Wewe sio trader mkuu huwezi kuelewa hizi ishu,wabwia unga wakikwambia arosto huwezi kuwaelewa utawaona wapumbavu ila kiuhalisia ni kitu kweli ipo na inawatafuna kinyama,so mkuu kama wewe sio trader huwezi elewa hizi mambo aseHivi mna akili kweli?
Da mkuu umenipa moyo sana ase ila hata mm kwa upande wangi hli ni tatozo mana bimkubwa alinipa mimi pesa za shule kwa dogo langu aende alafu bimkubwa maisha yake ni ya kawaida tu kaka,nikimuambia nimebeti ah itakuwa timtim tuDah jamaa yangu mara mia ungeniambia nikupe odd 200 ungekula zako milion kadhaa sijui ungenikumbuka dah hy dunia noma ila afathar wewe mwenzako niliweka pesa ya mgonjwa kulipia hospitar ni pesa ndefu yote nikaliwa ila unajua nini japo utakutana na changamoto ila yatapita na wala halidumu hata siku5 jibu utakuwa umepata usijipe stres hy nipesa tu ipo tu we unalia ada ambapo hata mtoto wiki mbil mbele anaenda mwenzako, mgonjwa yupo chumba cha upasuaji inaitajika pesa ndipo apasuliwe baba vuta picha afu muhun ndio nimeweka pesa ya mchango forex na betpawa ile naangalia mkeka lost ile naangalia apu ya forex lost mzee achaa afu saa bado moja upeleke pesa kama laki nane hivi niseme tu jomba huna tatizo wenye matatizo tumetulia tu hapa ila yamepita
ukimwambia umebeti ndio tatizo lingine, kwanza kwasasa acha mawazo ya kupambania kurudisha pesa uliyopoteza utajikuta umepoteza zaid chakufanya ni hiki potezea nazan huwez nielewa nasema hv potezea relax kila wazo hilo likija usilipe uzito unajua nn matatizo yote majibu yapo kwenye kichwa chako unapokaa kuwazia jambo hilo ubongo wako utashindwa kukusaidia nn ufanye, mana kwa kuwaza kwako huwez fanya pesa irud zaid utachanganyikiwa kama unaona hy nikufundishe kitu kingineDa mkuu umenipa moyo sana ase ila hata mm kwa upande wangi hli ni tatozo mana bimkubwa alinipa mimi pesa za shule kwa dogo langu aende alafu bimkubwa maisha yake ni ya kawaida tu kaka,nikimuambia nimebeti ah itakuwa timtim tu
Hahahahaha aiseeHii forex imemfanya jirani yangu kitu mbaya sana yaani muda wote kama chizi ukimuuliza kuhusu forex na aanze kuonyesha flow ya pesa
Halafu kuna wajinga wa forex wanatuponda sisi wa betting wakati sisi tunacheza vitu real yaani kama leo Girona 3- Athletico Madrid 2 halafu naweka mia yangu natulia tuli
Kwa ufupi Aliyekufundisha Forex alikudanganya.Fafanuwa zaidi mkuu zijakupata bado,na ikowezekana nipe hata ushauri maana najiona kama nimevurugwa hivi
Nifundshe mkuu mana kuna ktu umeongaa hapo kwamba niache mawazo ya kurudsha hela,na hayo mawazo huwa ynakuja ila sina hela.ukimwambia umebeti ndio tatizo lingine, kwanza kwasasa acha mawazo ya kupambania kurudisha pesa uliyopoteza utajikuta umepoteza zaid chakufanya ni hiki potezea nazan huwez nielewa nasema hv potezea relax kila wazo hilo likija usilipe uzito unajua nn matatizo yote majibu yapo kwenye kichwa chako unapokaa kuwazia jambo hilo ubongo wako utashindwa kukusaidia nn ufanye, mana kwa kuwaza kwako huwez fanya pesa irud zaid utachanganyikiwa kama unaona hy nikufundishe kitu kingine
Amenidanganya nini,we unajua amenifundisha nini ?Kwa ufupi Aliyekufundisha Forex alikudanganya.
Rudi tena ukamuulize
Sasa hiyo sio kidogo, mpaka katoa mlio kaliwa sanaSawa Sawa Huwezi Kula Bila Kuliwa Kidogo
Usimsikilize pipa mzee wa saundi tuHivi mna akili kweli?
Jidondoshe ujifanye umezimia wakubebe wakupeleke hospital ukifika tu emergency hakikisha unamwambia doctor miye mzima nimefake na maswahibu acha nipumzike atakuelewa,Kumanina najuta aise kichwa kinaniuma hpa keshokutwa dogo anaenda shule na bi mkubwa ananiulizia