Nimekuwa nikiumizwa na historia yangu ya nyuma natamani kumwambia ukweli mpenzi wangu lakini nahofia ataniacha

Wakuoa ni BIKRA TU! Mbali na hapo labda akutumie kama chombo Cha kujifunzia
Cc: Rebeca 83
 
Huyo ni wa kula na kuachwa acheni kumpa moyo.Kanuni ya maisha inasema;

"Once a hoe always a hoe"
 
Kama hujawahi kuua mtu songa mbele. Inawezekana hata yeye ana maovu yake asiyoweza kuweka hadharani. Cha muhimu usirudie tena uovu uliowahi kuufanya. Au ulishiriki kukimbia na sanduku la kura kwenye uchaguzi wa 2020?
 
Hiyo kivuluge Tu bado hujatulia
 
Kama hujawahi kuua mtu songa mbele. Inawezekana hata yeye ana maovu yake asiyoweza kuweka hadharani. Cha muhimu usirudie tena uovu uliowahi kuufanya. Au ulishiriki kukimbia na sanduku la kura kwenye uchaguzi wa 2020?
Hakika, nimejifunza nimejitambua na wala sitarudia tena niliyofanya nyuma
 
Mshafungua kurasa mpya, pimeni afya zenu kaeni mjuane kitabia.

Unadhani yeye ni mtakatifu sana hana makandokando??
Hii kitu huwa inawaachanisha girls na Me wanaowapenda kwa kujihisi wao ni wakosaji hivyo wanahitaji kutubu kwa waume zao, akitubu tu mwamba anaona hii pisi nilikosea aisee, kama alichapika hivi enzi hizo kipi kimembadilisha sasa?? Mtu katoa mimba 2, katembea na baba/kaka yake nk
 
Kama Yas ya zamani haijawahi guswa!, hayo mengine yanaongeleka kuna machine zinawekwa ndani zimechoka mbaya mbovu na zinadumu tu
Asante mkuu nitakaa nae vizuri na kumchunguza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…