Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Ufahamu wa Nafasi (Spatial Skills)
Wanaume huwa na uwezo mkubwa zaidi katika kufikiria vitu katika sura ya pande tatu (spatial reasoning), hisabati za kijiometri, na uratibu wa ramani.
 
Mwanamke akibaki bikra anaweza kufanya Mambo makubwa sana
 
Asante sana mkuu.
Nishaolewa na mimi ni mkubwa sana sio wa 2000.
"Nakuombea" upate prida wako toleo la 2000 aliye single.
 
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
 
Ndivyo mlivyoumbwa.

Sisi kitu kidogo tu mwili wote unakua mkavu na mara nyingi huwa hatujisikii tunafanya tu kiwaridhisha.
Hata yale makelele sometimes tuna act tu mmalize haraka tujilalie zetu.
 
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️


Mwanamke akitaka kuona ufanisi wake afanye kazi na mwanaume .

Wawe sehemu Moja , au idala Moja

Hapo utaona , ila ukiwaweka wote ke kwa ke is very hard kuona ufanisi wao.

Binafsi I'm just working na Mwanamke na kanipita miaka kama 10 ila tunafanya kazi vizuri , kulinganisha na kazi hiyo hiyo nikiwa nafanya na mwanaume.
 
Atakayekupinga kwa hili anapingana na nature.Huu ndo ukweli toka mwanzo wa dunia na hautabadilika.
 
 
Hata mwanaume, akipata mwanamke smart na yeye akawa smart huwa mwanaume anashine sana na mwanamke anaishi maisha ya furaha.

Na wanawake smart walioolewa huwa hawapendi kuwa Front, huwa wanataka sifa zote mwanaume azibebe pamoja na kuwa na mchango mkubwa katka mafanikio ya familia.

Big up kwa kina mama smart. Mnatupa raha duniani tofauti na hawa washamba wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…