Hao hawawezi hata kujenga banda la kuku kwa kupitia mshahara labda wachuke mkopo.Kwa asubuhi hii hiyo inaitwa ya chai, baadae mchana watatafuta ya lunch, na jioni watatafuta ya chakula cha usiku.
Mishahara yao wanajengea tu mijumba.
nyie daisalaam mnatoa tatu tu! Huku kwetu ni khaki(5000) na uwe makin sana! Elf tano anachukua na mkeka wa kimyakimya bila lesen! UnapigwaWanachukua 3000
Viatu vyao vina hitaji kiwi!!!Kwa asubuhi hii hiyo inaitwa ya chai, baadae mchana watatafuta ya lunch, na jioni watatafuta ya chakula cha usiku.
Mishahara yao wanajengea tu mijumba.
Hili nalo jinga kabisa ! Unasaport rushwa? Unajua nin kinafuata hapo baada ya kumnyima? Lkn pia ukitazama riport ya cag wezi wote waliotajwa wanatokea sukuma gang! Kaka mkuu ni masanja kadogosa!Bora wao wanaomba wanapewa kuliko wale wanaopiga mabilioni chini ya serikali ya samia. Huyo askari umemuonea tu.
Sijui hujaelewa nini we bata. Nimekuambia kaomba. Kwani umeambiwa kamkata mtu kisha anachukua rushwa? We unawashwa kweli nyuma hukk. Na tunapoenda tutahakikisha wanaowakuna tunawamalizaHili nalo jinga kabisa ! Unasaport rushwa? Unajua nin kinafuata hapo baada ya kumnyima? Lkn pia ukitazama riport ya cag wezi wote waliotajwa wanatokea sukuma gang! Kaka mkuu ni masanja kadogosa!
Watumishi wa chini Sasa hivi wote Wana hasira sana baada report ya CAG kutoka,nao wameaamua kula kwa urefu wa kamba yao,liwalo na liwe!!Ni kituo cha mabasi cha mawasiliano. Wako maaskari wengi lango wa kuingilia, kila gari linaloingia linasimamishwa na kuchukua hela kwa konda. Bahati nzuri nikashuhudia askari wa kike akipokea hela, nikamfuata na kumweleza nichokiona, akanijibu vibaya. Nikatishia kuchukulia hatua zaidi lakini wenzake wa kiume wakaniomba msamaha. Hili jeshi limeoza kabisa