Dem kajipatia simp lake anajipakulia minyama, kwanza mwanaume mwenye akili unahudumia vipi mwanamke tokea January na hajawahi kuonja???Halafu kuna mwana anajipigia tani yake na inavyoonekena huyo mwana sio muoaji ila ndio anapendwa ndio sababu yeye amekataliwa kwenda out mwana kakubaliwa kiroho safi ππ
Mbaya zaidi anaambiwa ni mume wa dada nae anakubali
Lakini wewe unatamani sisi tuseme ya kuwa sio bwana ake??hapana alikua na mwanaume mwengine mazingira yanaonyesha ni bwanake
Kwa Tanzania β₯οΈ Ya Sasa Yote Hayo YanawezekanaWhat if wakati unamtongoza alikuwa ndio jamaa yake? Maana sidhan kama alikuwa anakusubiri wewe hapo nilazima anatafuta mbinu za kumwacha jaama yake taratibu π€£π€£π΄π»ββοΈπ΄π»ββοΈ
Acha us*ng* dogo, usioe MALAYA, utakuja KUFA kabla ya siku zako.Mimi nikijana nna miaka 27, mwezi wa 1 mwaka huu 2026 nilikutana na bint nikampenda tukaanzisa uhusiano lakini katika muda wote niliyokua nae zaidi ya miezi 7 sijaai kukutana nae kimwili, sababu anaesema yy ni bikra anataka mpk akiolewa ndio afanye akiwa ndani ya ndoa, hila nna muhudumia anachotaka kwani mm nimeajiliwa hila yy kamaliza uhasibu degree hila hajapata ajira bado,sasa weekend hii nilikua nna ahadi nae twende sehemu tukakae tule hila sikumwambia sehemu gani tunayotaka kwenda, lakini akatoa excuse ana matatizo ya kifamily hatotoka,mimi nikampigia simu jamaa yangu tukaenda hyo sehemu cha ajabu tulipofika hyo seemu nikamkuta yy yupo na jamaa mwengine anakula anakunywa, hakuniona na sijamshtua nikakaa mpk nikaondoka sikumshtua, ukizinatia nishapeleka mpk barua na mahali nilipanga kupeleka mwezi huu wa tisa ,usiku nikampigia simu nikamwambia nilipomuona lakini anakataa sio yy lakini mwisho akakubali hila akasema yule ni mume dada yake alikua na kikao akaomba msamaha,nilikua nnaomba ushauri jamani nisamehe tu tuendelee na mipango ya ndoa ukizingatia nishawambia nyumbani mpk tarehe ya kupeleka posa ,naombeni ushauri wenu jamani hii issue imenikalia vibaya maana ndugu ikifika ijumaa taree 2/10/2026 wanaanza kuja kwa ajili ya kupeleka mahali nifanyaje ?nivunje mipango yote au nisamehe maana kinachoniuma zaidi mimi nimekomaliwa miezi kibao kumbe wengine wanakula tu mzigo
Ustadh maalim!Mimi nikijana nna miaka 27, mwezi wa 1 mwaka huu 2026 nilikutana na bint nikampenda tukaanzisa uhusiano lakini katika muda wote niliyokua nae zaidi ya miezi 7 sijaai kukutana nae kimwili, sababu anaesema yy ni bikra anataka mpk akiolewa ndio afanye akiwa ndani ya ndoa, hila nna muhudumia anachotaka kwani mm nimeajiliwa hila yy kamaliza uhasibu degree hila hajapata ajira bado,sasa weekend hii nilikua nna ahadi nae twende sehemu tukakae tule hila sikumwambia sehemu gani tunayotaka kwenda, lakini akatoa excuse ana matatizo ya kifamily hatotoka,mimi nikampigia simu jamaa yangu tukaenda hyo sehemu cha ajabu tulipofika hyo seemu nikamkuta yy yupo na jamaa mwengine anakula anakunywa, hakuniona na sijamshtua nikakaa mpk nikaondoka sikumshtua, ukizinatia nishapeleka mpk barua na mahali nilipanga kupeleka mwezi huu wa tisa ,usiku nikampigia simu nikamwambia nilipomuona lakini anakataa sio yy lakini mwisho akakubali hila akasema yule ni mume dada yake alikua na kikao akaomba msamaha,nilikua nnaomba ushauri jamani nisamehe tu tuendelee na mipango ya ndoa ukizingatia nishawambia nyumbani mpk tarehe ya kupeleka posa ,naombeni ushauri wenu jamani hii issue imenikalia vibaya maana ndugu ikifika ijumaa taree 2/10/2026 wanaanza kuja kwa ajili ya kupeleka mahali nifanyaje ?nivunje mipango yote au nisamehe maana kinachoniuma zaidi mimi nimekomaliwa miezi kibao kumbe wengine wanakula tu mzigo
Mi ningekushauri uachane nae. Usikubali presha ya ndugu kutarajia jambo ikusukume kuendelea nae.hapana kaka ndio maana nimeomba ushauri
π€£π€£π€£Lakini wewe unatamani sisi tuseme ya kuwa sio bwana ake??
