Wewe apo shida Yako sio kumkuta na jamaa apo wewe ni kwenda kumkagua bikra na kuikuta kama IPO ndio ukatoe mahali la sivyo utakuwa ni usengeushauri kaka nimechanganyikiwa maana wazazi anajua mahali kutoa tarehe 3/10/2026 na kila kitu kishaandaliwa
ππππIla naona kabisa mtoabmada akienda kutoa mahari maana wanaume kama hawa huwa wajinga sana π€£π€£π€£
Palepale ulipomkuta ilibidi mmalizane
Nashikwa hasira sana nikiona wavulana kama nyie uko wapi nije nikupige mabanzi ya uso uzimie
Mimi nikijana nna miaka 27, mwezi wa 1 mwaka huu 2026 nilikutana na bint nikampenda tukaanzisa uhusiano lakini katika muda wote niliyokua nae zaidi ya miezi 7 sijaai kukutana nae kimwili, sababu anaesema yy ni bikra anataka mpk akiolewa ndio afanye akiwa ndani ya ndoa, hila nna muhudumia anachotaka kwani mm nimeajiliwa hila yy kamaliza uhasibu degree hila hajapata ajira bado,sasa weekend hii nilikua nna ahadi nae twende sehemu tukakae tule hila sikumwambia sehemu gani tunayotaka kwenda, lakini akatoa excuse ana matatizo ya kifamily hatotoka,mimi nikampigia simu jamaa yangu tukaenda hyo sehemu cha ajabu tulipofika hyo seemu nikamkuta yy yupo na jamaa mwengine anakula anakunywa, hakuniona na sijamshtua nikakaa mpk nikaondoka sikumshtua, ukizinatia nishapeleka mpk barua na mahali nilipanga kupeleka mwezi huu wa tisa ,usiku nikampigia simu nikamwambia nilipomuona lakini anakataa sio yy lakini mwisho akakubali hila akasema yule ni mume dada yake alikua na kikao akaomba msamaha,nilikua nnaomba ushauri jamani nisamehe tu tuendelee na mipango ya ndoa ukizingatia nishawambia nyumbani mpk tarehe ya kupeleka posa ,naombeni ushauri wenu jamani hii issue imenikalia vibaya maana ndugu ikifika ijumaa taree 2/10/2026 wanaanza kuja kwa ajili ya kupeleka mahali nifanyaje ?nivunje mipango yote au nisamehe maana kinachoniuma zaidi mimi nimekomaliwa miezi kibao kumbe wengine wanakula tu mzigo
Hapo tu umeanza kupigwa ndio maana nimekuambia ujiridhishe boyfriend wa dada yake anakuaje na nguvu ya kumzuia akutane na wewedada yake nnamfaamu hila hajaolewa inamaana km shemeji yake ni boyfriend wa dada yake
nnamfaamu hila kumuuliza nnashindwa maana nnajua lazima atampanga dada yakeHuyo dada yake unamfahamu?
Hapa alifanya kosa kubwa sana alitakiwa amfuate ajue ukweli wake.Mtu ushamtolea barua ukashindwa kwenda kumuuliza hapo ulipomuona utaweza kulea familia kweli???
Subiri ukue achana na huyo malaya
Ndio mana nasema wewe huna akili, hayo maamuzi sio ya itabidi, ilitakiwa uyafanye the moment umemkuta huyo mwanamke na mwanaume wake, sio swala la kuulizaitabidi nifanye hvyo kaka maana ijumaa wanaanza kuja huku nilipo kwa ajili ya hyo shughuli ya kutoa mahali
Fuatilia utapata ukweli, ila hapo kwenye bikra umepigwa mzeennamfaamu hila kumuuliza nnashindwa maana nnajua lazima atampanga dada yake
hapana kaka ndio maana nimeomba ushauriDiazin kama unajitahidi kufumbia macho alichokufanyia. Ubaya ni kwamba utambumbia macho leo ila litakutafuna mpaka kesho
Halafu kuna mwana anajipigia tani yake na inavyoonekena huyo mwana sio muoaji ila ndio anapendwa ndio sababu yeye amekataliwa kwenda out mwana kakubaliwa kiroho safi ππEh nilisahau kumbe mzee ajaonja kasubirishwaπ€£π€£π€£π€£π€£
Wavulana wajinga wamejaa hawa ndio wakiingia kwenye ndoa wanaletewa mauzauza kisha wanaanza kulaumu wanawake kumbe yeye alishafeli kwenye nafasi yake kitamboHapa alifanya kosa kubwa sana alitakiwa amfuate ajue ukweli wake.
Pole sana kwa changamoto kwa kifupi ni kwamba huyo Mchumba wako siyo mwaminifu.Mimi nikijana nna miaka 27, mwezi wa 1 mwaka huu 2026 nilikutana na bint nikampenda tukaanzisa uhusiano lakini katika muda wote niliyokua nae zaidi ya miezi 7 sijaai kukutana nae kimwili, sababu anaesema yy ni bikra anataka mpk akiolewa ndio afanye akiwa ndani ya ndoa, hila nna muhudumia anachotaka kwani mm nimeajiliwa hila yy kamaliza uhasibu degree hila hajapata ajira bado,sasa weekend hii nilikua nna ahadi nae twende sehemu tukakae tule hila sikumwambia sehemu gani tunayotaka kwenda, lakini akatoa excuse ana matatizo ya kifamily hatotoka,mimi nikampigia simu jamaa yangu tukaenda hyo sehemu cha ajabu tulipofika hyo seemu nikamkuta yy yupo na jamaa mwengine anakula anakunywa, hakuniona na sijamshtua nikakaa mpk nikaondoka sikumshtua, ukizinatia nishapeleka mpk barua na mahali nilipanga kupeleka mwezi huu wa tisa ,usiku nikampigia simu nikamwambia nilipomuona lakini anakataa sio yy lakini mwisho akakubali hila akasema yule ni mume dada yake alikua na kikao akaomba msamaha,nilikua nnaomba ushauri jamani nisamehe tu tuendelee na mipango ya ndoa ukizingatia nishawambia nyumbani mpk tarehe ya kupeleka posa ,naombeni ushauri wenu jamani hii issue imenikalia vibaya maana ndugu ikifika ijumaa taree 2/10/2026 wanaanza kuja kwa ajili ya kupeleka mahali nifanyaje ?nivunje mipango yote au nisamehe maana kinachoniuma zaidi mimi nimekomaliwa miezi kibao kumbe wengine wanakula tu mzigo
ππππππUmesahau kumpa cheo kingine "walii"