This is ego speakingYou think?
Unapologetic ni kwamba ukiniambia nina ego, sitaomba msamaha kwa ego yangu, Nitaomba msamaha ikiwa kuna mtu amejisikia vibaya au nimemfanya ajisikie vibaya kwa nilichoandika earlier.
Watu wakikuonesha umekosea mahali, lazima ufikirie ni kwanini wanasema hivyo, uwezo wa kujisahihisha ndio unaita kuwa humble? basi kuna kazi kubwa.
Nani amenicharua? Unafahamu inahitaji nini ili unicharue? Na Kumbe mpo kwaajili ya kupangua ego za watu, ndio maana mtu akijisahihisha kwa kuoneshwa kuwa umekosea mnaona mmemcharua?
Sasa tafakari, utaona ni kwanini nilisema kuna watu si wakujadili nao π€£
Nisipokuwa makini kesho ntashindwa kuamka. Hapo bado sijasoma reply yako kule juu πThis is ego speaking
Unapo kuwa unapologetic lazima ukubaliane na the fact that kuna time ignorant unapologetic ni yule anayeona kakosea na bado aka endelea kukaza fuvu, which you never did, you realized the situation wasn't on your favor to do soo.
Being right is quite different from defending your conflicted opinions.
Fanya kama rulikuwa tunachangamsha genge basiπ let's put them egos on our locker rooms
π― Ila msisahau na nature, yenyewe haangalii unajua nini, ina angalia nani kaleta misalignment.binti kiziwi
Nime-enjoy kukusoma & I appreciate msimamo wako.
The writer in me is allergic to sweeping generalisations, the African in me hates stereotypes, na sijui kwanini baadhi yetu bado tunapendelea arguments zetu kutawaliwa na hivyo vitu viwili.
Kuna namna ambavyo baadhi ya watu wakishaji-catagorise as such and such, basi wanasahau kwamba maisha, dunia, and people... are much more complex. I'm uniquely different from you, just as you are uniquely different from me, na kuwa jinsia moja does not make us the same. Hivyo mtu anapojitizama yeye, akapima uwezo wake katika jambo fulani na kuona umeishia point B hapaswi kujipa mamlaka yakuamua kwamba mimi, wewe, na yeye wote tupo sehemu moja.
Chinua Achebe alisema, The problem with stereotypes is not that they are always false, but that they are always incomplete.
Kwahiyo tujitahidi kuelewa na kukubali kwamba there will always be other perspectives, other realities, and other possibilities beyond our own understanding & experiences!
Alamsiki!
Nisipokuwa makini kesho ntashindwa kuamka. Hapo bado sijasoma reply yako kule juu π
Ego yangu ikiathiri maandishi yangu, nitawajibika. Kwa hivyo niliapologize baada ya kuambiwa nimekosea na nikaangalia nikaona hilo, sio kuwa na ego (hauoni utofauti wa haya mambo mawili)
Za kugongewaMtibeli asamehewe. Ana stress.
Sikia, unamfahamu ni mara ngapi nimemwambia Natafuta ajira kuwa hapa ego ya kiume inaongea kwenye mabandiko yake? na nitamkosoa kwa alichoandika sio kwa yeye kuwa na ego.Unapo kuwa passionate na kitu chako usingizi isn't an enemy anymoreπ
Do you even know what ego is? Au tumezoea ile meaning ya kuwa ego ni kujifanya unajua?(kujikweza?)
Ego is a false sense of self and it is deeper, when you give an opinion, you are risking an ego attack! Kwamba mtu Anaweza kuku challenge, by lack of wisdom and seeing both sides of the coin, tuna anza kudefend that part of ourselves (real ego) that feels unapologetic... Ndo kitu ulicho kuwa unafanya ukidhani we don't see it.
Interesting enough! So kumbe jana kwa mtibeli ulikuwa unalia lia hutaki kuibua hoja π€£ Ulikuwa wapi kuandika hili βWe both know the human brain being affected by emotions and hormonal balances and imbalances so both genders are biologically different to have the same effect on the brain, which thus affects their psychologyβ Limenipa something to think about.Unajua hii mada ina trigger survival binti kiziwi? Behind all labels, conditioning and ideologies..
