Nimemaliza masomo Canada ninahofia kurudi nyumbani

Nimemaliza masomo Canada ninahofia kurudi nyumbani

Ingekuwa shida kama serikali ya TZ ilikusomesha au zile scholarship za sharti la kurudi nchi yako ya makazi...

Otherwise wewe endelea kula tembele tu huko CA...
Mpwa swalama?

Huyo anayeomba ushauri ana Masters...

Angekuwa na kasetifiketi ka VETA ka kutengeneza pasi za mkaa kama ka kwangu sijui angeomba ushauri gani wallah...
 
Mkuu shida yako ni maisha bora au kurudi nyumbani? Angalia wapi utafaidika na future yako pamoja na kizazi chako
 
Yaaani unataka kurudi tz licha ya kwamba unaona fursa kibao huko canada....Aisee mkuu Umesoma ili iweje sasa?.... kama elimu yako inashindwa hata kukupatia maamuzi chanya kwa mustakabali wa maisha yako dhidi ya hili uliloliwasilisha hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha...unajua miaka ya zamani ukitaka kurudi Bongo, ulikuwa unafikiria ile T2 namna ilivyochoka....

Halafu unajiambia, kama front porch tu ipo vile, je huko backyard kuko aje...

Wazo la kurejea linakata hapo hapo
 
Sasa boss kama mfungwa tu aliye jera tena jera ya tz anagoma kutoka jera kuja mtaani anaogopa ugumu wa maisha mtaani wewe ndio unataka kutoka ulaya uje tz😀😀😀

Haya bwana njoo, ukutane na fitna na figisu za kiswahili ofisini tena ofisi za umma umetoka ughaibuni kusoma utapigwa ndumba wewe kama siyo mlevi utaanza kunywa pombe nakushinda bar, ili waanze ona katoka ulaya kawa mlevi tu😀😀😀 bongo nyoso baki ulaya hali ikiwa nzuri njoo nyumbani.
 
Hahaha Ngoja arudi..Aishie kuitwa mzalendo Huku maisha yake Yakiwa yanazidi kuwa magumu "
Haha...unajua miaka ya zamani ukitaka kurudi Bongo, ulikuwa unafikiria ile T2 namna ilivyochoka....

Halafu unajiambia, kama front porch tu ipo vile, je huko backyard kuko aje...

Wazo la kurejea linakata hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bambii, Yaani ukirudi , utakuja kukumbuka !! Tuulize wenzio tulienda kusoma nje tukarudi na degree zetu za computer science kutoka PASAU UNIVERST- UJERUMANI,

yanayotea sasa hivi wengi hawaamini kbs km ndio mimi ...nakushauli ndugu yangu tafuta kazi huko tengeneza maisha kazi za serikali we utafanya ikikoroga kidogo hawakumbuki mema yote

Ni muda wa kujiwazia future yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana jamvi ninaomba ushauri wenu,

Mimi ni mwajiriwa wa serikalini nilipata nafasi ya kuja kusoma Masters kwa ufadhili wa chuo kimoja hapa Canada. Japokuwa nilifanya kazi kwa mwaka mmoja tu kabla sijaja masomoni.

Muda wangu wa masomo unakaribia sana kuisha na ninaona nafasi za ajira na maisha bora huku niliko kuliko nyumbani. lakini ninawaza nitafanyaje juu ya mkataba wa kazini Tanzania na kama ni maamuzi sahihi kubakia huku baada ya masomo yangu.
Huku usirudi kama wataka uambiwe unashtakiwa kwa kuhujumu uchumi na kukataa kulipa kodi basi rudi uone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom