Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kitu kidogo sana hamjakielewa enyi self proclaimed intelligent individual.

-Bandiko rahisi sana lile, You keep twisting it to fit your own sense of reality.

-Mnapotosha hoja ya Mtibeli ili iwe rahisi kuishambulia. (hakuna mahali wanaume hawajaheshimiwa katika lile bandiko)

-Mnatumia uzoefu binafsi kama sheria.

-Mnatumia rejea za kihistoria ambazo zina mapungufu kadhaa (Hapo ulipowataja magenius wa zamani, ni kama huelewi kwanini iko hivyo ilivyo,too low)

Mnachagua ushahidi unaokubaliana na misimamo yenu pekee, hii confirmation bias.

Ni muhimu sana hoja ikiletwa mwenye akili aangalie/atafute synthesis.

Ama sivyo mnapenda kubishana tu sio kujadili.
 
Huu ni ukweli ambao wanaume hawataki kuusikia
Ni kweli kabisa kuna mwanaume ukimskiliza anavyoongea anavyoandika unajua hapa kuna tatizo

Wanawake pia tuna utashi
Tuna tamaa
Tunapenda pia
Tuna hisia
Ila nasema tena sisi tupo smart mnoo Tuna uwezo wa kutamani mwanaume anavyonukia na tukakaza kuliko mwanaume anaanza kuweweseka

Sisi tupo smart mnoo
 
Hiyo inaangukia kwenye mahusiano. Ndio maana nikasema mwanamke anawahi kui-master game mapema hii inamwezesha kuwa miles ahead ya mwanaume ambae ni agemate wake. From the first place place a woman know, marriage is a business, not a love story.
Mkuu una madini japo sometimes sindano zako zinauma ila zinaponya.

Na haka kamchezo ka kugeuza ndoa kuwa biashara kanatokana na kwamba uwezo wetu kiakili kujitafutia vyetu ni mdogo.

Hata ukiachana na kunyang'anya mali za mwanaume,pia wapo wanawake wengi tu wananyanyasikq ndoani ila wanavumilia coz anawaza nikitoka nitakula nini ila wapo wanaume kibao wanaachia mwanamke kila kitu wanaenda kuanza upya.

WAnawake hata tukiwezeshwa hatuwezi bila msaada wa mwanaume.
 
Ilibaki kidogo ni ku tag 😁😁
Nina toxic trait moja, Sipendi kujadili na watu ambao tuko kwenye level tofauti ya uelewa.

Watu wakifikiria kuhusu intelligent huwa wana ignore aspect muhimu ambayo ni β€œkufikiri kuhusu fikra zako mwenyewe”.

Ni ngumu kumuelewesha mtu aliyejifungia kwenye box au anayetaka kubishana tu for the sake of it.
 
Sweetieβ™₯️β™₯️
Ngoja tuwaache
 
Big brain 🧠
Wameacha kusoma na kuelewa
Wameanza ku m attack yeye binafsi
Tafsri yake hoja zake ni nzito zimeshindwa kujibiwa
 
Mwanamke akibaki bikra anaweza kufanya Mambo makubwa sana
AKibaki bikra nani atazaa.

Kwamba tukibaki bikra tutamzidi mwanaume akili?
Kwamba bikra inaondoka na akili?
 
β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️
 
SAhihi kabisq.
Mwanamke anaweza kufanya mambo makubwa sana chini ya uongozi wa mwanaume.
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…