Haya tuje kwenye point yako ya consistency! How is that even possible? Hasa kwenye scenario kama hii? Huoni kuwa utajifungia katk perception yenye kuwa influenced na angle moja tuu ya uhalisia? Mimi naona ya kuwa it's about asking the right question but not ignoring other perspectives.
Also we not here to find who wins but show what was a misalignment in the first place.
It's not about competition it's about understanding what's right and how it's right.
Point ya consistency iko poa saana, ila negation ya aspects nyingine nakukatalia.
Hapo umeupiga mwingi, umeenda mle mle!
Framework: uhalisia wa Me na Ke kuwa Sawa kiakili.. Na weza Sema it's a dynamic too, hakuna usawa wa moja kwa moja. Unacho kifanya hapo ni kuangalia academia, which of course ipo designed to enrich both.. Tukija kisaikolojia hapo tutadanganyana. We both know the human brain being affected by emotions and hormonal balances and imbalances so both genders are biologically different to have the same effect on the brain, which thus affects their psychology.
You're right about dynamics in social constructs! Ila hapa binti tunaongelea the core of it all, survival, ndo maana hata tunawakatalia kwa sababu mnataka mtumie conditioning ku reflect uhalisia.
Swali: mfumo dume na mfumo jike are all conditionings, and I know what you're up to, to make us believe in dynamics! Tunapo Kuja kwenye survival, the fittest bears the crown. Have you ever noticed why generation za hivi karibuni Zinaongoza in divorce?
We've been psychologically and mentally played into thinking we can change our biology by just thinking our way into it! It might seem and feel right but nature doesn't lie it reciprocate and brings balance.
Kuna msemo unasema, eti people are destroying the earth, hell no, we are destroying us and the earth will remain. So I believe we should sometimes just know better.
Hapa hata jadda tulikuwa tunabisha mpk toshaa.... Ila nikuoe tu mfano mdogo! We all have free will sio? Je can you outshine aliye strong zaidi yako? Yaani kakuzidi power and functioning mbona Wanyama wanatushinda katika hili? Jibu lipo wazi kabisa
No comment... Uko sahihi mnoo
Kwenda zakoo, yaani uniletee triggering zakoo nikae kimya! Forget it, I must call that out. No one would.. Na kumbuka pointing out a misalignment is soo healthy. It shows an impression kwa aliyeogea kuwa kayakanyaga. The problem ni kwa mpokeaji.
I was talking on the social context, alicho kuwa anakiongea mitibeli hakitofautiani na indoctrination. Yaani una implant mtazamo kwenye jamii, unawamanioulate bila kuwapa ins and outs ya kile wanacho kifuata.
Wewe mwenyewe umekuja kuonesha how the dynamic goes, sasa ili jamii unayo waambia hayo wanapaswa kujua..
Ni Sawa na Ushoga tuu, it's all psychological unawa make watu wa believe then wanakutana na uhalisia (wenye contradicting dynamics)
All in all as someone who knows how this game goes narudii kwenye POV yangu kuwa
"Mwanamke Akipenda shule akakuza ego baada ya kui integrate na wisdom ana geuka kuwa toxic tu."
Abee umeniita ndugu.Kabla ya kusema chochote ngoja ninukuu kwanza
"In fact, studies on cerebral cortex show that men have 15% more cortical neurons and 13% greater total neuronal density than women," (Pakkenberg and Gundersen, 1997; Rabinowicz et al., 2002).
Kama ni ngumu kuelewa hizo anatomical terminologies in short brain volume is higher in Men compared to women and function units of Brain(neurons) follow the same principle.
Naweza sema kwamba utofauti wa akili Kati ya jinsia Me na Ke una root Kwenye biological makeup.
Tatizo watu kwa kujua au kwa kutokujua whatever wanachanganya Kati ya Elimu(maarifa) na Akili(intelligence)
Kwangu Mimi Akili ni independent variable it is more of biological makeup(Anatomy). Ambayo mtu akiwa nayo ndio ameshakuwa nayo.
So in general ukiwaweka Me na Ke Wenye same level of education same level of exposure same chances same.... same..... Ikabaki factor Moja tuu ya kufanya evaluation Ambayo ni jinsia zao.
