Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Naona ana hamu ya kuja kusutwa mpaka azimie na yule waziri mzaramoAnarudi kufanya nn😇
Au atandikwe mikwala na Chakubanga Polepole
Au kugombezwa na katibu wa tawi wa Fisiemu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona ana hamu ya kuja kusutwa mpaka azimie na yule waziri mzaramoAnarudi kufanya nn😇
Mpwa swalama?Ingekuwa shida kama serikali ya TZ ilikusomesha au zile scholarship za sharti la kurudi nchi yako ya makazi...
Otherwise wewe endelea kula tembele tu huko CA...
Haha...unajua miaka ya zamani ukitaka kurudi Bongo, ulikuwa unafikiria ile T2 namna ilivyochoka....Yaaani unataka kurudi tz licha ya kwamba unaona fursa kibao huko canada....Aisee mkuu Umesoma ili iweje sasa?.... kama elimu yako inashindwa hata kukupatia maamuzi chanya kwa mustakabali wa maisha yako dhidi ya hili uliloliwasilisha hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
U-DC halafu unatukanwa mbele ya hadhara, unaambiwa na kwenda kote Canada umetuletea upuuzi huu, si bora ungebaki hukohuko.
Haha...unajua miaka ya zamani ukitaka kurudi Bongo, ulikuwa unafikiria ile T2 namna ilivyochoka....
Halafu unajiambia, kama front porch tu ipo vile, je huko backyard kuko aje...
Wazo la kurejea linakata hapo hapo
Hee kids je? Na yule mwarabu wao? Aisee yaani we weMie hata nipate invitation sirudi tz!
Yaan potelea poteee[emoji1787][emoji1787]
Hee kids je? Na yule mwarabu wao? Aisee yaani we we
Hahahaha fully kuzamiaMie hata nipate invitation sirudi tz!
Yaan potelea poteee[emoji1787][emoji1787]
Kuna rafiki yangu yuko China. Kasema kabisa harudi. Anamaliza masters next year, anafanya kazi two years akirudi anaachana na ualimu kabisa.
Kasema kuliko kurudi kufundisha Bora arudi kwao kusubiri chakula cha shikamoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mfungwa gerezani anagoma kuachiwa huru aje uraiani...Hahaha Ngoja arudi..Aishie kuitwa mzalendo Huku maisha yake Yakiwa yanazidi kuwa magumu "
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku usirudi kama wataka uambiwe unashtakiwa kwa kuhujumu uchumi na kukataa kulipa kodi basi rudi uoneWana jamvi ninaomba ushauri wenu,
Mimi ni mwajiriwa wa serikalini nilipata nafasi ya kuja kusoma Masters kwa ufadhili wa chuo kimoja hapa Canada. Japokuwa nilifanya kazi kwa mwaka mmoja tu kabla sijaja masomoni.
Muda wangu wa masomo unakaribia sana kuisha na ninaona nafasi za ajira na maisha bora huku niliko kuliko nyumbani. lakini ninawaza nitafanyaje juu ya mkataba wa kazini Tanzania na kama ni maamuzi sahihi kubakia huku baada ya masomo yangu.
Wewe hujitambui? Njoo huku Torabora tupigane vita vya kuviziana...Bora anajitambua!
Kwa kibali kipi wakati Kasema yeye ni mwajiriwa wa serikali.Rudi nyumbani uwaage ndugu,jamaa na marafiki,then urudi Canada rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wine zipo??Wewe hujitambui? Njoo huku Torabora tupigane vita vya kuviziana...