Kwanza huyo mwanamke hana AJIRA , anakupotezea mda.. Kabla ujaingia gharama za kipumbavu achana nae.. Yuko kwako kupunguza njaa zakeMimi nikijana nna miaka 27, mwezi wa 1 mwaka huu 2026 nilikutana na bint nikampenda tukaanzisa uhusiano lakini katika muda wote niliyokua nae zaidi ya miezi 7 sijaai kukutana nae kimwili, sababu anaesema yy ni bikra anataka mpk akiolewa ndio afanye akiwa ndani ya ndoa, hila nna muhudumia anachotaka kwani mm nimeajiliwa hila yy kamaliza uhasibu degree hila hajapata ajira bado,sasa weekend hii nilikua nna ahadi nae twende sehemu tukakae tule hila sikumwambia sehemu gani tunayotaka kwenda, lakini akatoa excuse ana matatizo ya kifamily hatotoka,mimi nikampigia simu jamaa yangu tukaenda hyo sehemu cha ajabu tulipofika hyo seemu nikamkuta yy yupo na jamaa mwengine anakula anakunywa, hakuniona na sijamshtua nikakaa mpk nikaondoka sikumshtua, ukizinatia nishapeleka mpk barua na mahali nilipanga kupeleka mwezi huu wa tisa ,usiku nikampigia simu nikamwambia nilipomuona lakini anakataa sio yy lakini mwisho akakubali hila akasema yule ni mume dada yake alikua na kikao akaomba msamaha,nilikua nnaomba ushauri jamani nisamehe tu tuendelee na mipango ya ndoa ukizingatia nishawambia nyumbani mpk tarehe ya kupeleka posa ,naombeni ushauri wenu jamani hii issue imenikalia vibaya maana ndugu ikifika ijumaa taree 2/10/2026 wanaanza kuja kwa ajili ya kupeleka mahali nifanyaje ?nivunje mipango yote au nisamehe maana kinachoniuma zaidi mimi nimekomaliwa miezi kibao kumbe wengine wanakula tu mzigo
kuandika na mambo ya kitandani ni vitu viwili tofauti ndugu yangu kuna watu hawajui hata kusoma ila kitandani wapo vizuriHivi huyo binti anajua kuwa anaolewa na mwanaume wa aina gani??
Yani mtu kuandika tu vizuri ni tabu sasa hayo mambo mengine utayaweza kweli?? Kitandani panataka ufundi mana ile ni sanaa sasa kama haya ya kukariri tu yanakusumbua huko kwingine si itakua tabu zaidi??
Ushauri wangu kwako,
Kabla hujaamua kupeleka mahari jiulize tu kuwa je utaweza kuhimili ndoa ambayo kuna jamaa mwingine anapiga na wewe unajua?? Kama utaweza kustahili oa kiroho safi kama huwezi achana nae mapemaaa
Kuandika ni kitu rahisi sana kama huwezi kuandika vizuri tena hata kwa msaada wa keyboard basi ujue maswala yanayohitaji ufundi ikiwemo kitandani wewe utakuwa zero kabisakuandika na mambo ya kitandani ni vitu viwili tofauti ndugu yangu kuna watu hawajui hata kusoma ila kitandani wapo vizuri
Fundi mwashi huyo mkuu,Kwanza kijana rudi shule ukajifunze kuandika.
hila yy
hila nn
Kijana hata kuandika hujui.
Yani unadhihirisha ulivyo zuzu. Kwanzia mwandiko mpaka kwenye mahusiano.
Kama unamuhudumia Mwanamke Usiyemtomba, wewe ni Mpuuzi.Mimi nikijana nna miaka 27, mwezi wa 1 mwaka huu 2026 nilikutana na bint nikampenda tukaanzisa uhusiano lakini katika muda wote niliyokua nae zaidi ya miezi 7 sijaai kukutana nae kimwili, sababu anaesema yy ni bikra anataka mpk akiolewa ndio afanye akiwa ndani ya ndoa, hila nna muhudumia anachotaka kwani mm nimeajiliwa hila yy kamaliza uhasibu degree hila hajapata ajira bado,sasa weekend hii nilikua nna ahadi nae twende sehemu tukakae tule hila sikumwambia sehemu gani tunayotaka kwenda, lakini akatoa excuse ana matatizo ya kifamily hatotoka,mimi nikampigia simu jamaa yangu tukaenda hyo sehemu cha ajabu tulipofika hyo seemu nikamkuta yy yupo na jamaa mwengine anakula anakunywa, hakuniona na sijamshtua nikakaa mpk nikaondoka sikumshtua, ukizinatia nishapeleka mpk barua na mahali nilipanga kupeleka mwezi huu wa tisa ,usiku nikampigia simu nikamwambia nilipomuona lakini anakataa sio yy lakini mwisho akakubali hila akasema yule ni mume dada yake alikua na kikao akaomba msamaha,nilikua nnaomba ushauri jamani nisamehe tu tuendelee na mipango ya ndoa ukizingatia nishawambia nyumbani mpk tarehe ya kupeleka posa ,naombeni ushauri wenu jamani hii issue imenikalia vibaya maana ndugu ikifika ijumaa taree 2/10/2026 wanaanza kuja kwa ajili ya kupeleka mahali nifanyaje ?nivunje mipango yote au nisamehe maana kinachoniuma zaidi mimi nimekomaliwa miezi kibao kumbe wengine wanakula tu mzigo