kufa nalo moyoni siku ikitokea amejua basi mwambie hiyo ilikuwa zamani na sasa nimeshaokoka Nina maisha mengine.

Kwa kumaliza Wanaume tunaangalia background ya mwanamke na wanawake wanaangalia future ya mwanaume
Huyo ni wa kula na kuachwa acheni kumpa moyo.Kanuni ya maisha inasema;

"Once a hoe always a hoe"
 
Habari za wakati huu wana JF ni matumaini yangu mu wazima wa Afya.
Bila kupoteza muda twende kwenye jambo husika tajwa hapo juu.

Mimi ni msichana, kipindi nasoma kuna maisha nilikuwa naishi hapo nyuma hayakuwa mazuri nadhani ni kwasababu ya utoto na kutojitambua pia, ama ni ile foolish age pia ilichangia.
Kwasasa nimekua nina kibarua nafanya nimeshakuwa kwenye mahusiano kadhaa kadhaa lakini tulishindwana, pia watu niliokuwa nao kwenye mahusiano hawakuwa tayari nadhani au walikuwa na watu wao.

Mwaka jana nilibahatika kuanzisha mahusiano na mwanaume mmoja mpaka sasa hivi nipo nae lakini hatuko kwenye mkoa mmoja, sasa jambo ninalohofia ni kwamba ikitokea siku akafatilia background yangu akaambiwa maisha niliyoishi hapo nyuma itakuwaje na mimi sijawahi kumwambia, nahofia akija kujua anaweza kuniacha.

Ninaomba ushauri wenu wadau je ni sahihi mimi kumweleza mpenzi wangu ukweli wa maisha niliyopitia hapo nyuma au ninyamaze tu haina umuhimu??
Kama hujawahi kuua mtu songa mbele. Inawezekana hata yeye ana maovu yake asiyoweza kuweka hadharani. Cha muhimu usirudie tena uovu uliowahi kuufanya. Au ulishiriki kukimbia na sanduku la kura kwenye uchaguzi wa 2020?
 
Hiyo kivuluge Tu bado hujatulia
 
Kama hujawahi kuua mtu songa mbele. Inawezekana hata yeye ana maovu yake asiyoweza kuweka hadharani. Cha muhimu usirudie tena uovu uliowahi kuufanya. Au ulishiriki kukimbia na sanduku la kura kwenye uchaguzi wa 2020?
Hakika, nimejifunza nimejitambua na wala sitarudia tena niliyofanya nyuma
 
Mshafungua kurasa mpya, pimeni afya zenu kaeni mjuane kitabia.

Unadhani yeye ni mtakatifu sana hana makandokando??
Hii kitu huwa inawaachanisha girls na Me wanaowapenda kwa kujihisi wao ni wakosaji hivyo wanahitaji kutubu kwa waume zao, akitubu tu mwamba anaona hii pisi nilikosea aisee, kama alichapika hivi enzi hizo kipi kimembadilisha sasa?? Mtu katoa mimba 2, katembea na baba/kaka yake nk
 
Kama Yas ya zamani haijawahi guswa!, hayo mengine yanaongeleka kuna machine zinawekwa ndani zimechoka mbaya mbovu na zinadumu tu
Mshafungua kurasa mpya, pimeni afya zenu kaeni mjuane kitabia.

Unadhani yeye ni mtakatifu sana hana makandokando??
Hii kitu huwa inawaachanisha girls na Me wanaowapenda kwa kujihisi wao ni wakosaji hivyo wanahitaji kutubu kwa waume zao, akitubu tu mwamba anaona hii pisi nilikosea aisee, kama alichapika hivi enzi hizo kipi kimembadilisha sasa?? Mtu katoa mimba 2, katembea na baba/kaka yake nk
Asante mkuu nitakaa nae vizuri na kumchunguza
 
Back
Top Bottom