Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ujumbe mpe meko ajenge makao ya ccm chatoMakao makuu ya Chadema yapo mtaa wa UFIPA, wilaya ya Kinondoni mkoa DSM. Ukiwa na Kawawa Road, ukivuka Chuo kikuu huria kutokea Moroko unachepuka kushoto unasonga mbele katika barabara mbovu hadi unafika nyumba ya makazi ilyopo uchochoroni mtaa wa Ufipa. Nyumba hii ni ya kawaida iliyojengwa zamani kwa maana hiyo ni nyumba ya kizamani ikimilikiwa na familia ya familia ya mmoja wa waasisi wa Chadema Bob Makani. CHADEMA wamepanga hapo.
Kwa ujumla hata ofisi nyingi za CCM Wilaya kama sio zote ni nzuri na bora kushinda makao makuu ya Chadema.
Sabodo aliwapa Cinemax pale kituo cha ITV wafanye makao makuu na kuwapatia pesa za kuchimba visima lakini kuna ubadhilifu mkubwa wa pesa hizo ulifanyika na Sabodo akaghairi kila kitu.
Mpaka sasa CHADEMA inajinasibu kushika dola, inaomba waTanzania waiamini na kuipa dhamana ya kujenga nchi. Kwa miaka zaidi ya 20 chadema kikiwa chama cha kawaida hadi kuwa chama kikuu cha upinzani kikipokea ruzuku kubwa kimeshindwa kujenga ofisi ya makao makuu. Je, inawezekana kikaaminiwa na waTanzania kujenga nchi?
Hakika kwa namna CHADEMA inavyoongozwa, hilo pekee la kushindwa kuwa na ofisi ya makao makuu jkatika jengo wanalomiliki ni ishara tosha hakiwezi kujisimamia na viongozi wake kukosa maono hivyo kukosa sifa za kuongoza nchi. Kinaweza vipi kujenga uchumi wa nchi ikiwa wao kama chama wameshindwa kupanga, kuratibu, na kusimamia rasilimali zao ili kujenga japo jengo la ofisi kuu angalau nyumba ya chini kama walipopanga kwa zaidi ya miaka 20. Nyumba hiyo isingegharimu zaidi ya million 200. Lakini kwa sababu ya tamaa za viongozi na kuigeuza chadema kitega uchumi imeshindikana kuwa na jengo la ofisi kuu.
Sasa hawa watu wataweza kweli kujenga uchumi wa nchi? Watauza kila kitu na kukausha hazina yetu hakuna watakachofanya kwani hawana maono watageuza nchi Saccos yao
mataga safari hii mtatagaSasa huyo mropkaji wenu anamfikia hata robo Lowasa ?
Nimekwambia safari hii Chadema tutawafundisha nini maana ya Uchaguzi milipata kiburi kwa kivuli cha Lowasa
Huu ndio mwaka mtakaousimulia
Mimi CHAUMA [emoji23][emoji23][emoji23]Uwanja wa ndege wa chato ni kidogo ? Nyie chadema ndio maana mnaitwa wajinga
nyie tayari somo limeshawaingia kweri-kweri ndiyo maana mnaenda hadi kumuamsha kikongwe Mama Maria Nyerere hadi akawavua nguo ya ndani mchana kweupe 🤣 🤣 🤣Rudia kusoma maneno yangu ! Safari hii tutawafundisha maana ya Uchaguzi
Mlilelewa kama yai mkajivika kiburi hiyo chance hamtaipata tena
Akikujibu nitag pleasenyie tayari somo limeshawaingia kweri-kweri ndiyo maana mnaenda hadi kumuamsha kikongwe Mama Maria Nyerere hadi akawavua nguo ya ndani mchana kweupe [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kwa nini msijenge ofisi? Mbona michango na misaada ya chama rafiki toka jeremani ni mabil ya shilingi. Mbona ruzuku kibao mmeitafuna kama kitimoto! Si ingetosha kushusha mjengo wa maana.Tatizo kila mwenye jengo anaogopa kumkodishia chadema jengo kwa ajili ya ofisi kwa kuogopa fitna za serikali
Nina mfano halisi, Chadema walitaka kukodisha jengo zima la mtu fulani pale maeneo ya kijitonyama, mwenye jengo alikua na shida kweli ya pesa lakini alipoambiwa mpangaji ni chadema akasema serikali haitoniacha ngoja jibaki na shida zangu
