Ni kweli kabisa, ni muhimu aje naye sio kwa uthibitisho ila kwa ushahidi wa siku zijazo.Mkuu Dada yake anaweza kuja na huyo Bwana aliyemkuta na Mpenzi wake unajua wanaweza kupanga vizuri, We unajua kama lazima huyo Dada yake wanajuana vizuri na huyo Mwanaume inawezekana hata huyo Mwanaume ndiyo anakubalika na anapendwa na shemeji zake kuliko huyo mtoa posa.
tangu tarehe 27/09 nishatoa taarifa kua hakuna shughuli ya utoaji mahali nimewaambia tu kuna emergency nimepata hila ndio nimemalizana nae hakuna kitakachoendeleaLeo ndio october 2 umeamua nini?
Huo ndio uamuzi sahihi mkuutangu tarehe 27/09 nishatoa taarifa kua hakuna shughuli ya utoaji mahali nimewaambia tu kuna emergency nimepata hila ndio nimemalizana nae hakuna kitakachoendelea
Hapana sio E bossKijana hupendwi, imagine mpaka K unapangiwa.... Halafu mbona huyo mchumba wako namfahamu jina lake linaanza na E.
Acheni kujikuta nyinyi ni wasomi sana asa kuandika kwake na kuoa vina uhusiano gani.Hivi huyo binti anajua kuwa anaolewa na mwanaume wa aina gani??
Yani mtu kuandika tu vizuri ni tabu sasa hayo mambo mengine utayaweza kweli?? Kitandani panataka ufundi mana ile ni sanaa sasa kama haya ya kukariri tu yanakusumbua huko kwingine si itakua tabu zaidi??
Ushauri wangu kwako,
Kabla hujaamua kupeleka mahari jiulize tu kuwa je utaweza kuhimili ndoa ambayo kuna jamaa mwingine anapiga na wewe unajua?? Kama utaweza kustahili oa kiroho safi kama huwezi achana nae mapemaaa
Kuusikiliza moyo na hisia vitakudanganya, tumia akili.unawezaje kufahamu ndugu wote kaka aneniambia kaka yake saa ingekua rahisi
1. Ulitakiwa utumie alama moja ya uandishi yaani alama ya kuuliza moja "?" na siyo mbiliHivi huyo binti anajua kuwa anaolewa na mwanaume wa aina gani??
Yani mtu kuandika tu vizuri ni tabu sasa hayo mambo mengine utayaweza kweli?? Kitandani panataka ufundi mana ile ni sanaa sasa kama haya ya kukariri tu yanakusumbua huko kwingine si itakua tabu zaidi??
Ushauri wangu kwako,
Kabla hujaamua kupeleka mahari jiulize tu kuwa je utaweza kuhimili ndoa ambayo kuna jamaa mwingine anapiga na wewe unajua?? Kama utaweza kustahili oa kiroho safi kama huwezi achana nae mapemaaa
Huyo mwenye ana makosa mengi katika uandishi wake. Haujui kutumia alama za uandishi kama vile , .Acheni kujikuta nyinyi ni wasomi sana asa kuandika kwake na kuoa vina uhusiano gani.
Kama huna ushauri tulia.
Rubbish ๐ ๐ฎ.
Mtu anahitaji ushauri mtu unaanza kumkosoa.Huyo mwenye ana makosa mengi katika uandishi wake. Haujui kutumia alama za uandishi kama vile , .
Ameandika ili kufurahisha watu na watu wasivyojua uandishi wanaona kama ndiyo anajua.
Hata ukisoma gazeti utakuta kuna mkato, nukta, alama ya kuuliza ?. Yeye anaweka ??๐๐๐
Hawezi kumuacha kama kamfumania na anakuja kutuuliza mapenzi ni upofu aisee.Ustaadh, pole, nimesoma ingawa kwa shida sana.
Achana na Malaya uyo, atakuua. Fanya mambo mengine.
Hao ndiyo wale mtu anazama kwenye mto, anaomba msaada. Wao wanatoa simu na kuanza kuchukua video๐๐Mtu anahitaji ushauri mtu unaanza kumkosoa.
Wakati huo mkosoaji nae hajui kitu kuhusu anacho kikosoa.
Humanity has so many problems truly, civilization and decency are desperately needed.
Hahaha, people never cease to amaze me, bro.Hao ndiyo wale mtu anazama kwenye mto, anaomba msaada. Wao wanatoa simu na kuanza kuchukua video๐๐