Then ukawapa jambo lenye kuhitaji kutumia akili tuu,, a challenge Ambayo may be hawajawahi kuisoma na kukutana nayo kabla. Nategemea Jinsia Me ifanye vizuri zaidi.
Sasa usilinganishe watu Wenye Knowledge tofauti na exposure na chances tofauti mfano Mimi Me lakini ukilinganisha na Ke Ambae ni askali wa jeshi mfano atanizidi vitu vingi upande huo au KE Ambae ni mbobezi wa masuala ya psychology na mambo ya social studies ukinipa Mimi nijadiliane nae mambo ya social issues anaweza kunibwaga sio kwa sababu amenizidi akili HAPANA ni kwamba amenizidi Knowledge na expertism.
Ambayo Lau kama nami nitapewa Kisha Tukarudi Tena mezani Huenda ingekuwa kinyume.
Nimalizie Jinsia KE wapo vizuri sana Kwenye readymade things,, structured things. Mpe maelekezo, mfundishe mpe utaratibu mpe mfumo Kisha subiri matokeo Bora kabisa (kuliko hata kama ungefanya hivyo kwa Jinsia Me)
Jinsia Me ni wazuri Kwenye kutoa something from nothing.
Mambo ya gunduzi,, ubunifu na mfano wake yaani hakuna past knowledge yoyote hakuna reference yoyote hakuna maelekezo yoyote unakaa tuu unapata Wao au solution fulani kuhusu mazingira, na hapa ndo tunawa recognize kina Isaac Newton Ambao walifanya vitu sio kwa kusoma sehemu au kurejea sehemu Bali yeye ndio katengeneza kitu Cha watu kuja kusoma na kurejea.
Na ndio Kuna sehemu mtoa mada amenigusa sana aliposema unahisi zile zama za mawe kile kipindi ambacho hakuna knowledge yoyote,,, binadamu anatakiwa afikilie Kila kitu kuhusu mazingira yake from the scratch jee Mwanamke angetoboa???
Zile innovations na civilizations zote zilizofanyika kwa environment na binadamu wa kale ingekuwa Mwanamke angetoboa???
Mimi sio mwandishi mzuri.
Ahsanteni.
binti kiziwi
Mkuu hakuna mwanaume aliibuka tu aka-install patriarch kwenye vichwa vya watu na jamii kwa ujumla, ni natural pattern ndio iliwezesha patriarch kushika hatamu.Nadhani pia ni lazma muangalie pia historia na mfumo wa jamii nzima umekuwa male dominated toka mwanzo.
Unategemeaje kupata wanawake wengi zaidi kwenye nyanja ambazo hawakuruhusiwa kuwamo ndani yake.
Imagine hadi leo hii kuna "mwanamke wa kwanza kufanya kitu fulani"..
Kwa hiyo si sawa
Niliamua kukuonesha mapungufu yako kwa vitendo zaidi ya kuyataja kwa jumla.Nilifikiri tumemaliza.
Paragraph ya kwanza π Seriously? Hapana bwana , we are not doing this here!
Mimi kuchagua kumjibu nani nisimjibu nani ni uchaguzi binafsi na una maana yangu, na unaepusha mengi. Tatizo nimeusema hadharani, haujapenda hilo itabidi utafute namna ya kuachana nalo. Fanyia kazi ego yako pia iwe kama yangu, ujiamulie mambo na usiwe apologetic.
Para ya pili nakubali, nimempinga prida kama walivyompinga niliyemsupport, fair.
Para ya tatu, ni kawaida kuonesha rejea ya mwenzio ina mapungufu. Tukizungumzia Akina Albert Einstein na wenzie kama majiniazi wa mwanzo mbona ni kawaida, wasomi wa mwanzo ni wanaume (elimu rasmi) so factor ya kihistoria lazima iwabebe wao. kama kale wanawake hawa kusoma tungepata wapi wasomi wakike jemeni heee ! Pia, wasingeweza kuwepo kwenye gunduzi nyingi kwasababu ya division of labour.
