Nimemgombeza askari wa usalama barabarani, wenzake wameniomba msamaha

Hili nalo jinga kabisa ! Unasaport rushwa? Unajua nin kinafuata hapo baada ya kumnyima? Lkn pia ukitazama riport ya cag wezi wote waliotajwa wanatokea sukuma gang! Kaka mkuu ni masanja kadogosa!
Huyo jamaa ni mfuasi wa yule dhalim ndiyo maana ana mawazo ya kuzimu
 
Ni kituo cha mabasi cha mawasiliano. Wako maaskari wengi lango wa kuingilia, kila gari linaloingia linasimamishwa na kuchukua hela kwa konda. Bahati nzuri nikashuhudia askari wa kike akipokea hela, nikamfuata na kumweleza nichokiona, akanijibu vibaya.

Nikatishia kuchukulia hatua zaidi lakini wenzake wa kiume wakaniomba msamaha. Hili jeshi limeoza kabisa.

Ulimweleza ulichokiona ukiwa na lengo gani? Mgawane?

Unasema akakujibu vibaya, alikujibu nini?

Ulivyotishia kuchukua hatua zaidi, ni hatua gani ulikusudia kuchukua?

Wenzake walivyokuomba msamaha, je yeye alikuomba msamaha? Pesa aliyochukua/aliyopewa aliirudisha?

Nini kilfuata baada ya hapo?
 
Halijaoza ila waliruhusiwa kuchukua hela ya kubrashi viatu.
 
Ni kituo cha mabasi cha mawasiliano. Wako maaskari wengi lango wa kuingilia, kila gari linaloingia linasimamishwa na kuchukua hela kwa konda. Bahati nzuri nikashuhudia askari wa kike akipokea hela, nikamfuata na kumweleza nichokiona, akanijibu vibaya.

Nikatishia kuchukulia hatua zaidi lakini wenzake wa kiume wakaniomba msamaha. Hili jeshi limeoza kabisa.
Mishahara midogo, watumishi wa umma hutafta namna ya kuishi vizuri mjini. Wote tunaiba ila tunatofautiana namna ya kuiba tu
 
Ni kituo cha mabasi cha mawasiliano. Wako maaskari wengi lango wa kuingilia, kila gari linaloingia linasimamishwa na kuchukua hela kwa konda. Bahati nzuri nikashuhudia askari wa kike akipokea hela, nikamfuata na kumweleza nichokiona, akanijibu vibaya.

Nikatishia kuchukulia hatua zaidi lakini wenzake wa kiume wakaniomba msamaha. Hili jeshi limeoza kabisa.
Jeshi letu la Polisi ni chumvi iliyoharibika mkuu,halikarabatiki.Chumvi ikiharibika utaitia nini hadi ikoloze,nothing,dawa ni kuitupa tu.Vivyo hivyo njia sahihi ya Jeshi letu la Polisi dawa yake ni kulivunja na kulijenga upya.Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alifanya mwaka 1974, na baada ya kulivunja IGP wa kwanza alikuwa Mzee Mgaya.Hata sasa tunaweza,tatizo ni uyahe yahe wa huyu Mnzazibari Samia.Zanzibaris na watu wa pwani culture yao ni kuchukulia kila jambo poa tu,hata mambo ya muhimu,they are never serious.
 
Ulimweleza ulichokiona ukiwa na lengo gani? Mgawane?

Unasema akakujibu vibaya, alikujibu nini?

Ulivyotishia kuchukua hatua zaidi, ni hatua gani ulikusudia kuchukua?

Wenzake walivyokuomba msamaha, je yeye alikuomba msamaha? Pesa aliyochukua/aliyopewa aliirudisha?

Nini kilfuata baada ya hapo?
Hayo ni maswali ya mahakamani
 
Kwa asubuhi hii hiyo inaitwa ya chai, baadae mchana watatafuta ya lunch, na jioni watatafuta ya chakula cha usiku.

Mishahara yao wanajengea tu mijumba.
Kuna wanaopora kwa kudonoadonoa yaani ndondondo, sasa magwiji hukinga kabisa mkondo wa maji na kufikia mabilioni.
Wengine hawapati chururu sembuse ndondondo.
Wachache sana wana nafasi ya kuiba
 
Bora wao wanaomba wanapewa kuliko wale wanaopiga mabilioni chini ya serikali ya samia. Huyo askari umemuonea tu.
Wee bibi mlinda legacy una taabu san au kwakua JPM aliruhusu rushwa kwa hao jamaa na kusema ni kwaajil ya ku brush daluga? Rusha ni rushwa haimaanishi iwe trln au buku yote ni rushwa!!
 
Wale waliochota mabilioni kwenye ripot ya CAG unaenda kuwagombeza lini?
 
Umewaomea tu hela ya kipiga dawa Kwa shoe shine wakati wanaoiba nyingi wanakula bata, usirudie tena tabia hiyo😀
Screenshot_20230413-114104.png
 
Back
Top Bottom