Kama milioni Mia tano inajjenga kituo cha afya, inashindikana nini chadema kujenga jengo lake yenyewe iii asipatikane mtu wa kuogopa kukodisha wakati wanpata ruzuku nyingi?Tatizo kila mwenye jengo anaogopa kumkodishia chadema jengo kwa ajili ya ofisi kwa kuogopa fitna za serikali
Nina mfano halisi, Chadema walitaka kukodisha jengo zima la mtu fulani pale maeneo ya kijitonyama, mwenye jengo alikua na shida kweli ya pesa lakini alipoambiwa mpangaji ni chadema akasema serikali haitoniacha ngoja jibaki na shida zangu
Kama mmeweza kuchoma ofisi za chadema za kanda kwa kuogopa moto wa Lissu, vipi wangekua wamejenga jengo lao wenyewe, si mngelipua kabisa mseme ni magaidi wamelipuaKama milioni Mia tano inajjenga kituo cha afya, inashindikana nini chadema kujenga jengo lake yenyewe iii asipatikane mtu wa kuogopa kukodisha wakati wanpata ruzuku nyingi?
Michango ya wanachama kujenga jengo imeshindikana?
Chadema hawajui nini wanongea hata lisu hajui anongea nini bali akiingia kwenye mtandao anatazama washabiki wao wnasemje kisha ndo ataongea kwenye mkutano kesho yake.
Hata ilani yao inatokana na maoni ya washabiki wa chadema na sio mahitaji ya mtanzania.
Jeremani ndio wapi huko mkuu, vipi ulipokea hito michango toka huko jeremani? Na ulisaidia kutafuna hiyo michango kama kitimoto? Mataga banaKwa nini msijenge ofisi? Mbona michango na misaada ya chama rafiki toka jeremani ni mabil ya shilingi. Mbona ruzuku kibao mmeitafuna kama kitimoto! Si ingetosha kushusha mjengo wa maana.
Kwani nyumba ya Ufipa wanapanga?Ile ni nyumba ya makuti tu,mbowe anaswaga 326m za ruzuku kila mwezi plus michango ya wabunge wa chadema,kujenga ofisi hata yenye ukubwa wa banda la kuku imeshindikana 😃😃😃
Kwahiyo unataka kusema Lowassa muongo aliposema aliibiwa kura?mataga mna hasira mwaka huu mlizani mtakutana na kitonga kama kile cha Lowasa the one minute man [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mmmh! umezidisha mahaba na wewe, angalia unavoongea pumba sasa.Watanyimwa kibali au hata wakishajenga wataambiwa ni ipen space or either baada ya kujenfa wakapitisha greda kwa madai kuwa wanapanua barabara
Mara kadhaa viongozi wa CHADEMA wamesikika wakinadi maendeleo ya watu badala ya vitu. Na wakati mwingine wameibeza CCM kwa kujikita kwenye maendeleo ya vitu ( miundombinu)...
Haya kachukue buku saba zako lumumbaMmmh! umezidisha mahaba na wewe, angalia unavoongea pumba sasa.
Kwani haiwezekani wanunue eneo na kujenga jengo la ofisi makao makuuTatizo kila mwenye jengo anaogopa kumkodishia chadema jengo kwa ajili ya ofisi kwa kuogopa fitna za serikali
Nina mfano halisi, Chadema walitaka kukodisha jengo zima la mtu fulani pale maeneo ya kijitonyama, mwenye jengo alikua na shida kweli ya pesa lakini alipoambiwa mpangaji ni chadema akasema serikali haitoniacha ngoja jibaki na shida zangu
Kwa hiyo ulitaka niseme Germany ndio unielewe? Mlikula michango na ruzuku,na misaada toka Germany.Jeremani ndio wapi huko mkuu, vipi ulipokea hito michango toka huko jeremani? Na ulisaidia kutafuna hiyo michango kama kitimoto? Mataga bana
Acha utoto.. grow up .Haya kachukue buku saba zako lumumba