Para ya mwisho kabla ya conclusion yako; nilisema generally kuwa tunapojadili hatupaswi kutumia ushahidi unaofavor kile tu ambacho kiko upande wetu. Ni sheria ya majadiliano sio yangu.
Conclusion yako; Kama umenipa ualimu nashukuru, lazima kuna kitu umekiona, Lakini mi ni mwanafunzi mzuri, haujanikuta eneo langu la kujifunza, donβt be intimidated. Wala sijafanya sana Nilikuwa nachokoza mada tu, Umechokozeka.
Nimekusoma kote ila hapo uliposema jinsia Me ni wazuri kwenye kutoa something from nothing ndio umemaliza.Kabla ya kusema chochote ngoja ninukuu kwanza
"In fact, studies on cerebral cortex show that men have 15% more cortical neurons and 13% greater total neuronal density than women," (Pakkenberg and Gundersen, 1997; Rabinowicz et al., 2002).
Kama ni ngumu kuelewa hizo anatomical terminologies in short brain volume is higher in Men compared to women and function units of Brain(neurons) follow the same principle.
Naweza sema kwamba utofauti wa akili Kati ya jinsia Me na Ke una root Kwenye biological makeup.
Tatizo watu kwa kujua au kwa kutokujua whatever wanachanganya Kati ya Elimu(maarifa) na Akili(intelligence)
Kwangu Mimi Akili ni independent variable it is more of biological makeup(Anatomy). Ambayo mtu akiwa nayo ndio ameshakuwa nayo.
So in general ukiwaweka Me na Ke Wenye same level of education same level of exposure same chances same.... same..... Ikabaki factor Moja tuu ya kufanya evaluation Ambayo ni jinsia zao.
Then ukawapa jambo lenye kuhitaji kutumia akili tuu,, a challenge Ambayo may be hawajawahi kuisoma na kukutana nayo kabla. Nategemea Jinsia Me ifanye vizuri zaidi.
Sasa usilinganishe watu Wenye Knowledge tofauti na exposure na chances tofauti mfano Mimi Me lakini ukilinganisha na Ke Ambae ni askali wa jeshi mfano atanizidi vitu vingi upande huo au KE Ambae ni mbobezi wa masuala ya psychology na mambo ya social studies ukinipa Mimi nijadiliane nae mambo ya social issues anaweza kunibwaga sio kwa sababu amenizidi akili HAPANA ni kwamba amenizidi Knowledge na expertism.
Ambayo Lau kama nami nitapewa Kisha Tukarudi Tena mezani Huenda ingekuwa kinyume.
Nimalizie Jinsia KE wapo vizuri sana Kwenye readymade things,, structured things. Mpe maelekezo, mfundishe mpe utaratibu mpe mfumo Kisha subiri matokeo Bora kabisa (kuliko hata kama ungefanya hivyo kwa Jinsia Me)
Jinsia Me ni wazuri Kwenye kutoa something from nothing.
Mambo ya gunduzi,, ubunifu na mfano wake yaani hakuna past knowledge yoyote hakuna reference yoyote hakuna maelekezo yoyote unakaa tuu unapata Wao au solution fulani kuhusu mazingira, na hapa ndo tunawa recognize kina Isaac Newton Ambao walifanya vitu sio kwa kusoma sehemu au kurejea sehemu Bali yeye ndio katengeneza kitu Cha watu kuja kusoma na kurejea.
Na ndio Kuna sehemu mtoa mada amenigusa sana aliposema unahisi zile zama za mawe kile kipindi ambacho hakuna knowledge yoyote,,, binadamu anatakiwa afikilie Kila kitu kuhusu mazingira yake from the scratch jee Mwanamke angetoboa???
Zile innovations na civilizations zote zilizofanyika kwa environment na binadamu wa kale ingekuwa Mwanamke angetoboa???
Mimi sio mwandishi mzuri.
Ahsanteni.
binti kiziwi
Ni watoto wadogo sana hata Hela hawazijuiMwanamke ana nafasi kubwa ya kubebwa kiuchumi. Kila mwanaume anampa priority mwanamke bila hata sababu maalum. Unaweza kusema hapo kwako watoto wa kike wanamuelekeo mzuri kiuchumi kumbe kuna watu wako behind the scene.
