Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Huyo mtibeli mwenyewe huwa anasema mwanaume ndie kichwa cha familia, sasa iweje kichwa cha familia kiwe sawa na cha mwanamke?

Amekosea, ila kukubali makosa yake mara nyingi huwa hawezi.atazungusha maneno atajaza maelezo mengiii ilimradi akuchanganye ili abaki na msimazo na mtazamo wake.
 
Mtu anaeandika sana wakati anaandia kwenye social media Huwa ni kama kichaa
 
 
This is ego speaking, kwenye uzi wa Mtibeli ulitoa criticism flani hvi ngoja nii quote...

"Jamii forums kuna tatizo la msingi la watu kuchanganya hizi dhana: asili (nature) , uhalisia (reality) nadharia(theory) maoni binafsi (opinion) ukweli (fact)" Jamii forums kuna tatizo la msingi la watu kuchanganya hizi dhana: asili (nature) , uhalisia (reality) nadharia(theory) maoni binafsi (opinion) ukweli (fact)"

Na mimi nikatoa POV yangu, kwa kusema

"Let's talk about reality here maana tukienda biologically tutaanza kusema kuna watu wanazalia na mapungufu, reality and theory are two sides of the same coin.
So binti kiziwi nataka leo nipate perspective nzuri from you huenda ila make complete sense to me"

Ila cha kushangaza you left me on red!! Huku interact..

Sasa unakuja hapa unasema sijui niende kwenye Maswala ya psychology who the hell are you to categorise me! And put me in a box?

Madam ukweli ni kuwa you've low logic to weight this topic. All you do is find ways to make us think you know something you're not aware off! Kuna mtu alikuwa anaitwa Jadda sijui amepotelea wapi.. Yeye alikua analeta reasons behind her arguments. Na ndo kitu pekee kinacho hitajika.

Sasa Mpo Sawa na mnaelewa watu watajuaje?
 
Ila we jamaa nilikuwa naku underate sana ujue kumbe una akili kubwa namna hii!?
 
Suggestion yangu kuwa nikikukuta kwenye mjadala mwingine nitajadili na wewe ni suggestion binafsi. Unaweza jadili na wengine tatizo nini?

Watu watajuaje kwanini? hatupo babe class, kila sehemu kuna maarifa unaweza kujipakulia uwezavyo. Nikisema tunachanganya dhana sina obligation ya kuanza kuchambua dhana moja moja.

In a way, sijakwambia hujui nimekwambia kuna mahali unafanya vizuri zaidi. Usiwe mkali ni kawaida tu . Apples and oranges.

Ukikubali ego kwangu, inabidi uniambie unaikataaje ego kwako?

Kwanini mimi na wewe tena tujadili reality ya ule uzi wakati uzi wenyewe ulikuwa umejadili reality, na mimi comment yangu ilikuwa kuunga mkono ile reality, ulitaka nitoe wapi aina nyingine ya reality nijadili na wewe?

Unaelewa kwanini comment yangu ya kwanza ilianza kwa kusema this is the big elephant in the room πŸ˜€ Maana yangu nilikuwa nacement hoja ya mleta mada kuwa : huu ni uhalisia, lakini sio jambo ambalo wengi wako tayari kulisema au kulikiri. Na ndivyo ilivyo kuwa.
 
Wewe AKILI HUNA. Andika kama mtu anayejitambua mbona vijana wa miaka hii mnajichetua?
 
Asante kwa yote.

Samahani kwa usumbufu ila naomba kuuliza.Wewe ndo umemficha mdogo wangu Lamomy?
Kuna kipindi nilikua naona unamrubuni kuwa utafungua kanisa umhonge sadaka sijui.
Kama yuko kwako mwambie nyumbani tunamuhitaji.
Nb:Nina aleji na siasa.
Gentleman,
ni wa usharika gani huyo mpendwa kondoo katika majani mabichi ya malisho ya neno?

Kanisa lipo na tunaendelea na ratiba za ibada za wiki, mikesha, semina, makongamano, maombi na maombezi ya jumla na kwa mtu moja moja, lakini pia sadaka na matoleo ya shukrani mbalimbali za wana kondoo usharikani , huwa ni kwaajili ya kuhakikisha madhabahu inatanuka na kupendeza kila wakati, lakini pia injili inasonga mbele na inafika kote ulimwenguni kadiri inavyowezekana sawa sawa na mapenzi ya Muumbaji.

Binafsi sina maelezo zaidi kumuhusu kondoo huyo, kwasababu sifahamu hata ni wa usharika gani. Hata hivyo,
yawezekana ni katika kutafutaji au malezi ya familia baada ya kuongezeka n.k ndio maana humuoni jukwaani kadiri ulivyomzoea.

Neema na Baraka za Mungu ziwe ndani yenu nyote, sasa na hata milele Aimen πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…