Nimeletewa Kesi: Mke wangu anatoka kimapenzi na Mume wa Mtu

Kwa haraka hizo hawezi kuupata ukweli.
Amtafute aliyeshitaki amuhoji ampe maelezo ya kina..;

Kwanini anahisi hivyo?

Amewaona pamoja na mara ngapi?

Wanakutana wapi?

Ni sms ameona?

Ameambiwa na mtu?

Huwa wanakutana wapi?

Amewahi kuongea na huyo mke?

Ameongea na mmewe na anasemaje.

Unapotaka kushughulikia jambo hakikisha una taarifa za kutosha, vinginevyo wanawake ni wazuri sana kukana na utamwamini.

Usikurupuke utaumia.
 
Tafsiri yake ni kwamba humridhishi mkeo. Humkazi so anatiwa na huyo mwingine.
 
Mwambie huyo aliyeibiwa mumewe, mfanye CROSS MULTIPLICATION 😂
 
Baada ya kupata taarifa hizo ulitakiwa kifika nyumbani na kutembeza kichapo kwa wife wako. Akishakula kerbu kama tano hivi, ndipo unakuja kumpa nafasi aeleze kuhusu huyo mchepuko wake.
 
Anza kuchunguza kwanza kabla ya kuamua, ukikuta ni kweli fanya maamuzi magumu..
Kama huwezi kufanya maamuzi magumu achana nalo endelea na maisha yako mpaka utakapopata uwezo wa kufanya maamuzi magumu..
Nakutakia kila la heri..
Fact…
 
Amina mtumishi [emoji120]
 
na wewe
kula mbususu ya huyo aliyekuja kushitaki
 
Anza kuchunguza kwanza kabla ya kuamua, ukikuta ni kweli fanya maamuzi magumu..
Kama huwezi kufanya maamuzi magumu achana nalo endelea na maisha yako mpaka utakapopata uwezo wa kufanya maamuzi magumu..
Nakutakia kila la heri..
Sio maamuzi magumu bali awe anamajibu kua ikiwa kweli atafanya nini.

Isijekua anautafuta ukweli na maamuzi baada ya huo ukweli hana. Kwanza kabisa ajipange ikiwa ni kweli afanyaje na ikiwa si kweli atafanya nini.

Ila asiache hili lipite, ni udhaifu mkubwa sana.
 
Kuishi na mwanamke mchafu na mzinzi unahutaji moyo wa chuma
 
Kuna mambo ambayo watu husingizia but sio kwenye mapenzi itakuwa kweli,huna mke hapo una kahaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…