Asiaminiwe yoyote kati yao
Sawa mkuu limepitaAsiaminiwe yoyote kati yao
Wote wapuuzwe
Speak about urself, ila wanawake wengi ni smart sana .
Na sio smart Wana uwezo mkubwa sana kuzidi wanaume.
Isipokuwa kwa idadi inaonekana men are more smart than women ila wapo wanawake wenye akili na uwezo mkubwa kuwazidi wanaume
Isipokuwa upande wa hisia , wanatumia sana hisia ila bado ufanisi wao ni mzuri na mkubwa .
Mkuu binti Prida,
Kwanza nishukuru kwa heshima na mtazamo wako juu yangu.
Pili, nashukuru kwa kuniona kama miongoni mwa members ambao tunaifanya jamii yetu ya Jamiiforum na Tanzania kwa ujumla kuheshimishwa na mawazo na mitazamo yangu ninayoitoa humu JF ambapo kimsingi sisi wote ni ndugu tunaoishi kwenye nchi na dunia moja.
Nakupongeza kwa njia uliyochagua kunijibu hoja zangu. Ambapo umetumia njia halali na yenye heshima ukiipa kisogo njia ya matusi kama wafanyavyo ndugu zetu wengine humu. Hili nakupa kongole.
Mkuu mwanamke anatamaa ya mwili kama ilivyo mwanamke.
Swali muhimu hapa ni je Maadili na desturi yanaathiri tabia za mwili na kihisia?
Mfano, Dhana kwamba mwanaume halii au hatakiwi kutoa machozi ipo kisayansi au ni social construct?
ππππ
Kisaikolojia zipo aina mbalimbali za akili. Intelligences
Kuna Verbal intelligence, musical intelligence, mathematical intellgence n.k.
Zamani kulikuwa na dhana kama yako kwamba mwanamke hana akili ya kusoma masomo na taaluma za sayansi kama Udaktari, uinjinia, na mambo kama hayo.
Ilikuwa dhana tuu ya kijamii isiyo na ukweli wowote.
Siku hizi wapo maelfu kwa maelfu ya madaktari na mainjinia wanawake.
Wapo wanaume wenye IQ kubwa na wapo wanaume wenye IQ ndogo. Vivyohivyo wapo wanawake wenye IQ kubwa na wapo wanawake wenye IQ ndogo.
ππ
Wadada wa kitibeli ni pisikali za kwenda na kichwani zimo vilevile
Hata wanaume tuko hivyo.
Kama mwanaume ana stress hawezi kuwa na hisia za ngono.
Ili udindishe kuna factors nyingi lazima ziwepo. Ikiwemo afya njema anbayo hapa tunakubaliana inatokana na kula vizuri, kunyws na kupumzika kwa wakati. Na usiwe na stress.
Kinachohatarisha ndoa kuyumba sio kuwa na Akili au kutokuwa na Akili.
Kinachohatarisha ndoa ni watu wawili wasiofanana kuamua kuishi pamoja.
πππSio wote mkuu, mm Niliwah kufukuzwa kazi, mwezi mzima nilisahau kama nna uboo
π π π π
Kitu kidogo sana hamjakielewa enyi self proclaimed intelligent individual.
-Bandiko rahisi sana lile, You keep twisting it to fit your own sense of reality.
-Mnapotosha hoja ya Mtibeli ili iwe rahisi kuishambulia. (hakuna mahali wanaume hawajaheshimiwa katika lile bandiko)
-Mnatumia uzoefu binafsi kama sheria.
-Mnatumia rejea za kihistoria ambazo zina mapungufu kadhaa (Hapo ulipowataja magenius wa zamani, ni kama huelewi kwanini iko hivyo ilivyo,too low)
Mnachagua ushahidi unaokubaliana na misimamo yenu pekee, hii confirmation bias.
Ni muhimu sana hoja ikiletwa mwenye akili aangalie/atafute synthesis.
Ama sivyo mnapenda kubishana tu sio kujadili.
Wanawake wametuzidi kihisia na akili pia wametuzidi sanaa
wanawake ndio wanarun hii dunia!