Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Toa hela.. ukiona hawara anaomba sana si usepe? Nini mnakuja kujiliza hadharani? Uwaga mnalazimishwa kwani ama

Mtu ameomba mpe nyeupe kabisa sina. Sio kuanza kuandika essay mbali mbali, ama nakupa robo yake.
Yaani wanalalamika utafikiri kalazimishwa...laki tatu sio hela ya kuja kufungua uzi hapa...ameniboaa
 
Ila ukipata si unatembea nao 😃
Nafikiri nishafunga ukurasa.
Napenda sana MWANAMKE mwenye AKILI.
Warembo wengi yaani vile visu vikali akili za maisha ni zero, watakufanya uzunguke jangwani maisha yako yote.

Katika maisha hawana msaada wa kukitunza hata kidogo ulicho nacho.
Wako kukitapanya tu ili waonekane wako juu kila wakati.

So kwangu ukurasa...umefungwa...labda kwa msaada wa dharura😂
 
Nafikiri nishafunga ukurasa.
Naoenda sana MWANAMKE mwenye AKILI.
Warembo wengi yaani vile visu vikali akili za maisha ni zero, watakufanya uzunguke jangwani maisha yako yote.

Katika maisha hawana msaada wa kukitunza hata kidogo ulicho nacho.
Wako kukitapanya tu ili waonekane wako juu kila wakati.

So kwangu ukurasa...umefungwa...labda kwa msaada wa dharura😂
Baba elisha punguza kujitetea tuma laki 3 mambo yasiwe mengi 😁
 
Baba elisha punguza kujitetea tuma laki 3 mambo yasiwe mengi 😁
Mama Elisha...kabla hujaniona maeneo yale...nimwpitia moto wa miss mwenzako...mpenda maisha ya juu kila siku, niliparuliwa hadi ngozi acha tu.

Nitume kwenye namba ipi inayoishia na 8 au na 01 ?🤣🤣🤣
 
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.

Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.

View attachment 2682796
Hii tabia inaonyesha how immature you are. Tafuta hela, laki tatu sio ya kuja kulalamika humu unless hujampenda maana ukipenda mtu uwe tayari kwenda nae extra miles.
 
Classic services ndio zikoje?
Mbona nasikia eti classic chicks hata viuno hawavijui kivile

Si eti e mshamba_hachekwi
Mambo ya viuno sijui sana, lakini kwa mada hii, mtoa mada ni wale wanaopenda pisi kali. Sa pisi kali zinakamua mifuko daddekkk..wanawake wasioomba hela, hawana tako, sura zao za kawaida na vijichunusi vya hapa.na pale, most of the times wanajielewa sana na wako serious na maisha. Lakini unafikiri watu aina ya mleta mada watawataka??? Wanafata wenye chura, ndo wanaishia kugharamikia chura...ndegelec..😅😅😅😅
 
Hapo kwenye chunusi 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom